Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Wana responsibility pia ya kutoachia maudhui ambayo wazi ni uzushi (ndio maana kuna threads) uwa wanaziwekea tetesi, kama tahadhari ukweli wa habari una mashaka.Sasa kwanini wanakuwa wanazifuta threads za clients kipumbafpumbaf, au kuna miluki ishamwagwa humu?
Umewahi pigiwa au kusikia kuwa kuna mtu amepigiwa na kuhojiwa?Kimsingi wanayajua sana tuu hususani Wakiwa na interest na wewe so hakuna ulichojificha mbele ya serikali.
Ukitaka kujua Hilo kuwa tishio au wakikuambia acha jambo x ukiendelea ndio Utajua hujui na mbaya zaidi unapigiwa kwenye namba zako za simu unadhani wanakuwa Wametoa wapi?
Hauna point ya maana zaidi ya kuongea kimihemko alafu inaonekana una chuki sana dhidi ya Lissu,Hii sio mara ya kwanza Amsterdam kujaribu kuishitaki serikali hajawai fanikiwa.
Ipe muda ndio utaelewa kwanini kila siku uwa nawaambia Lissu hajui maswala ya mikataba.
Huyo mzungu ana legal contract na anadai unfair dismissal, sasa mimi na wewe hatujui mkataba wake wa kazi hadi atumie ‘vicaruous liability’ kuishitaki kampuni mama.
Swala la Lissu halikadhalika lipo wazi ni purely domestic matter, unamshitaki nani nje ya nchi kwa sheria ipi au mkataba upi wa kimataifa.
Wazungu wameigeuza kesi ya kisiasa kwa sababu tribunal uwa ni private matter. Pattern ya tabia za waingereza inajulikana from the outset yesterday nyuma ya ile article ilikuwa wazi kuna mkono wa serikali ya waingereza kuleta pressure tu Tanzania
Huyu anadhani atamkatisha tamaa Lissu kuendelea na kesi! Kwanza Lissu ni Wakili hivyo kama kuna mapingamizi kama hayo atakuwa anafahamu.Hauna point ya maana zaidi ya kuongea kimihemko alafu inaonekana una chuki sana dhidi ya Lissu,
Kesi haijaanza na haujasikiliza wala kuona ushahidi wa aina yoyotr tayari umeshatoa hukumu kicheani kwako na kushutumu lissu na mwanasheria wake kua hawajui sheria wala mikataba
Wewe kama ni mmoja wa wahusika tulia ulipe gharama za uovu kikombe kitakufikia tu,
Hakuna unachojua cha kumzidi Lissu wanaojua kua anajua kuwazidi kuhusu hiyo mikataba walitaka kumuua wewe kinyamlenge ambae hujawai hata kusimama mahakamani kumtetea hata mwizi wa kuku unakuja hapa kukejeli manguli wa sheria waliokuzidi upeo
Punguza mihemko na ujuaji usio na maana mwisho wa siku utaonekana mjinga
Anadhani labda zile ni mahakama za kisutu za kupokea maelekezoHuyu anadhani atamkatisha tamaa Lissu kuendelea na kesi! Kwanza Lissu ni Wakili hivyo kama kuna mapingamizi kama hayo atakuwa anafahamu.
Kibaraka yupi wa MH.MBOWE yupo tayari Mh.Mbowe akisemwa asitoe neno lolote lisilo na tusi ndani yake.Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.
Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa nguvu zote. Leo msiwaone baadhii wanalaumu sio kwasababu wameumizwa na hicho kitendo, bali ni kwasababu hawaingu mkono hii serikali ya sasa.
Hivyo, baada ya sakata la Lissu kutaka kuwawa kuibuliwa upya na media za nje na Lissu nae kulishikia bango hili sakata linalomgusa Mwendazake, mtarajie hawa vibaraka wakawa upande wa hii serikali ya sasa kwasababu tu Liisu na wana-CHADEMA kwa ujumla watakuwa wanaumbua utawala wa Jiwe na Jiwe mwenyewe.
Kwa maneno mengine, kambi ya Mwendazake sasa itaungana na huu utawala wa sasa katika vita ya kutaka kuangamiza wapinzani kupitia haya matukio yanayoendelea ambayo serikali inatuhumiwa kuhusika.
Mjiandae kwa vita mpya wote msiopenda maovu yanayoendelea sasa.
Hao vibaraka wake hawatupi shida mana wanatabia za vijana mareshi au mchicha mwtuWashabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.
Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa nguvu zote. Leo msiwaone baadhii wanalaumu sio kwasababu wameumizwa na hicho kitendo, bali ni kwasababu hawaingu mkono hii serikali ya sasa.
Hivyo, baada ya sakata la Lissu kutaka kuwawa kuibuliwa upya na media za nje na Lissu nae kulishikia bango hili sakata linalomgusa Mwendazake, mtarajie hawa vibaraka wakawa upande wa hii serikali ya sasa kwasababu tu Liisu na wana-CHADEMA kwa ujumla watakuwa wanaumbua utawala wa Jiwe na Jiwe mwenyewe.
Kwa maneno mengine, kambi ya Mwendazake sasa itaungana na huu utawala wa sasa katika vita ya kutaka kuangamiza wapinzani kupitia haya matukio yanayoendelea ambayo serikali inatuhumiwa kuhusika.
Mjiandae kwa vita mpya wote msiopenda maovu yanayoendelea sasa.
Kwa umri wangu sijawahi ona jamii ya ovyo kama misukule ya mzee mboweWashabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.
Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa nguvu zote. Leo msiwaone baadhii wanalaumu sio kwasababu wameumizwa na hicho kitendo, bali ni kwasababu hawaingu mkono hii serikali ya sasa.
Hivyo, baada ya sakata la Lissu kutaka kuwawa kuibuliwa upya na media za nje na Lissu nae kulishikia bango hili sakata linalomgusa Mwendazake, mtarajie hawa vibaraka wakawa upande wa hii serikali ya sasa kwasababu tu Liisu na wana-CHADEMA kwa ujumla watakuwa wanaumbua utawala wa Jiwe na Jiwe mwenyewe.
Kwa maneno mengine, kambi ya Mwendazake sasa itaungana na huu utawala wa sasa katika vita ya kutaka kuangamiza wapinzani kupitia haya matukio yanayoendelea ambayo serikali inatuhumiwa kuhusika.
Mjiandae kwa vita mpya wote msiopenda maovu yanayoendelea sasa.
Hakuna kitu kama hicho,Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake.
Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa nguvu zote. Leo msiwaone baadhii wanalaumu sio kwasababu wameumizwa na hicho kitendo, bali ni kwasababu hawaingu mkono hii serikali ya sasa.
Hivyo, baada ya sakata la Lissu kutaka kuwawa kuibuliwa upya na media za nje na Lissu nae kulishikia bango hili sakata linalomgusa Mwendazake, mtarajie hawa vibaraka wakawa upande wa hii serikali ya sasa kwasababu tu Liisu na wana-CHADEMA kwa ujumla watakuwa wanaumbua utawala wa Jiwe na Jiwe mwenyewe.
Kwa maneno mengine, kambi ya Mwendazake sasa itaungana na huu utawala wa sasa katika vita ya kutaka kuangamiza wapinzani kupitia haya matukio yanayoendelea ambayo serikali inatuhumiwa kuhusika.
Mjiandae kwa vita mpya wote msiopenda maovu yanayoendelea sasa.
Unapomwambia mtu hajui swala usika unatakiwa uje na counter arguments to justify your position.Hauna point ya maana zaidi ya kuongea kimihemko alafu inaonekana una chuki sana dhidi ya Lissu,
Kesi haijaanza na haujasikiliza wala kuona ushahidi wa aina yoyotr tayari umeshatoa hukumu kicheani kwako na kushutumu lissu na mwanasheria wake kua hawajui sheria wala mikataba
Wewe kama ni mmoja wa wahusika tulia ulipe gharama za uovu kikombe kitakufikia tu,
Hakuna unachojua cha kumzidi Lissu wanaojua kua anajua kuwazidi kuhusu hiyo mikataba walitaka kumuua wewe kinyamlenge ambae hujawai hata kusimama mahakamani kumtetea hata mwizi wa kuku unakuja hapa kukejeli manguli wa sheria waliokuzidi upeo
Punguza mihemko na ujuaji usio na maana mwisho wa siku utaonekana mjinga
Tanzania kuna Laws gani, hizo hizo ambazo serikali yenyewe inazikiuka kila siku, matokeo yake hakuna utawala wa sheria?TiGO Tanzania imesajiliwa Tanzania sio uingereza, na Ina operate Tanzania, it’s regulated by Tanzania laws.
Tanzania hakuna mahakama huru, zimegeuka chawaHuyo mzungu aishitaki TiGO Tanzania,
Unaweza kuwa na arguments, lakini kuna swala la jurisdiction uwezi kujiamkia tu siku moja ukasema unaenda ishitaki serikali unapotaka.Tanzania kuna Laws gani, hizo hizo ambazo serikali yenyewe inazikiuka kila siku?
Tanzania hakuna mahakama huru, zimegeuka chawa
Sasa tusubiri Amsterdam atatumia sheria gani kuifikisha serikali mahakamani.Unaweza kuwa na arguments, lakini kuna swala la jurisdiction uwezi kujiamkia tu siku moja ukasema unaenda ishitaki serikali unapotaka.
Au kulazimisha upewe info ambazo taratibu zake za upatikanaji zipo chini ya sheria za Tanzania.
Now that’s a good question.Sasa tusubiri Amsterdam atatumia sheria gani kuifikisha serikali mahakamani.
Hata sheria ya ITU inazipa mamlaka za serikali kuchukua taarifa yoyote toka database za kampuni za mawasiliano duniani hivyo kwa ajili ya upelelezi ndio maana hata mmliki wa Telegram juzi juzi wamemkamata huko France kwa sababu ya kukaidi kutoa taarifa hizo. Sasa ulitegemea Tigo wakatae kutoa taarifa kweli?Vita yake ni internal (psychological), nje anapigana na upepo tu. Unaelewa shambulizi lake sio psychological sio ndogo.
Lakini ukimsikiliza unaona anahitaji intervention na huyo rafiki yake Amsterdam ndio anajaribu kutumia kila njia ya kujinyakulia hela Tanzania kupitia mgongo wa Lissu.
Wataishitaki serikali ya Tanzania nje ya nchi kwa shambulio lake kwa kutumia jurisdiction gani? Au international agreement ipo kwa domestic issues.
Halafu kasoma national security acts za Tanzania kweli karibu zote from 1970’s zinaipa mamlaka ya serikali kupewa access za info katika upelelezi wowote.
Huyo mzungu anadai remedy za unfair dismissal, Lissu yeye anataka kugeuza hiyo case about him.
Mnailaumu TiGO bure as if wana option, serikali ikitaka info zako hakuna kampuni ya simu itazuia. Watanzania mnataka kusema kama vile ilitoa info voluntarily tu.
Wafuasi wa CDM na wale ambao ni anti-government neno la viongozi wa CDM hasa Lissu ni sacred kwao, alitakiwi kupingwa.Hata sheria ya ITU inazipa mamlaka za serikali kuchukua taarifa yoyote toka database za kampuni za mawasiliano duniani hivyo kwa ajili ya upelelezi ndio maana hata mmliki wa Telegram juzi juzi wamemkamata huko France kwa sababu ya kukaidi kutoa taarifa hizo. Sasa ulitegemea Tigo wakatae kutoa taarifa kweli?
Basi, Mungu alivyo mkuu , akaamua kesi, leo Victim X bado yupo....👏👏👏Hakika, mambo yameanza upya
Chief,are you certain that Tigo Tz gave such info to gavoo involuntarily?Vita yake ni internal (psychological), nje anapigana na upepo tu. Unaelewa shambulizi lake sio psychological sio ndogo.
Lakini ukimsikiliza unaona anahitaji intervention na huyo rafiki yake Amsterdam ndio anajaribu kutumia kila njia ya kujinyakulia hela Tanzania kupitia mgongo wa Lissu.
Wataishitaki serikali ya Tanzania nje ya nchi kwa shambulio lake kwa kutumia jurisdiction gani? Au international agreement ipo kwa domestic issues.
Halafu kasoma national security acts za Tanzania kweli karibu zote from 1970’s zinaipa mamlaka ya serikali kupewa access za info katika upelelezi wowote.
Huyo mzungu anadai remedy za unfair dismissal, Lissu yeye anataka kugeuza hiyo case about him.
Mnailaumu TiGO bure as if wana option, serikali ikitaka info zako hakuna kampuni ya simu itazuia. Watanzania mnataka kusema kama vile ilitoa info voluntarily tu.
Kama unajua concept ya universal jurisdiction, usingeweza kuandika hapa mambo ya "vicalicious liability"- acha kuchanganya madesa, ndio maana tunapigwa huko nje na habari za mikataba kwa kuchanganya mambo.Vita yake ni internal (psychological), nje anapigana na upepo tu. Unaelewa shambulizi lake sio psychological sio ndogo.