Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika.

Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma kupitia Escrow na Richmond

Teuzi za mawaziri zikifanyika, wanajua kuna safu ya mawaziri inapangwa ili kulikamua taifa, maana wanaoteuliwa wananukia ufisadi.

Waziri mwenye dhamana ya Biashara anakanusha hadharani kuwa hakuna mkataba au maelewano juu ya uzinduzi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ili hali uzinduzi wa ujenzi ulifanyika.

Ni muda mfupi sana serikali iliyopo madarakani imepoteza imani kwa wananchi.
 
Mkuu, nimejikuta nacheka tu!
Ubwabwa ukiwa kiduchu unajua kabisa toka mwanzo hautashiba [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu Mwamba sijui kafikiria nn?? Yaani kaubwabwa kiduchu na punje nne za maharage, unaambiwa wee kula tu ukiamini utashiba???[emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani huyo dogo mwenyewe anaeambiwa hivyo atajua tu kuwa Mother kapinda.
 
Yani mtu ukiwa na stress we ingia jf tu, stress yote kwishinei. Jf ni burudani tosha 😂😂
 
Huyu Mwamba sijui kafikiria nn?? Yaani kaubwabwa kiduchu na punje nne za maharage, unaambiwa wee kula tu ukiamini utashiba???[emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani huyo dogo mwenyewe anaeambiwa hivyo atajua tu kuwa Mother kapinda.
Hivi kwenye maandiko kulikuwa na samaki wangapi na nipate mingapi ?
 
Back
Top Bottom