Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke


kiukweli imani haijashuka mnamsingizia tu mama, Imani imeshakufa kusema imeshuka ni kumpa credit za uongo
 
Kwani hao wananchi walikuwa na imani na serikali ya Magufuli, au walikuwa wanaogopa kusema wasije wakatekwa na kuuwawa?

sasa mkuu ukweli sku zote hauwezi kufinywa hata sku moja
 
K
hata mie simuelewi huyu mama, namuona ni JK amerudi kivingine!
bora dikteta!.
Kweli kabisa unapoona mwandishi wa hotuba wa JK anapewa wizara ya Nishati na mgao kurudi,ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,jua ni Kikwete ulingoni.
 
Itapanda tuu kadiri wenge lao na mda unavyoenda.
 
Imani bado ipo sema watendaji wanazingua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…