Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
unajaribu kujiweka Kwa safe side mkuu.Habari za muda huu waungwana.
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.
Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.
Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.
Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
au nychocolatemodels 🙂Wanaume tunaangalia movie za kivita
kabisa...usije nyimwa blanket chapa mtuSio mpenzi sana wa tamthilia ila kwa kuwa wife anapenda na inabid nimsapot ili story ziendelee , tusifanye maisha magumu sana wazee
Inategemea umekulia mazingira magumu kiasi gani. Kama kwenu TV ilikuwa anasa wakati unakuwa huwezi kuelewaHabari za muda huu waungwana.
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.
Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.
Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.
Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
mbona mpira wanaocheza wanawake, unafuatiliwa na wanaumeNi kweli mkuu wanaume hawakosekani ila maudhui yamekaa kike kike mno.
TV huwa naangalia napokutana nayo kwa bahati mbaya.
Mfano kuna tukio mahali na wameweka TV nitaangalia na wenzangu ila kusema niwashe niangalie mwenyewe hapana aisee.
Mimi naishauri serikali ianzishe wizara ya kina baba ili tuwe tunapeana semina humo. Naamini jamii itabadilika mno.
kuna ugonjwa unaitwa pangusa huu ukichelewa kichwa cha mboo kinakatikaTuwekeze nguvu kushauri watu kuhusu Magonjwa ya Zinaa
Mungu
Hayo mengine tuwaache watu wafanye waonavyo ni sawa kwao na Mungu au mungu wao
miaka ya nyuma...tukiwa sekondari...mechi za netiboli kuna wazee walikuwa wanaacha ofisi zao na kuja kushangaaa......guess what?????mbona mpira wanaocheza wanawake, unafuatiliwa na wanaume
Hahaha....... kwahiyo upo tayari nikianzisha harambee ya kuchangia tumlipe Kibatala atutetee kwenye hili utachangia??NImeipenda hii mzee wa hovyo
Wasituchagulie mambo katika maisha yetu
Mimi naangalia Evermore azam two na Alparsalan,kama kuna mwenye shida na hilo pm iko wazi
Usihofu legend tupo pamoja,wamezidi kutufuatilia aiseeHahaha....... kwahiyo upo tayari nikianzisha harambee ya kuchangia tumlipe Kibatala atutetee kwenye hili utachangia??
Maana Wanaume wa DSM tumezidi kuonewa haki ya nani 😅
ndio maana nimeuliza,maana mitizamo mingine ni ya kuiangalia, yaani et kufuatilia tamthilia iwe imekaa kiuwanawake, wakat kuna tamthilia tamu kabisa, kuna tamthilia ilikuwa inaita Razia, mke wangu alinishawishi weee mpaka siku nikaiangalia baada ya kuonja utamu nikawa nawah kurudi home niangalie na mke wangu, mke anafurah uwepo wangu home, sasa ikawa mimi ndo naiulizia kama nimekosa namwambia anisimulie ilikuajemiaka ya nyuma...tukiwa sekondari...mechi za netiboli kuna wazee walikuwa wanaacha ofisi zao na kuja kushangaaa......guess what?????