We noma hadi tommy na jerryMimi hadi katuni naangalia na sijali.
Wanaume ni watu wa kazi kazi,usoft tuwaachie wanawakeHakika ndugu. Wanaume tumeumbwa kukabiliana na mikiki mikiki lakini tamthilia naona zinawafanya watu kuwa soft hivi
Mbona una hasira sana mjomba, usoft wa mtu hauhusiani na uigwa pipe.Saaana mwanaume kuwa soft ndo nyie mkitingwa unalia na kulalia kifua cha mwanaume mwenzio kufutwa machozi
Upumbavu huo......Wanaume tunaangalia movie za kivita
Hata mpira naangaliaUpumbavu huo......
Mimi nikikaa kwenye tv naangalia mpira. Mpira ukiisha sina business na TV
Mwanaume inatakiwa uangalie taarifa ya habari na mpira...Habari za muda huu waungwana.
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.
Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.
Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.
Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
kwa mimi jinsi nilivyo huwa napenda san kuangalia Series endapo siku iyo nipo free sana au weekend Jumapili. ila nikiwa kwenye Mitikasi ya kila siku ya kuangaikia Tumbo Siwez cheki hata single movie naon inanipotezea muda tu. ko ni kila mtu na namna alivyojipangilia vitu vyake na sizan kam ni kosa kisheria.Habari za muda huu waungwana.
Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.
Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.
Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.
Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Kulia ni tiba dogo, ndio maana mnajiua na kufa kizembe.Saaana mwanaume kuwa soft ndo nyie mkitingwa unalia na kulalia kifua cha mwanaume mwenzio kufutwa machozi