MTAZAMO: Makonda kuchukua jukumu la Majaliwa, Dotto Biteko, ndani kwafuka!

Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :

Baada ya kurudishwa, amenza kazi vizuri hasa kwa kufanya ziara lakini ametishia kazi za Waziri Mkuu Majaliwa , ametishia kazi ya Dotto Biteko na pia anayishia kazi ya Katibu Mkuu/CEO wa CCM bwana Chongolo.

Team CCM mabadiliko vs Sukuma Gang ambayo inarudi kwa namna nyingine nayo inaonekana kutaka uwaziri mkuu 2025 lakini pia inaonekana mwaka 2025 kuna wanaotaka umakamu wa Rais na Uwaziri Mkuu, kila mtu anapambana kivyake.

Makonda amekuwa akitumia gharama kubwa kwenye chama kuliko hata anazotumia mwenyekiti wake, anatumia walinzi binasi zaidi ya nane, anatumia walinzi wa chama 5 na walinzi wa serikali ambao ni kinyume na sheria japo haijafhamika vizuri.

Makonda amepigwa marufuku kukanyaga MarekaniTaarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Ijumaa, Januari 31, 2020 marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Mary Felix Massenge. Bashite na mkewe ambapo kipindi cha SHUJAA alikuwa kila muda wanakwenda kula bata New York na Manhatan sasa wamepigwa BAN na sababu ya kuwa black listed ni tuhumu za KUKATISHA MAISHA YA WATU.

Ukandamizaji wa haki ambao Makonda anashutumiwa kuutenda ni pamoja na kunyima watu haki ya kuishi, haki ya uhuru wa kujiamulia mambo na usalama wa watu.
"Wizara ina taarifa za uhakika kuwa Makonda amehusika katika uvunjifu huo wa haki kupitia nafasi yake kama mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Katika nafasi yake hiyo, pia amelaumiwa kwa kukandamiza upinzani wa kisiasa, kukandamiza haki ya kujieleza, na kushambulia makundi yasiyo na sauti," imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Michael Pompeo ametumia mtandao wake wa Twitter kutangaza marufuku hiyo.
Makonda amekuwa akiingilia majukumu yasiyo yake:

Wakubwa zake wanajiuliza:

1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?

2. Nani kampa mamlaka ya kusikiliza kesi zilizopo Mahakamani na kuonyesha ku-side na upande mmoja bila kusikiliza upande wa pili lakini pia hata kusikiliza upande wa pili mamlaka hayo ni yake au ya
mahakama?

3. Nani kampa mamlaka ya kufanya mikutano mida ya kazi wakati Magufuli alitumia mbinu hiyo kipindi
akiwadhibiti akina Mbowe na Lissu, aliwaambia muda wa kazi kusiwe na mikutano na wao walirelax
kufanya mikutano lakini kwa sasa Makonda muda wa kazi ndio.

4. Mpaka leo, kuvamia clouds TV, kashfa za viwanja na magari ya GSM ama hazijajibiwa ama wamefanya
watanzania ni wasahaulifu.

5. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito akimwambia apotee na tumbo tumbo lake, , kumkashifu Chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.

6. Kwa mwendo huu, wakati wa Mchakato wa mgombea urais 2024/5 huko NEC ataharibu vikao akiwa na SUKUMA GANG wanaorudi taratibu madarakani?
Pichani hapo Chini ni Makonda leo akiingia Mara, picha inajieleza,comments ziwe fupi fupi.

View attachment 2813495
Kumbe ni mtizamo basi endelea kutizama 🤪🤪
 
Makonda kasababisha mwenyekiti wetu aahirishe kuendelea na mikutano yake aliokuwa amepanga kuifanya nchi nzima.

Mwenyekiti kaingia wasi wasi, aibu na fedheha, kuona mikutano yake ilidorora huku ya Makonda ikikusanya umati wa watanzania 🤣🤣🤣

Hivyo kaamua kukusanya chawa wake mitandaoni, ukiwemo mleta mada ili mje kuandika ujinga wa kumtoa Makonda kwenye reli ili kumpunguzia mwenyekiti aibu ya kuendelea na operation zake uchwara.

View attachment 2813189View attachment 2813190View attachment 2813191View attachment 2813192
Hahahahahahaaaa!
Mapimbi mna kazi sana. Mama Samia hamumuwezi nyumbu nyie, amewaua bila kutumia nguvu.....bali akili tu kidogo.
 
Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :

Baada ya kurudishwa, amenza kazi vizuri hasa kwa kufanya ziara lakini ametishia kazi za Waziri Mkuu Majaliwa , ametishia kazi ya Dotto Biteko na pia anayishia kazi ya Katibu Mkuu/CEO wa CCM bwana Chongolo.

Team CCM mabadiliko vs Sukuma Gang ambayo inarudi kwa namna nyingine nayo inaonekana kutaka uwaziri mkuu 2025 lakini pia inaonekana mwaka 2025 kuna wanaotaka umakamu wa Rais na Uwaziri Mkuu, kila mtu anapambana kivyake.

Makonda amekuwa akitumia gharama kubwa kwenye chama kuliko hata anazotumia mwenyekiti wake, anatumia walinzi binasi zaidi ya nane, anatumia walinzi wa chama 5 na walinzi wa serikali ambao ni kinyume na sheria japo haijafhamika vizuri.

Makonda amepigwa marufuku kukanyaga MarekaniTaarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Ijumaa, Januari 31, 2020 marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Mary Felix Massenge. Bashite na mkewe ambapo kipindi cha SHUJAA alikuwa kila muda wanakwenda kula bata New York na Manhatan sasa wamepigwa BAN na sababu ya kuwa black listed ni tuhumu za KUKATISHA MAISHA YA WATU.

Ukandamizaji wa haki ambao Makonda anashutumiwa kuutenda ni pamoja na kunyima watu haki ya kuishi, haki ya uhuru wa kujiamulia mambo na usalama wa watu.
"Wizara ina taarifa za uhakika kuwa Makonda amehusika katika uvunjifu huo wa haki kupitia nafasi yake kama mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Katika nafasi yake hiyo, pia amelaumiwa kwa kukandamiza upinzani wa kisiasa, kukandamiza haki ya kujieleza, na kushambulia makundi yasiyo na sauti," imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Michael Pompeo ametumia mtandao wake wa Twitter kutangaza marufuku hiyo.
Makonda amekuwa akiingilia majukumu yasiyo yake:

Wakubwa zake wanajiuliza:

1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?

2. Nani kampa mamlaka ya kusikiliza kesi zilizopo Mahakamani na kuonyesha ku-side na upande mmoja bila kusikiliza upande wa pili lakini pia hata kusikiliza upande wa pili mamlaka hayo ni yake au ya
mahakama?

3. Nani kampa mamlaka ya kufanya mikutano mida ya kazi wakati Magufuli alitumia mbinu hiyo kipindi
akiwadhibiti akina Mbowe na Lissu, aliwaambia muda wa kazi kusiwe na mikutano na wao walirelax
kufanya mikutano lakini kwa sasa Makonda muda wa kazi ndio.

4. Mpaka leo, kuvamia clouds TV, kashfa za viwanja na magari ya GSM ama hazijajibiwa ama wamefanya
watanzania ni wasahaulifu.

5. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito akimwambia apotee na tumbo tumbo lake, , kumkashifu Chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.

6. Kwa mwendo huu, wakati wa Mchakato wa mgombea urais 2024/5 huko NEC ataharibu vikao akiwa na SUKUMA GANG wanaorudi taratibu madarakani?
Pichani hapo Chini ni Makonda leo akiingia Mara, picha inajieleza,comments ziwe fupi fupi.

View attachment 2813495
Kwahyo umekuja hapa kumshambulia makonda?[emoji706][emoji706]
 
Wivu tu.
 
Hahahahahahaaaa!
Mapimbi mna kazi sana. Mama Samia hamumuwezi nyumbu nyie, amewaua bila kutumia nguvu.....bali akili tu kidogo.
Mama Samia anavaa gwanda mikutanoni?

Au pamoja na kutojua kusoma, lkn picha pia hauzioni?
 
Attachments

  • 1699886527898.jpg
    1699886527898.jpg
    66.4 KB · Views: 1
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    53.4 KB · Views: 2
Hiyo poicha inahusiana nini na Makonda? Au ndipo upeo wako ulipoishia?
 
Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :

Baada ya kurudishwa, amenza kazi vizuri hasa kwa kufanya ziara lakini ametishia kazi za Waziri Mkuu Majaliwa , ametishia kazi ya Dotto Biteko na pia anayishia kazi ya Katibu Mkuu/CEO wa CCM bwana Chongolo.

Team CCM mabadiliko vs Sukuma Gang ambayo inarudi kwa namna nyingine nayo inaonekana kutaka uwaziri mkuu 2025 lakini pia inaonekana mwaka 2025 kuna wanaotaka umakamu wa Rais na Uwaziri Mkuu, kila mtu anapambana kivyake.

Makonda amekuwa akitumia gharama kubwa kwenye chama kuliko hata anazotumia mwenyekiti wake, anatumia walinzi binasi zaidi ya nane, anatumia walinzi wa chama 5 na walinzi wa serikali ambao ni kinyume na sheria japo haijafhamika vizuri.

Makonda amepigwa marufuku kukanyaga MarekaniTaarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Ijumaa, Januari 31, 2020 marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Mary Felix Massenge. Bashite na mkewe ambapo kipindi cha SHUJAA alikuwa kila muda wanakwenda kula bata New York na Manhatan sasa wamepigwa BAN na sababu ya kuwa black listed ni tuhumu za KUKATISHA MAISHA YA WATU.

Ukandamizaji wa haki ambao Makonda anashutumiwa kuutenda ni pamoja na kunyima watu haki ya kuishi, haki ya uhuru wa kujiamulia mambo na usalama wa watu.
"Wizara ina taarifa za uhakika kuwa Makonda amehusika katika uvunjifu huo wa haki kupitia nafasi yake kama mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Katika nafasi yake hiyo, pia amelaumiwa kwa kukandamiza upinzani wa kisiasa, kukandamiza haki ya kujieleza, na kushambulia makundi yasiyo na sauti," imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Michael Pompeo ametumia mtandao wake wa Twitter kutangaza marufuku hiyo.
Makonda amekuwa akiingilia majukumu yasiyo yake:

Wakubwa zake wanajiuliza:

1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?

2. Nani kampa mamlaka ya kusikiliza kesi zilizopo Mahakamani na kuonyesha ku-side na upande mmoja bila kusikiliza upande wa pili lakini pia hata kusikiliza upande wa pili mamlaka hayo ni yake au ya
mahakama?

3. Nani kampa mamlaka ya kufanya mikutano mida ya kazi wakati Magufuli alitumia mbinu hiyo kipindi
akiwadhibiti akina Mbowe na Lissu, aliwaambia muda wa kazi kusiwe na mikutano na wao walirelax
kufanya mikutano lakini kwa sasa Makonda muda wa kazi ndio.

4. Mpaka leo, kuvamia clouds TV, kashfa za viwanja na magari ya GSM ama hazijajibiwa ama wamefanya
watanzania ni wasahaulifu.

5. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito akimwambia apotee na tumbo tumbo lake, , kumkashifu Chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.

6. Kwa mwendo huu, wakati wa Mchakato wa mgombea urais 2024/5 huko NEC ataharibu vikao akiwa na SUKUMA GANG wanaorudi taratibu madarakani?
Pichani hapo Chini ni Makonda leo akiingia Mara, picha inajieleza,comments ziwe fupi fupi.

View attachment 2813495
Makonda hakutumbuliwa, rekebisha kwanza hapo!!
 
Okay ,medula ndio imekuelekeza hivyo? Kwanini jambo kama lipo mahakamani kwa kiongozi mwenye akili ya lasaba huwa wanasema tuiachie mahakama?
Rais mwenyewe ikiibuliwa kero wasaidizi wakamkumbusha kuwa ipo mahakamani huwa anasema iachwe iishe , nchi ina wapuuzi sana wanaotamani mkono wa chuma wakihisi utagusa wachche lakini rest assured hakuna atakayebaki salama.
Sasa wewe kapuku nikuulize,shida ya huyo mzee aliitatua hapo jukwaani?,au alimsikiliza tu na kulibeba?,ulitaka atoe jibu unalofikiria kichwani mwako?

Wewe ni HOPELESS
 
Kuna Mbunge mmoja mwaka jana akiwa Bungeni wakati anatoa mchango wake kwenye Bunge la budget alikataa Watanganyika kuitwa wanyonge au mzee wa legacy za wafu ilikupita hii?
Makonda ndio Rais wako si ndio !? Yan mwenezi wa CCM ndio afanye mambo ya kitaifa😆 narudia huyo ni mwenezi wa CCM tu hakuna anachofanyia taifa yeye anapambania chama chake tu hzo zingne ni mbwembwe na porojo tu, punguza mihemko, Elimu yangu naitumia wisely I don't use my education to insult others and my education can't be a reason to spread hatred among others.
 
Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :

Baada ya kurudishwa, amenza kazi vizuri hasa kwa kufanya ziara lakini ametishia kazi za Waziri Mkuu Majaliwa , ametishia kazi ya Dotto Biteko na pia anayishia kazi ya Katibu Mkuu/CEO wa CCM bwana Chongolo.

Team CCM mabadiliko vs Sukuma Gang ambayo inarudi kwa namna nyingine nayo inaonekana kutaka uwaziri mkuu 2025 lakini pia inaonekana mwaka 2025 kuna wanaotaka umakamu wa Rais na Uwaziri Mkuu, kila mtu anapambana kivyake.

Makonda amekuwa akitumia gharama kubwa kwenye chama kuliko hata anazotumia mwenyekiti wake, anatumia walinzi binasi zaidi ya nane, anatumia walinzi wa chama 5 na walinzi wa serikali ambao ni kinyume na sheria japo haijafhamika vizuri.

Makonda amepigwa marufuku kukanyaga MarekaniTaarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani Ijumaa, Januari 31, 2020 marufuku hiyo pia inamhusisha mke wa Makonda Mary Felix Massenge. Bashite na mkewe ambapo kipindi cha SHUJAA alikuwa kila muda wanakwenda kula bata New York na Manhatan sasa wamepigwa BAN na sababu ya kuwa black listed ni tuhumu za KUKATISHA MAISHA YA WATU.

Ukandamizaji wa haki ambao Makonda anashutumiwa kuutenda ni pamoja na kunyima watu haki ya kuishi, haki ya uhuru wa kujiamulia mambo na usalama wa watu.
"Wizara ina taarifa za uhakika kuwa Makonda amehusika katika uvunjifu huo wa haki kupitia nafasi yake kama mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Katika nafasi yake hiyo, pia amelaumiwa kwa kukandamiza upinzani wa kisiasa, kukandamiza haki ya kujieleza, na kushambulia makundi yasiyo na sauti," imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Michael Pompeo ametumia mtandao wake wa Twitter kutangaza marufuku hiyo.
Makonda amekuwa akiingilia majukumu yasiyo yake:

Wakubwa zake wanajiuliza:

1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?

2. Nani kampa mamlaka ya kusikiliza kesi zilizopo Mahakamani na kuonyesha ku-side na upande mmoja bila kusikiliza upande wa pili lakini pia hata kusikiliza upande wa pili mamlaka hayo ni yake au ya
mahakama?

3. Nani kampa mamlaka ya kufanya mikutano mida ya kazi wakati Magufuli alitumia mbinu hiyo kipindi
akiwadhibiti akina Mbowe na Lissu, aliwaambia muda wa kazi kusiwe na mikutano na wao walirelax
kufanya mikutano lakini kwa sasa Makonda muda wa kazi ndio.

4. Mpaka leo, kuvamia clouds TV, kashfa za viwanja na magari ya GSM ama hazijajibiwa ama wamefanya
watanzania ni wasahaulifu.

5. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito akimwambia apotee na tumbo tumbo lake, , kumkashifu Chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.

6. Kwa mwendo huu, wakati wa Mchakato wa mgombea urais 2024/5 huko NEC ataharibu vikao akiwa na SUKUMA GANG wanaorudi taratibu madarakani?
Pichani hapo Chini ni Makonda leo akiingia Mara, picha inajieleza,comments ziwe fupi fupi.

View attachment 2813495
Mwacheni pacemaker achape KAZI!

We huoni mama Hana mvuto wa kufanya kazi kama ya makonda!

Mama Hana mvuto wa kutatua kero papi kwa papi,yeye aliamini wateule wake watatua kero za wananchi matokeo yake wake spin urais wake usiwe na mvuto!!

Kwa sasa watz tumesahau dp world makonda ndio habari ya mjini!!

Mwacheni makonda afanye kazi kama "Naibu Rais wa jamuhuri ya muungano wa tz"!!

KAZI iendelee!
 
Duh !!
 
DP hatuna shida nao, sasa tunataka tuwape na TANESCO.
 
Kuna Mbunge mmoja mwaka jana akiwa Bungeni wakati anatoa mchango wake kwenye Bunge la budget alikataa Watanganyika kuitwa wanyonge au mzee wa legacy za wafu ilikupita hii?
Kuitwa mnyonge haina maana ndio mnyonge kweli na pia unaweza usiitwe mnyonge na ukawa mnyonge tu, so whatever the case circle ni ileile.
 
Makonda ndio Rais wako si ndio !? Yan mwenezi wa CCM ndio afanye mambo ya kitaifa[emoji38] narudia huyo ni mwenezi wa CCM tu hakuna anachofanyia taifa yeye anapambania chama chake tu hzo zingne ni mbwembwe na porojo tu, punguza mihemko, Elimu yangu naitumia wisely I don't use my education to insult others and my education can't be a reason to spread hatred among others.

Uko sahihi, mleta mada apunguze mihemko.
 
Back
Top Bottom