Hakuna kitu kimenikera kama barakoa za nembo ya chama yaani wanatumia majanga kujitafutia umaarufu...very stupid!!
 
heri yenu ninyi wana Chato nyie mko salama huku kwetu hofu imetanda kila kona vifo mtindo mmoja
 
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna Covid 19 self test kit.

Amandla......
 
Watu wengi wanakufa kwa hofu ya corona,maana imefika hatua sasa hivi mtu akijihisi anaumwa tu anaiwaza corona na kila kifo sasa hivi ni corona.
 

Unafahamu undani kwa nini zimekataliwa? Wacha majungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…