#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app
Haina tija
 
Accuracy na specificity yake ndogo sana hazifai kwa matumizi kwa ajili ya matibabu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Corona ni hatari na inaua si utapata ni, kwa wale wanaopona wanapitia kipindi cha maumivu makali. Pamoja na kunawa mikono na kuvaa barakoa, social distance inapunguza mnyororo wa maambukizi.

Wenye uwezo wawawezeshe ma Imamu, Wachungaji na Mapadre. Ukiweza kutoa chakula, sabuni, pesa chochote kile. Dhumuni ni kuwa wale wanaoamua kupumzika nyumbani kwa muda huu ili kuepuka maambukizi waweze kujisaidia.

Viongozi wa dini wanawafahamu watu wao, wahamasishe wale wenye uwezo wasaidie wanaohitaji ili tuvuke salama katika kipindi hiki
 
Mihogo, magimbi, viazi vikuu, kuku, mbuzi, na samaki wakavu, Mungu awabariki sana mtakao toa kwa wingi kupita kiasi.
 
Covid rapid test akifanyiwa muafrika yoyote mwenye ndui lazima atest positive

Mark my word
Why? Kama usiposema why utaonekana mjinga tu, sasa tukuamini bila kutoa maelezo ili tuyapime? Akili za MTU mweusi bana.
 
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna li Rahisi lipumbavuuuu! No wonder yule mama ame-mute kabisa!
 
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona video ya jinsi Anna Mughwira alivyopimwa COVID ukajumlisha na taarifa ya kuwa Uingereza iliwahikukuta vipimo vina virus utajua kuwa serikali yetu inatuwazia mema.
 
Hapa hawa viongozi wetu wanajua mass testing ikifanyika Tanzania itaongoza kwa idadi ya maambukizi katika Afrika ndani ya masaa24

Na wao ndio walioliachia janga hili kufikia hapa sasa wanakataa mass testing kwa ajili ya kuficha uzembe wao
 
Back
Top Bottom