Mbona wakenya wana ndui?Covid rapid test akifanyiwa muafrika yoyote mwenye ndui lazima atest positive
Mark my word
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wakenya wana ndui?Covid rapid test akifanyiwa muafrika yoyote mwenye ndui lazima atest positive
Mark my word
Unakufa halafu useme acha nife na viatuKila Nchi inautaratibu wake
Haina tijaNimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop
Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!
Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing
Sent using Jamii Forums mobile app
Kivipi?Covid rapid test akifanyiwa muafrika yoyote mwenye ndui lazima atest positive
Mark my word
Why? Kama usiposema why utaonekana mjinga tu, sasa tukuamini bila kutoa maelezo ili tuyapime? Akili za MTU mweusi bana.Covid rapid test akifanyiwa muafrika yoyote mwenye ndui lazima atest positive
Mark my word
Tuna li Rahisi lipumbavuuuu! No wonder yule mama ame-mute kabisa!Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop
Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!
Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing
Sent using Jamii Forums mobile app
Coronavirus ina utaratibu mmoja tuKila Nchi inautaratibu wake
Ukiona video ya jinsi Anna Mughwira alivyopimwa COVID ukajumlisha na taarifa ya kuwa Uingereza iliwahikukuta vipimo vina virus utajua kuwa serikali yetu inatuwazia mema.Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop
Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!
Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaonea gere?Ona Kenya