#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Hizo rapid test huwa zinakuwa na proportion ya false positive na false negative, na ukizingatia haitachukua muda kujaza zile feki za kichina tahadhari ni muhimu, bora uwe na gold standard test ili uweze ku-confirm zile positive..
 
Weka picha
Hii hapa picha
IMG-20200406-WA0000.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbatia ameonyesha Mfano anafaa kuwa KUB baada ya Uchaguzi

Huyu KUB tulinaye amepwaya
 
Lakini anayeongoza mapambano ana sifa zifuatazo:
  1. Haambiliki
  2. Mbishi
  3. Si mwelewa
  4. Anajali pesa kuliko maisha ya watu
  5. Anajali sifa binafsi kuliko maisha ya watu
  6. Ana upendeleo kwa watu wake
 
Huyu adui ni lazima apigwe kisayansi, ikishindikana kabisa mwanadamu anapoishiwa na mbinu na kila kitu, tunarudi msalabani Calvary kwenye damu inenayo mema, damu ya Yesu Kristo
 
Wazungu wamepitsha dawa inayoitwa 'Remdesevir' ili kutibu korona, haijulikani itafanikiwa kwa kiasi gani lakini utaona hizi jitihada zote wanazifanya sababu korona inawatafuna na wao, ingekuwa inapukutisha watu weusi pekee kama ilivyo kwa ukimwi, ebola na malaria usingeona mzungu akihangaika namna hii maana hapo anakuwa anatimiza ajenda yake kuu 'punguza idadi ya watu weusi na jamii nyingine za watu duni duniani'......ngoja tusubiri gonjwa jingine watakalotengeneza huko maabara..
 
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaogopa rekodi zitapaa

Jr[emoji769]
 
Nimepenyezewa za chinichini kwamba Kuna watu walikua wanataka wa donate dar es salaam, na Zanzibar ila wamepigwa stop. Ila inavyosemekana Kuna watu wanazo hapa Tz Ila wamepigwa stop

Sasa nimeshangaa kwanini Jana wanalalamika kwamba gharama za vipimo ziko Juu!

Kwanini wasiruhusu hizo Test kit ili ifanyike Mass testing

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo test zinaitwa Serology test ambazo zonapima antibodies. Zinakuws positive baada ya wiki 2-3 baada ya kuonyesha dalili. Pia ubora wake bado haujadhitishwa. WHO hawajaziruhusu kutambau wagonjwa wapya.
 
Libya,
Mkuu kwenye maambo ya kitaalumu sio kila chombo au msaada unaoletwa unafaa ,kuna hatua mbalimbali,hapo nyuma kuna watu walidai wana vifaa vya kupima ukimwi,kumbe hivyo vifaa ni ''chuma chakavu'' na havina uwezo wa kupimwa ukimwi
 
Sio kila dawa au kipimo kuhusu korona ni cha kukurupuka kununua au kupewa msaada. Watu wako busy kutengeneza speculative profits kupitia janga hili!

By the way, korona ni moja ya very sophisticated conspiracy against human kind! Lengo la waasisi wa ugonjwa huu ni kuyaangusha mataifa yote duniani kiuchumi, kiafya, na kisaikolojia. Wakishafanikiwa, then watakuwa wamepata fursa nzuri sana ya kuanzisha New World Order.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo kwenye shule tu hapo... Watoto washaanza kuwa wendawazimu huku mitaani
 
Wazungu wamepitsha dawa inayoitwa 'Remdesevir' ili kutibu korona, haijulikani itafanikiwa kwa kiasi gani lakini utaona hizi jitihada zote wanazifanya sababu korona inawatafuna na wao, ingekuwa inapukutisha watu weusi pekee kama ilivyo kwa ukimwi, ebola na malaria usingeona mzungu akihangaika namna hii maana hapo anakuwa anatimiza ajenda yake kuu 'punguza idadi ya watu weusi na jamii nyingine za watu duni duniani'......ngoja tusubiri gonjwa jingine watakalotengeneza huko maabara..
Hiyo dawa yenyewe Redmesevir wazungu waliitengeneza kutibia ebola

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo dawa yenyewe Redmesevir wazungu waliitengeneza kutibia ebola

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo wanakuwa wamelenga biashara ya makampuni yao ya madawa, kama wanavyofanya kwenye HIV hakuna dawa ya kutibu bali ipo ya kufubaza makali ya ukimwi, hapo wanakuwa wamefanya biashara ya dawa na hapohapo wamepunguza idadi ya watu weusi, maana wakishamezeshwa hizo sumu wanaishia kufa..
 
Tumekua tukimlaumu Rais Magufuli kua hakuchui hatua hasa ya kufunga jiji la Dar es Salaam.

Mimi binafsi lawama zangu ni serikali kuchelewa au kuzembea kuchukua hatua za haraka kuzuia watu kutoka nje kuingia nchini.

Lakini tayari tatizo limeshatokea na hali imekua mbaya. Pamoja na hilo Magufuli anahitaji zaidi ya Trillion 2 kwa mwezi kuendesha nchi. Yaani zaidi ya Billion 500 za mishahara. Bilioni 700 za kulipa madeni ya nje(debt servicing). Bilioni zadi ya 100 kununua madawa. Na nyingine za kuendeshea serikali kama mafuta, stationaries, repair and maintanence, nk.

Hizi nchi zetu masikini bila makusanyo kidogo basi utajikuta hata matumizi ya kawaida kama mishahara na matumizi mengine tunategemea mikopo. Na hapo miradi ya maendeleo ndio itakua bye bye maana huwezi kutekeleza miradi ya maendeleo huku huna hela ya kula(kulipa mishahara na matumizi mengine).

Serikali ikisema iweke lockdown Dar es salaam maana yake hakutakua na makusanyo yoyote hivyo hata mishahara itabidi tukope.

Asilimia zaidi ya 85 ya wagonwa wa corona wanapona wenyewe bila kuhitaji uangalizi wa madaktari n wengine hua hawajui kama wanaumwa corona hivyo huweza kuendelea na shughuli zao za kila siku bila shida, asilimia 10 hivi au zaidi wanahitaji uangalizi wa madaktari kupona na asilimia 3 hadi 6 hufariki.

Kufunga Dar au nchi maana yake ni kua hata hao 85 ambao hupona bila kuhitaji uangalizi wa madaktari utawaua kwa njaa, hivyo utajikuta idadi kubwa wanakufa kwa njaa badala ya ugonjwa wenyewe. Lakini pia Tanzania haina uwezo wa kuwapa chakula hao 85% ambao idadi kubwa hawana uwezo wa kujilisha zaidi ya siku 2 bila kufanya kazi.

Je huoni ni busara wachache kufa kulinda wengi? Maana yake ni kua shughuli ziendelee, huku watu wakishauriwa kuchukua tahadhari, wale ambao watapitiwa na evolution or natural selection na ugonjwa wakafa na wengine wakaendelea na maisha. Ni kama vitani, tunatuma jeshi la watu wachache wakapigane na watakaokufa wafe ili wengi wabaki salama. (Haya ni mawazo yangu binafsi)

Wewe una maoni gani? Au unashauri Magufuli afanyeje? Chukulia wewe ungekua kwenye viatu vya Magufuli.
 
Back
Top Bottom