Aliyekwambia gonjwa halipo nani? Rais anasema lipo na tujindae kuishi nalo. WHO Wamekiri tujiandae kisaikolojia kuishi nalo unatuambia nini?
 
Sasa Tanzania tunatafuta beef na majirani zetu. Tulianza kwa kuwapelekea "TAKE AWAY" za waathirika wa Covid-19, sasa hivi tumeamua na kuwazuia kabisa gari zao zisiingie.
 
Sio ugonjwa wa Hofu kwa Mujibu wa Magufuli
 
Kabla ya kuandika ulikuwa unawaza kwa kutumia kichwa au kile kiungo pendwa? Nani amekuambia hakuna Corona au haiuwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa sipotezi muda,ngoja niende kwenye mada....Hii vita tunayopambana sasa dhidi ya Corona sio ya majimaji wakuu,Tutaangamia tusikilize maelekezo ila tutumie na Akili zetu za kuzaliwa. Wale wa majimaji walipoambiwa risasi zitageuka maji walikubali bila kuhoji nadhani matokeo yake mliyaona,sasa tumeaminishwa hapa Silaha ni lockdown- No more weapon! Hii ni hatari sana,tujaribu kutumia vichwa vyetu basi kwa hao walioweka lockdown tunafanana nao katika nyanja zipi mpaka tuwafuate na je! Imewasaidia vipi?
Tusikariri; Moyo kwanza Silaha baadae!
 
Yaani Lockdown ni real weapons lakini kujifukiza + nyungu na Maombi katika ndo the same na Maji maji .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…