VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,168
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekwambia gonjwa halipo nani? Rais anasema lipo na tujindae kuishi nalo. WHO Wamekiri tujiandae kisaikolojia kuishi nalo unatuambia nini?Salamu wakuu. Hili gonjwa bado linaua wazee tuchukue tahadhari sana. Achana na propaganda za kisiasa za akina Makonda na Rais Magufuli. Huu ugonjwa unaua mazee. Kuna rafiki yangu alikua na pharmacy pale Morogoro mjini Mr Rola wa Holland pharmacy RIP ilikua ni partinaship na wenzie wawili. Yasemekana walitembelewa na asymptomatic Covid-19 case hapo pharmacy. Pamoja na kumpatia huduma bahadi mbaya wali contract the infection. Wawili wao bahati mbaya wakatwaliwa akiwepo Mr Rola. Mmoja kaponea chupuchupu tunamshukuru Mungu.
Huu ugonjwa bado upo ndugu zangu . tuchukue tahadhari.
Comrade umeghafilika mnootuwekee cheti chake cha kifo tuamini kama kweli amekufa kwa corona vinginevyo wewe litapeli pumbafu sawa na mitapeli na mizushi mingine
Sio ugonjwa wa Hofu kwa Mujibu wa MagufuliSalamu wakuu. Hili gonjwa bado linaua wazee tuchukue tahadhari sana. Achana na propaganda za kisiasa za akina Makonda na Rais Magufuli. Huu ugonjwa unaua mazee. Kuna rafiki yangu alikua na pharmacy pale Morogoro mjini Mr Rola wa Holland pharmacy RIP ilikua ni partinaship na wenzie wawili. Yasemekana walitembelewa na asymptomatic Covid-19 case hapo pharmacy. Pamoja na kumpatia huduma bahadi mbaya wali contract the infection. Wawili wao bahati mbaya wakatwaliwa akiwepo Mr Rola. Mmoja kaponea chupuchupu tunamshukuru Mungu.
Huu ugonjwa bado upo ndugu zangu . tuchukue tahadhari.
MwanasiasaNani kasema haupo?
Ugonjwa ni Siri ya mgonjwatuwekee cheti chake cha kifo tuamini kama kweli amekufa kwa corona vinginevyo wewe litapeli pumbafu sawa na mitapeli na mizushi mingine
sasa mleta mada kajuaje kafa kwa corona wakati ni siri je kafufuka kuja kusema?Ugonjwa ni Siri ya mgonjwa
Kabla ya kuandika ulikuwa unawaza kwa kutumia kichwa au kile kiungo pendwa? Nani amekuambia hakuna Corona au haiuwi?Salamu wakuu. Hili gonjwa bado linaua wazee tuchukue tahadhari sana. Achana na propaganda za kisiasa za akina Makonda na Rais Magufuli. Huu ugonjwa unaua mazee. Kuna rafiki yangu alikua na pharmacy pale Morogoro mjini Mr Rola wa Holland pharmacy RIP ilikua ni partinaship na wenzie wawili. Yasemekana walitembelewa na asymptomatic Covid-19 case hapo pharmacy. Pamoja na kumpatia huduma bahadi mbaya wali contract the infection. Wawili wao bahati mbaya wakatwaliwa akiwepo Mr Rola. Mmoja kaponea chupuchupu tunamshukuru Mungu.
Huu ugonjwa bado upo ndugu zangu . tuchukue tahadhari.
Ndio tabu ya kushiba magimbi nakutaka kufungua nyuziNani kasema haupo?
Sababu ni mtu wa karibusasa mleta mada kajuaje kafa kwa corona wakati ni siri je kafufuka kuja kusema?
kama mko karibu hivyo weka cheti chake cha kifo hapa kuthitisha kafa kwa coronaSababu ni mtu wa karibu