Sie tushapiga maombi mkuu...plus kujifukiza kila kitu kipo sawa...tumeishinda corona kwa ushindi wa kishindo kama alioshinda jiwe.Tujenge nchi
 
Piga NYUNGU mkuu corona ipo ila aiui
 
Usitufananishie mambo ya brazil na Tanzania
Brazil wana Nyungu?! Umevuka hadi brazil upeo wako umeshindwa kukufikirisha kwa jirani yako Burundi?! Hii ndiyo Bwana tutakao kufa na tufe watakao pona na wapone lakini jua tu maisha lazima yaendelee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Leta ushahidi hatutaki habari za kizushi zushi kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hii corona imekuwepo tangu mwaka jana mwezi wa nane,kwa nini eti iue sasa hivi?

Hizi taarifa zenu zinasababisha watu wafe kwa maradhi mengine bila kupata huduma.

Fikiria unasema wahudumu wa afya wanakufa Brazil.Leo baba yako anaenda hospitali anaumwa malaria,unadhani hawataogopa hata kumpima,kumtundikia drip na kumuhudumia kwa ujumla?Matokeo yake unadhani ni nini baada ya siku tatu kama amelazwa bila tiba?

Acheni kuwa ma agent wa kuzimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atatutetea lakini tahadhari lazima tuendelee nazo
 
Leta ushahidi hatutaki habari za kizushi zushi kama hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo yameripotiwa Maambukizi mapya ndani ya siku moja ni watu 17,408
Vifo vipya ndani Ya 24hrs watu 1,179...namba kubwa kwa siku ambayo haikuwahi kurikodiwa...
Chanzo Dw dunia yetu Leo mchana
Chanzo google Brazil Corona virus pandemic update

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi habari za hofu ndizo nchi haitaki kuzisikia mnaogopesha watu kuendelea na maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…