Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,085
- 9,022
Vipi na Burundi mkuu, tena wao mikusanyiko ya aina yote mpaka uchaguz unaendelea wana vifo vingapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga NYUNGU mkuu corona ipo ila aiuiHawa ndugu .. Kwa ufupi wanasema mwanzoni kama nchi hawakuheshimu wala kuzingatia tahadhari ya kuepuka maambukizi, leo hii taifa linashuhudia idadi kubwa yamaambukizi na vifo,wauguzi sekta ya afya huko ni kama sasa imezidiwa na wagonjwa! ambapo katika masaa ishirini na nne yaliyopita wameripoti idadi kubwa kabisa ya vifo vya watu 1000...hii hali inatisha sana.
Hizi Habari za kuiaga corona hapa Dar zinaleta wasiwasi kwa sasa ni vema basi tungevuta subira kwanza ni kama bado mapema kufikiria kuwa huyu adui corona keshatoweka mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenye busara zao, walishaacha kutoa mawazo yao humu mitandaoni.Ni maoni yake yaheshimuni, hajalazimisha mtu jaribuni kumjibu kwa hoja, muda utasema
Hawa ndugu .. Kwa ufupi wanasema mwanzoni kama nchi hawakuheshimu wala kuzingatia tahadhari ya kuepuka maambukizi, leo hii taifa linashuhudia idadi kubwa yamaambukizi na vifo,wauguzi sekta ya afya huko ni kama sasa imezidiwa na wagonjwa! ambapo katika masaa ishirini na nne yaliyopita wameripoti idadi kubwa kabisa ya vifo vya watu 1000...hii hali inatisha sana.
Hizi Habari za kuiaga corona hapa Dar zinaleta wasiwasi kwa sasa ni vema basi tungevuta subira kwanza ni kama bado mapema kufikiria kuwa huyu adui corona keshatoweka mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kulikuwa na maandamano ya hatari wanataka Raisi wao ajiuzuluHawa ndugu .. Kwa ufupi wanasema mwanzoni kama nchi hawakuheshimu wala kuzingatia tahadhari ya kuepuka maambukizi
Burundi wana kifo kimoja kama ni Habari za kweliVipi na Burundi mkuu, tena wao mikusanyiko ya aina yote mpaka uchaguz unaendelea wana vifo vingapi
Leo yameripotiwa Maambukizi mapya ndani ya siku moja ni watu 17,408
Na ndio trending news sasa.... Dunia nzima inaongea lugha moja sie tunaenda kivyetu vyetuHizi habari za hofu ndizo nchi haitaki kuzisikia mnaogopesha watu kuendelea na maisha yao.
Hao ni Brazil sio Tanzania ndio maana tuna majina tofauti wapambane na hali yaoToa uchafu wako hapa, kila mtu apambane na hali yake
Wale nasikia hata vipimo hawana😁Vipi na Burundi mkuu, tena wao mikusanyiko ya aina yote mpaka uchaguz unaendelea wana vifo vingapi
Na iwe hivyo! Kinyume chake ianze na joka kuu.Hao ni Brazil sio Tanzania ndio maana tuna majina tofauti wapambane na haki yao
Sisi tumeibamiza corona chini