Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wewe nenda huko Brazil, hamuwezi kutuamlia kayiswe.Hawa ndugu .. Kwa ufupi wanasema mwanzoni kama nchi hawakuheshimu wala kuzingatia tahadhari ya kuepuka maambukizi, leo hii taifa linashuhudia idadi kubwa yamaambukizi na vifo,wauguzi sekta ya afya huko ni kama sasa imezidiwa na wagonjwa! ambapo katika masaa ishirini na nne yaliyopita wameripoti idadi kubwa kabisa ya vifo vya watu 1000...hii hali inatisha sana.
Hizi Habari za kuiaga corona hapa Dar zinaleta wasiwasi kwa sasa ni vema basi tungevuta subira kwanza ni kama bado mapema kufikiria kuwa huyu adui corona keshatoweka mjini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaVipi na Burundi mkuu, tena wao mikusanyiko ya aina yote mpaka uchaguz unaendelea wana vifo vingapi
Kwani lazima uongee the same nao!, mbona watoto kuna wanaotofautiana na wazazi wao.Na ndio trending news sasa.... Dunia nzima inaongea lugha moja sie tunaenda kivyetu vyetu
Ndiyo maana siye lazima watuletee korona sababu ni Afrika? Ujinga mwingine bana lol.Tanzania sio ulaya ,acha kuwa mtumwa wa fikara
Kwani wao hawafanyi chochote kudumisha uchumi? Kwa nini wao wawaweke wananchi wao wanaorudi kwenye karantini wakati siye hatufanyi hivyo? Kwani nani aliyetufundisha kuhusu korona na jinsi ya kupambana nayo? Hayo ni maswali ya kujiuliza.Sisi tunafanya kila liwezalo kuhakikisha tunaokoa uchumi ambao unaweza kuanguka muda wowote.
Private sector tumeshaiua isipokua chache za kwenye utalii.
Sasa tusipokomaa na kuacha hizi chache za utalii zikafa uchumi utakufa kipo cha mende
Kama haelewi wewe endelea na mambo yakoMara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
Mwamba naona umerudi kwenye nafasi yako kwa kasi ya kimbunga.Kama haelewi wewe endelea na mambo yako
Very true Mkuu. Yaan Ni shidaaMkuu ndiyo maana wanaume tumeambiwa 'Tuishi nao kwa akili' hao viumbe ni shida, hata akiwa na Phd 100 ni dhaifu tu.
Jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu...Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
ππππ
Njoo nikuoe wewe usiye na tope kichwaniJitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu...
Nadhani na wewe pia una shida fulani - mkeo huwezi kumuita jitu!
Kuna tope kidogo kwenye brain yako.
Take care.
Sent using Jamii Forums mobile app