#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Hawa ndugu .. Kwa ufupi wanasema mwanzoni kama nchi hawakuheshimu wala kuzingatia tahadhari ya kuepuka maambukizi, leo hii taifa linashuhudia idadi kubwa yamaambukizi na vifo,wauguzi sekta ya afya huko ni kama sasa imezidiwa na wagonjwa! ambapo katika masaa ishirini na nne yaliyopita wameripoti idadi kubwa kabisa ya vifo vya watu 1000...hii hali inatisha sana.
Hizi Habari za kuiaga corona hapa Dar zinaleta wasiwasi kwa sasa ni vema basi tungevuta subira kwanza ni kama bado mapema kufikiria kuwa huyu adui corona keshatoweka mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nenda huko Brazil, hamuwezi kutuamlia kayiswe.
 
Tahadhari ziendelee mpaka mwakani,watu wasiwe kama nyumbu anayetaka kuvuka mto na mto una mamba na nyumbu anafikiri mamba ni gogo la mti na mamba anamsubiri nyumbu atumbukie

1590226630902.png
 
Wakati nchi za Ulaya kama UK zinatangaza kuweka wasifiri wanaoingia nchini mwao kwenye karantini ya siku 14, siye tunatangaza kuwaalika watalii bila karantini wakati Corona bado ni tishio kubwa duniani.

Tusipopambana na Corona ipasavyo nchi yetu yaweza kuwa ya mwisho kupambana nayo Afrika. Kama bado tuna Corona wakati nchi nyingine hazina, watalii tunaowategemea kiuchumi watachagua nchi zilizo pambana na Corona za Mediterranean au hata Kenya ambako wanajitahidi kupambana na Corona kiukweli na kimatendo sio kiimani pekee.
 
Sisi tunafanya kila liwezalo kuhakikisha tunaokoa uchumi ambao unaweza kuanguka muda wowote.

Private sector tumeshaiua isipokua chache za kwenye utalii.

Sasa tusipokomaa na kuacha hizi chache za utalii zikafa uchumi utakufa kipo cha mende
 
Kwani wao hawafanyi chochote kudumisha uchumi? Kwa nini wao wawaweke wananchi wao wanaorudi kwenye karantini wakati siye hatufanyi hivyo? Kwani nani aliyetufundisha kuhusu korona na jinsi ya kupambana nayo? Hayo ni maswali ya kujiuliza.
 
Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
 
Kama haelewi wewe endelea na mambo yako
 
Mkuu ndiyo maana wanaume tumeambiwa 'Tuishi nao kwa akili' hao viumbe ni shida, hata akiwa na Phd 100 ni dhaifu tu.
 
Mara kadhaa najaribu kumuelewesha wife kujikinga COVID-19 lakin aisee Ni changamoto jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu. Daah aisee Ni shida hawa viumbe.
NB: ukijaribu kumuelekeza kwaupendo hatari ya kupata COVID19 ananuna siku 5.
Jitu linachukulia poa tu. Yaan linaalika ndugu zake tu...
Nadhani na wewe pia una shida fulani - mkeo huwezi kumuita jitu!
Kuna tope kidogo kwenye brain yako.
Take care.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe watanzania tuliokuwa tukigundulika na Corona kwa wenzetu tulikuwa tukihesabiwa kwao.

Hata hivyo imeonekana kuwa tumekuwa tukijimwambafai mno kuwa kwetu namba zinaelekea kusoma bila bila kiasi wameamua kuturejeshea watu wetu na namba zetu tuhangaike nazo wenyewe.

Msala mzima uko hapa:

More Tanzanians Test Positive for Coronavirus
 
Back
Top Bottom