Bonge la point, hakuna kitu kizuri kama data analysis.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili ujue kuna wagonjwa wangapi ni lazima uwapime. Kwa kuwa Tz hatuna vipimo vya kutosha ni wazi kuwa wengi hawajapimwa na ndio maana hizo data zipo severely questionable.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rub-bish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hyo unataka kusema.
Tangu corona iingie Tanzania kuna watu wanaumwa lakini WANAPONA WENYEWE?.
kama unataka kutuaminisha kuna wagonjwa wengi hapa Tanzania mbona hakuna aliyepelekwa hospitali akiwa kazidiwa na ugonjwa wa corona?
Ili ujue kuna wagonjwa wangapi ni lazima uwapime. Kwa kuwa Tz hatuna vipimo vya kutosha ni wazi kuwa wengi hawajapimwa na ndio maana hizo data zipo severely questionable.

Sent using Jamii Forums mobile app

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Mheshimiwa mkuu kabisa, kwa mara nyingine pasipo na kuchoka ninakuletea tena ushauri. Huu sasa ni kukuomba kumulika taarifa tata kuhusiana na ugonjwa huu tokea kwa zilizo mamlaka za kuuhabarisha umma.

Ni wazi kuwa taarifa zinazopatikana toka katika mamlaka hizo zimekuwa tofauti na uhalisia wa hali ilivyo. Kuwepo kwa taarifa sahihi kulikuwa na umuhimu wa kipekee sana katika kuhakikisha sote kama taifa tunajielekeza katika mikakati iliyo sahihi ya kupambana nao. Hii ni hata kama mikakati hiyo ingekuwa michungu vipi, sote tukiyaweka maslahi ya taifa letu mbele.

Kinyume cha hapo tunakuwa hatuna tofauti na waficha maradhi au waficha ny**hi.

Rejea wagonjwa wawili waliobainika jana Zanzibar wakitokea Tanga. Mamlaka habarishi hadi sasa hazina tamko lolote kuhusiana na wao. Kwa maana nyingine mamlaka habarishi haziwatambui.

Wagonjwa wawili wa corona waongezeka Zanzibar

Wewe kama mwanasayansi mbobezi naamini unafahamu wazi kuwa ugonjwa huu (of all the countries), hauwezi kuwa na pattern tofauti kwa Tanzania na North Korea peke yao. Pana kitu hapa siyo.

Kwako mh. Rais, wapotoshaji wowote katika janga hili bila kujali hadhi zao wanapaswa kufahamu na pia kufahamishwa kuwa hawatufai na sisi kama wananchi hatufurahishwi kabisa na hatua zao hizo.

Anasema Baba wa Taifa (RIP), "mtoa rushwa na mla rushwa wote maji ga nyanja". Mwisho wa kumnukuu.

Ni wakati wa kuwafahamisha wapotoshaji wote katika ugonjwa huu bila kujali wamesimama upande upi, wote kabisa ni "maji ga nyanja" na ikibidi wakachukuliwa hatuaili kwani hawatusaidii.

Kwa ujumla hao wanaleta sintofahamu zaidi ya kuwaandaa watu kujiwekea utayari wa kukabiliana na ugonjwa huu ambao ni tishio kwetu kama taifa.

Corona na kizungumkuti katika uhabarishaji umma - JamiiForums

Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli - JamiiForums
 
Hakuna asiyejua marais Museveni, Kenyatta, Kagame, Ramaphosa nk wamejihusisha kiasi gani moja kwa moja na huu ugonjwa. Hapa kwetu imekuwa tofauti.

Matokeo yake yamekuwa hizi potoshaji na funika funika za wazi. Hii hapa ni kama ilivyosambazwa tena kwa umma huko Rwanda:





Mkuu tunakoelekea mambo yasipokwenda sawa kutakuwa na lawama na kuwajibishwa kusikokuwa na mfano.

Ungerejea dar kuongoza Vita hivi mwenyewe. Ficha ficha katu haitatuokoa.
 
Wee brazaj utatafutwa sasa ukaisaidie serikali kuishauri maana si kwa wingi wako wa nyuzi za Covid19 au virusi vyake
 
Wee brazaj utatafutwa sasa ukaisaidie serikali kuishauri maana si kwa wingi wako wa nyuzi za Covid19 au virusi vyake

Mkuu waonyeshe tu nia ya kuwa wananihitaji. Mbona sina cha kuficha? Nitakwenda mwenyewe kuunganisha nguvu nao ili jamii yetu iweze kuishinda Corona pasipo na muda zaidi kupotea.

Sidhani kama kuna bandiko langu lolote ambalo limekuwa na ukiukwaji wowote. Hii ni katika Corona au kokote.

Nia yangu na wengine wengi tu wanayo nia njema tu ya kuona tunakuwa katika hali iliyi bora zaidi kama watanzania pasipo na kusubiri kulipwa wala hata kupewa shukurani tu.

Yetu like us, hate us: ya msingi ni haya kuhusiana na Corona:

1. Tupeane taarifa sahihi kwa wakati.
2. Rais akaongoze vita hii sasa. Yeye mwenyewe mstari wa mbele.
3. Hamna haja ya uchaguzi mkuu, wala bunge. Hivi viahirihishwe hadi tuwe na uhakika wa uelekeo.
4. Hamna haja ya mikusanyiko yoyote kwa sasa kwa jina lolote iwe ni: masoko, ibada, usafiri wa umma nk.
5. Kwenye maambukizi dar, Zanzibar nk kupigwe lockdown.

Tuanzie hapo kwanza, tutaushinda sote huu ugonjwa. Maslahi binafsi yaainishwe na kuhakikishwa yamedhibitiwa kwa uwazi.

What can be better than this?

Kuwa hamasisha watu kuendelea na maisha kama kawaida kwenye hali tata kama hii itakuwa kutojitendea haki.

We must be joking.
 
Asilimia 70 ya wakenya wanataka total lockdown.

Wakenya wameelimika zaidi kuliko sisi.

Ikumbukwe kuelimika ni mada mtambuka. Unaweza kuwa doctor na hata professor lakini ukawa hujaelimika.

Ni kwa misingi kama hiyo hiyo Kenya wana mengi bora (yakiwamo katiba) waliyo nayo na sisi kama tulivyo. Angalia hata reporting ya maendeleo ya huu ugonjwa ni daily, haya ya kwetu hawawezi kuyakubali.

Kenya rais anawaomba radhi wananchi polisi wanapotumia nguvu ndivyo sivyo (hali kwetu anautamani u IGP).

Serikali isiposhughulika ipasavyo inapelekwa mahakamani na wananchi, ambako inapewa maelekezo ya nini cha kufanya.

Wenzetu wako mbali.

TWAWEZA aliyaona hayo. TWAWEZA hawezi ona Kenya kama alivyoona kwetu.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Chakushangaza mwandika mada nimwanaume

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Chukulia na hilo lililokukuta ni shule kuna muda utaliendea likizo na utapata mwengine you just focus on your future.
 
Sema ulienda masomoni au ulienda chuo au ulienda kujiendeleza. shule ulienda kurisiti mkuu?
 
Ila kizuri kula na mwenzio wivu wa nn sasa..
Nawa mikono na sanitizer mkapate mkate wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…