Bonge la point, hakuna kitu kizuri kama data analysis.Ili kupata projection ya uhalisia wa athari za Corona nchini kwetu kwa siku za usoni, ninaishauri serekali iwe ina monitor hii kitu inaitwa "Fatality Rate" ambayo inapatikana kwa ku calculate idadi ya vifo gawanya kwa jumla ya maambukizi.
Kwa kigezo hiki, takwimu hadi leo asubuhi zinaonyesha kuwa Tanzania ina "COVID-19 Fatality Rate" kubwa kuliko nchi zote katika EAC block, kama hesabu hizi hapa chini zinavyothibitisha:
Tanzania 1/20 = 5.0%
Kenya 3/110 = 2.7%
Rwanda 0/84 = 0%
Uganda 0/45 = 0%
Burundi 0/3 = 0%
Ili tuweze ku improve kwenye score hii, inabidi tuongeze uwezo (in terms of testing centres & equipment) wa upimaji ili tuwe na sample size kubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app