Corona ipo kwaajili ya wazungu huko ulaya, ni zamu yao sasa wacha iwanyooshe
Huku Africa tunapambana na majanga yetu ya maralia, njaa, ebola na mengine mengi
Wazungu wanataka kulazimisha janga lao liwe la dunia nzima...haiwezekani
Idris Elba alipotangaza hadharani kwamba ni COVID-19 Positiv3, African Americans wenye akili sawa na zako wakawa wanasema Idris amelipwa na Wazungu ili kuwatisha black!

Hivi sasa US wanaoongoza kufa, percent kubwa ni black... what a coincidence!!

Sasa endelea kuamini ni ugonjwa wa wazungu kama ambavyo Trump alivyokuwa anaita China Virus hadi ilipokuwa too late hivi sasa anaanza kutapata tapa wakati hapo nyuma alishatangaza kwa mbwembwe kwamba wapo tayari kwenda kuwasaidia Iran kwa sababu US ina watalaamu kibao!!!
 
Nashauri shule na vyuo viendelee kufungwa lakini kwa upande wa vyuo vikuu, wakufunzi waanze kufundisha kwa njia ya mtandao.

Hii inawezekana hasa kwa masuala ya theory, na practical zinaweza kufanyika siku wakirejea vyuoni. Tutumie mitandao kuwafundisha kwa vile wapo majumbani.

Kwa kuanzia, kuna wawakilishi wa wanafunzi (CRs) na viongozi wa wanafunzi vyuoni, hawa wanaweza kutumiwa notes na wakufunzi kwa mtindo wa SLIDES na VIDEOS na kusambaza kwa wenzao na hivyo muhula wa masomo kuendelea kama kawaida.

Kwa wale wenye mikopo (BOOM) wanaweza kupewa nusu kwa mfano sh.250,000/= ili zingine wapewe wakirudi vyuo baada ya kusaini.

Nimeshuhudia vyuoni baadhi ya wanafunzi hawahudhurii darasani ila wanachukua slides na kujisomea na wamekuwa wakifaulu hata kuzidi wale wanaohudhuria.

Vyuo vitakapofunguliwa, wakufunzi wanaweza ku-HIGHLIGHT kile walichofundisha na baadae kutoa TEST ONE.

Ili kiepusha msongamano, usumbufu katika vituo vya mabasi, na kukosa usafiri, siku shule zikifunguliwa, wapishane kwa wiki moja. Kwa mfano, wanaweza kutangulia wa shule za msingi na sekondari na baada ya wiki moja wafuatie wa vyuo vya kati na vyuo vikuu.

Wanafunzi wa vyuo vikuu wana viherehere hasa wakati wa uchaguzi, hivyo si vyema uchaguzi ukawakuta wakiwa vyuoni.
 
Mimi nimeshangazwa tu na kitendo cha serikali kutowaweka mapema karantini kwa siku 14 wageni na wasafiri wote waliokuwa wakiingia nchini kutoka nje kabla ya huo ugonjwa kuanza rasmi kuenea! Badala yake wakawa wanapima tu joto la mwili.

Mshangao mwingine ni hili zoezi la kuzifunga shule na vyuo vyote pasipo maandalizi yoyote yale kwa wanafunzi! huku shughuli nyingine kama za usafiri, vikao vya Bunge na ibada kwenye makanisa na misikiti ambazo nazo kimsingi zinahusisha mikusanyiko ya watu zikiendelea kama kawaida.

Nimefurahia tu mbio za ufujaji fedha za Mwenge kuahirishwa.
 
Endelea kuwaza na kufanya dhihaka.....nyie lumumba inabidi muwe wa kwanza kunaswa ikianzia na jeuri kiburi jiwe
 
Kweni hivi karibuni ugaidi ulikua wapi
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 

Naunga mkono hoja kusema kweli kuna uwezekano mkubwa wa awa magaidi kuwa wanawezeshwa na ayo mataifa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu unataka wasahihishaji wa madaftari ya wanao wafe kama nzige?
Waonee huruma wanafunzi, wengi wao bado ni wadogo na hata mfumo kinga wao ni dhaifu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio warudi kwa mtazamo huo, labda kwa kutokuwa serious kwenye kudhibiti, watu tuliotegemea watakuwa karantini eti kutoweka, sasa hata takwimu namashaka nazo, na maambukizi ya ndani yameanza,hii inathibitisha tumeshindwa kuzuia kwa hiyo hatua zote hazina tija tulizochukuwa ikiwemo kufunga shule!
 
Corona did terrorists a big favor, kama wanakufa 900 kwa siku uko UK/US , magaidi wako bar wanagonga Balimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…