Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatubidi tunachangie kwenye elimu (shule) kuliko kuwapa Wachunganji, Maskofu (hela) sadakaTunahitaji kuchangia hospitals kuliko misikiti
True thatInatubidi tunachangie kwenye elimu (shule) kuliko kuwapa Wachunganji, Maskofu (hela) sadaka
Hili Janga La CORONA Limetupa Funzo Kubwa Sana:
1.Tunahitaji Zaidi Hospitali Kuliko Makanisa.
2.Tunahitaji Zaidi Madaktari Kuliko Wachungaji
3.Madaktari Ndio Watatusaidia Kutuponya Ila Wachungaji Wanatuombea Tu.
4.Inatupasa Kuchangia Zaidi Hospitali Kuliko Makanisani.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah inasikitisha Sana, Leo maambukizi yamekuwa mengi Sana 88 kutoka 53 je Hadi jumapili itakuaje?Mkuu unachosema ni kweli kabisa. Ukijaribu kuzunguka sehemu za starehe mida ya jioni, utadhani hakuna janga lolote! Nenda supermarkets, malls, bars, benki nk watu wanajaa kama kawa na misongamano kama yote. Jana nimeenda dispensary kumpeleka mgonjwa nimeshangaa kuanzia wadada wa mapokezi, madaktari, maabara nk hakuna hata mmoja alievaa walau mask tu na watu humo ndani wanakohoa balaa.
Haaaaaa Waafrika hatujitambui, na km wanaojitambua wapo wachache hivyo wanamezwa na wengi wajinga!! Wengi hawajui km uchaguzi mkuu ndo sehemu sahihi kuwawajibisha watuAfrica serikali hazijali sana vifo vya watu na wananchi wenyewe hawajui kuwawajibisha viongozi wao utaona October bado watu wanamshobokea jiwe.
Vijijini tv zimejaa sana sikuhizi.Unajua asilimia ngapi ya wananchi wapo vijijini?
Na hata hiyo tv kwao ni msamiati?
لعنة الله اليك
Hiyo ndugu IPO tu kinadhalia lakini kiuhalisia Serikali Ni kundi/ taasisi fulani inayotawala watu utake usitake!!Serikali ni nani utapata jibu.
Mkuu jikinge ww utakiwa umekinga na wengine hiyo ndo serikali.
Anzia nymbani kwako utaokoa faimila ysko jirani kijiji hadi mkoa