Kama inavofahamika Tanzania bado sana katika teknolojia hasa ukizingatia data za internet ni ghali. Hivyo nashauri kuwa serikali ikae na vituo vya televisheni ili kuweza kuendesha vipindi vya masomo ya kuanzia shule za msingi hadi sekondari kwa njia ya tv watenge muda hata masaa mawili au matatu kwa siku na hizi local channels wagawane masomo na muda tofauti wa kufundisha masomo hayo.

Kwa wanafunzi wa vyuo najua wapo advanced kidogo kwenye kujifunza through internet wanaweza kuendelea kwenye mtandao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
La mwisho kila mwananchi ajifunze kuwa na akiba ya chakula ndani...
 
Daaah inasikitisha Sana, Leo maambukizi yamekuwa mengi Sana 88 kutoka 53 je Hadi jumapili itakuaje?
Mungu tu atusaidie kwa kweliii

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Unajua asilimia ngapi ya wananchi wapo vijijini?
Na hata hiyo tv kwao ni msamiati?
 
Africa serikali hazijali sana vifo vya watu na wananchi wenyewe hawajui kuwawajibisha viongozi wao utaona October bado watu wanamshobokea jiwe.
Haaaaaa Waafrika hatujitambui, na km wanaojitambua wapo wachache hivyo wanamezwa na wengi wajinga!! Wengi hawajui km uchaguzi mkuu ndo sehemu sahihi kuwawajibisha watu

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Serikali ni nani utapata jibu.
Mkuu jikinge ww utakiwa umekinga na wengine hiyo ndo serikali.
Anzia nymbani kwako utaokoa faimila ysko jirani kijiji hadi mkoa
Hiyo ndugu IPO tu kinadhalia lakini kiuhalisia Serikali Ni kundi/ taasisi fulani inayotawala watu utake usitake!!


House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…