#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Direct kwenye mada...

Tunazidi kushuhudia Dunia kwa sasa iko na hali mbaya sana kutokana na virusi vya corona.

Maumivu ni makubwa sana tangu ugonjwa huu uanze kwa mara ya kwanza nchini china hadi kusambaa kwake kwa kasi mataifa mengine ya jiran na hatimae dunian kote.

Athar zimezid kuongezeka na inawezekana zikazidi kuongezeka zaidi endapo baadhi ya nchi zitashindwa kuchukua hatua madhubuti kuzuia usambaaji zaidi wa virusi hivi.

Kwa sasa dunia imetikisika,na kila nchi imeweka juhudi zake zote katika kupambana na ugonjwa huu..

Hapa ukichunguza utagundua Dunia inazungumza lugha mmoja pekee kwa sasa
Yaan lugha ya "Corona" au kwa covic-19.

Si ugaidi tena,si nuclear wala maralia,au ukimwi au Vita..
Yaan dunia yote inaongea juu ya corona!!

Je, ni nini kitatokea baada ya ugonjwa wa corona kuisha?

1.Kufanyika kwa uchunguzi na kufunguliwa kesi dhidi ya Taifa la china,na endapo ushahidi utaonyesha china inahusika,(licha ya kuwa ni kwel hadi sasa ushahid unaonyesha virus vya corona vilitengenezwa na china katika jimbo lake la wuhan),basi vikwazo vikali vya kimataifa vitaanzishwa na umoja wa mataifa kwa kushirikiana na mataifa makubwa dhidi ya China.

2.kutokana na kwamba,Dunia itakuwa imeanguka kiuchumi baada ya ugonjwa huu,basi dunia itaweka juhudi nyingi kunusuru uchumi wa dunia.

3.Asilimia kubwa ya watu watapoteza ajira,na mataifa maskini yatazidi kudidimia kiuchumi kwa kupoteza kiwango kikubwa cha mapato kutokana na ugonjwa huu.

Mengine nawaachia wadau muongezee

Nawasilisha
Si mpaka tuwepo kufanya yote hayo.
 
Sidhan kama China alihusika ktk kuvujisha iki kirus, kwa kufkiria kwangu hii ni vita baridi ya kiuchumi kati ya hizi super power countries
Pia sidhan kama China kajitengenezea kirus ili kuua raia wake ambao ndo wajenga uchumi na ustawi wa nchi ya China

Naomba kuwasilisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi zilizoendelea na zilizopata athari za moja kwa moja za ugonjwa huu, zitafanikiwa kueliminate ugonjwa huu na kutake precautions kubwa sanaa za maambukizi mapya wakati huo sisi bara la giza ambao tunaupuuzia saizi tutaingia mkataba na ugonjwa huu na kuwa ugonjwa kama magonjwa mengine tuliyoyazoea barani kwetu i.e AIDS, Malaria n.k hivo nchi kubwa kubwa zitaendelea kutoa misaada ya madawa na vikinga maambukizi miaka nenda miaka rudi na hapo tutajikuta tunazidi kuwa watumwa wao kiuchumi.

Sijui kwanini akili zangu zinanifanya nifikirie namna hii.
 
Licha ya utofauti wa Rangi, Mazingira, Lugha na Tamaduni bado dunia ni moja tatizo la mwingine sio kitu cha kucheka yawezekana baada ya Covid19 kuisha kutatokea ushirikiano na upendo baina ya mataifa ambapo hapo awali haukuwepo.
 
Kama waafrika wataendelea kuuchukulia mzaha huu ugonjwa kuna uwezekano hapo baadae waafrika wengi mkawekewa vikwazo vya kuja huku nchi za Magharibi.

Exactly, mi naona kabisa huu ugonjwa umeanzia kwa wenzetu lakini si ajabu tukabaki nao sisi tu kwa mizaha yetu.
 
M
Sidhan kama China alihusika ktk kuvujisha iki kirus, kwa kufkiria kwangu hii ni vita baridi ya kiuchumi kati ya hizi super power countries
Pia sidhan kama China kajitengenezea kirus ili kuua raia wake ambao ndo wajenga uchumi na ustawi wa nchi ya China

Naomba kuwasilisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
China imehusika,kuna taarifa zimevuja kuhusu hili jambo mkuu,na ndio maana hata trump anaongea kwa ujasir kila mda "chinise virus",taarifa tayar wanazo ila hawatak kuanza vya vita maneno kwa sasa maana dunia nzima iko kwenye janga,,
Jaribu kwa uchache kufatilia taarifa zinazovuja lakin pia mimi nina marafik zangu walitoka jimbo la wuhan,wanatoa ushahidi mkubwa yakuwa virus vilitengezwa kwenye maabara nchini china,kuna makosa yalifanyika ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo.
 
Uchumi wa dunia utashuka, nchi zinazoendelea zitanyonywa zaidi kwenye upande wa rasilimali
 
M

China imehusika,kuna taarifa zimevuja kuhusu hili jambo mkuu,na ndio maana hata trump anaongea kwa ujasir kila mda "chinise virus",taarifa tayar wanazo ila hawatak kuanza vya vita maneno kwa sasa maana dunia nzima iko kwenye janga,,
Jaribu kwa uchache kufatilia taarifa zinazovuja lakin pia mimi nina marafik zangu walitoka jimbo la wuhan,wanatoa ushahidi mkubwa yakuwa virus vilitengezwa kwenye maabara nchini china,kuna makosa yalifanyika ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo.
Hahahahaha

Hao marafiki zako wanafanya kazi maabara gani hapo China?

Hahahahaha

Acha story za vijiweni wewe
Story za kushushia kahawa

Hahahahahah
 
Wote tulio comment hapa, corona ishatupangia tarehe ya kurudisha funguo wa pumzi.
 
*WELL PLAYED CHINA....*

*SCENE 1 :*
The curtain opens: China becomes ill, enters a "crisis" and paralyzes its trade. The curtain closes.

*SCENE II.*
The curtain opens: The Chinese currency is devalued. They do not do anything. The curtain closes.

*SCENE III.*
The curtain opens:: Due to the lack of trade of companies from Europe and the USA that are based in China, their shares fall 40% of their value.

*SCENE IV.*
The curtain opens:: The world is ill, China buys 30% of the shares of companies in Europe and the US at a very low price. The curtain closes.

*SCENE V.*
The curtain opens: China has controlled the disease and owns companies in Europe and the US. And he decides that these companies stay in China and earn $ 20,000Billions. The curtain closes. How is the play called?

*SCENE VI:*
*Checkmate!*

*ReAmazing but true*

Two videos have passed between yesterday and today that convinced me of something I suspected, but had no basis. It was just my speculation. Now I am convinced that the coronavirus was purposely propagated by the Chinese themselves.

At first they were too prepared. Three weeks after the start of the roll, 14 days and a 12,000-bed hospitals were already under construction. And they really built them in two weeks.

Awesome.

Yesterday they announced that they had stopped the epidemic. They appear in videos celebrating, they announce that they even have a vaccine. How could they create it so quickly without having all the genetic information? Well if you are the owner of the formula it is not difficult at all.
And today I just saw a video that explains how Den Xiao Ping gave the west a half stick. Due to the coronavirus, the actions of Western companies in China fell dramatically. China I just hope, when they went down enough they bought them. Now the companies, Created by the USA and Europe in China with all the technology put in by these exchanges and their capital they passed into the hands of China, which is now rising with all that technological potential and will be able to set prices at will to sell everything they need to the West. How are you?

None of this could have happened by chance. China who cared that a few old men died? Fewer old-age pensions to pay, but the loot has been huge. And right now the West is financially defeated, in crisis and stunned by the disease. And without knowing what to do.

Masterfully diabolic. It had to be the communists. |

Adding to this, they are now the single largest owners of US treasury with 1.18 trillion holding surpassing Japan.
An instrument that has seen the most rally

One ☝ prospective & Analogy
-------_--------------_-------////-//////
How come Russia & North Korea have Low or Zero incidence of Covid- 19 ?

Is it because they are staunch allies of China

On the other hand USA / South Korea / United Kingdom / France / Italy / Spain and Asia are severely hit

How come Wuhan is suddenly free from the deadly virus?

China says that the drastic initial measures that they took were very stern and Wuhan was locked down to contain the spread to other areas

Why Beijing was not hit ? Why only Wuhan?

It is interesting to ponder upon.. right ?

Well ..Wuhan is open for business now

Covid - 19 needs to be seen in the backdrop of the arm twisting of China by USA in the trade war

America and all the above mentioned countries are devastated financially

Soon American economy will collapse as planned by China.

China knows it CANNOT defeat America militarily as USA is at present THE MOST POWERFUL country in the world.

So use the virus...to cripple the economy and paralyse the nation and its Defense capabilities.

I am sure Nancy Pelosi got a part in this.... to topple Trump....

Lately President Trump has always been telling of how the GREAT American economy was improving on all fronts and jobs were coming back to the USA

The only way to destroy his vision of making AMERICA GREAT AGAIN is to create an ECONOMIC HAVOC.

Nancy Pelosi was unable to bring down Trump through impeachment.....so work along with China to destroy Trump by releasing a virus.

Wuhan's epidemic was a showcase.

At the peak of the virus epidemic....China's President Xi Jinping...just wore a simple RM1 facemask to visit those effected areas.

As President he should have been covered from head to toe.....but that was not the case.

He was already injected to resist any harm from the virus....that means a cure was already in place before the virus was released

China's vision is to control the World ECONOMY by buying up stocks now from countries facing the brink of severe ECONOMIC COLLAPSE.....Later China will announce that their Medical Researchers have found a cure to destroy the virus

Now China shall OWN the stocks of All Western Alliances and these countries will soon be slave to their NEW MASTER..... CHINA
 
Acha uongo, waafrica ni waongo sana, sisi hayo unayo ya copy sio ya kweli, hakuna jambo lolote lililopangwa kuhusiana na CORONA
 
Un

Unaandika uongo tu, ungejua tulivyo fight kuhusiana na issue ya CORONA we jamaa usinge andika hizi mambo zako za uongo , wachina wamehangaika sana na CORONA mkuu, achana na hizo propaganda, wenzetu wanahangaika kufanya utafiti wa dawa sisi tumekazana na siasa tu
 
Toa mtazamo wako na maoni acha ku criticize watu...
Unakwama wapi mkuu

Mbona mada ipo wazi!!
 
Back
Top Bottom