#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
msemakweli2,
dah..haya mambo poa tu ila nashukuru nipo ndani ya historia isee maan 1ww ilinipita 2ww ikapiata cold war vilevile hili janga limenikuta kiumbe mimi nipo duniani hapa ninacho cha kusimulia isee kwa wajukuu hapo baadae tushukuru kwa yote..
 
msemakweli2,
Mwisho wa dunia sio kitu cha mchezo. Vifo vya corona ndio vimefikia 50,000 Je unajua kwamba kila mwaka malaria peke yake inaua watu 400,000 na hawa karibu wote wanatoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara pekee?

Walioambukizwa hadi sasa hawajafikia population ya Zanzibar ambayo ni 1M, duniani kote tupo zaidi ya 7 billion. Corona itapita mda mfupi tu ujao na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Kila siku ya Mungu watanzania tunazikana, Nenda hospital za rufaa na za wilaya zote uone kwa siku zinatoka maiti ngapi? Hiyo outbreak itakushtua wewe sisi wengine tushazoea haipiti mwezi bila kuhudhuria misiba,

tuna maradhi mengi nchini yanayoumiza na kutesa nadhani wenzetu mko Tanzania ya sayari yenu ndio maana wananchi hatushtuki Wala hatumuwazii huyo mdudu Corona sisi huku uswazi tunapiga mishe zetu Kama kawaida nyie endeleeni kusubiri outbreak ya Corona.
 
Upuuzi mtupu.

Kumekuwa na majanga mengi na makubwa kuliko hili la Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you people scared that the world is coming to an end, do you feel like this is the worst disease outbreak?? No, it's not close to even top 20 epidemics.

Let me share with you the world's worst pandemics of all times.

1. *ANTONINE_PLAGUE* This occurred in 165AD and claimed 5 million lives. It swept over Asia, Egypt, Greece and Italy. Just in case you think it's the first time Italy is leading.

2. *PLAGUE_OF_JUSTINIAN.* It occurred btn 541 to 542, just in 1 year 25 million people were dead. Each day, death toll counted 10,000.

3. *THE_FLU_PANDEMIC* Also known as THE *SPANISH FLU*. It was btn 1918 to 1920, just 100years ago. By that time the world had 1.5billion people, 500million got the disease and that was 1/3 of the total population. In the first week alone, there was a record 25million deaths, worse than first world war itself.
Corona virus is mostly killing the elderly and those already weakened by other diseases but the Spanish flu respected no age group, it claimed 50million lives.

4. *THE_3RD_PLAGUE_OF_1855* This one also started from China and killed 10 million Indians in less than one year. You wouldn't want to hear the total number of global death. By now you want to ask me whether the world ended, the answer is it didn't, lol.

5. *THE_BLACK_DEATH.* This was by far the worst. It occurred from 1346-1353, that was 7 years long pandemic. It was caused by bubonic plague transmitted by fleas.
By that time, the world's population was 400million, then 200 million died. Half of the world's population died. If the world was to end with a disease, it would end that time not with corona.
It is said that during that plague, the living spent most of their time hurrying the dead in mass graves and yet others were left unburied.

6. *HIV_AIDS*. You didn't expect this one, did you? Perhaps u forgot about it but the disease still rear it's ugly head across the world. The peak record deaths was btn 2005-2012. In 7 years, 36 million people died but it didn't terrify you because it was not on news like corona.

By today, corona death is not close to half a million, no. Whenever you feel frightened by corona, just know that it will never be recorded among world's top 20 pandemics, it's not close. The world is not ending with it, we shall live on. Well, people are dying but not even half will die. We shall remain.

*Stay_hopeful*
*Stay_positive*
*Stay_home*
*Stay_Safe*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hamuwezi kutaja korona bila kumshirikisha MUNGU..??
Hana msaada juu ya hilo Mara nyingi naandika ila hamuelewi sasa ngojeni muuone uhalisia na nadharia kipi unakiishi..
 
Usiku wa leo nimejaribu kutathimini yanayoendelea juu ya corona ni wazi mwisho wa dunia umefika, na hata kama haujafika ni wazi kama mungu akiamua kuituliza corona dunia haiwezi kuwa kama tunavyoiona kwa sasa jinsi ilivyo, nasema mungu akiamua kuituliza kwakuwa hakuna mwanadamu anaweza kulituliza janga hili, ni wazi kutakuwa na mabadiliko makubwa mno.

Kupitia vyanzo mbalimbali nimeona majeneza maelfu kwa maelfu tena ya kwenye nchi zilizoendelea nchi kama Marekani, Hispania, Italy, Uchina n.k. kwa sisi nchi zinazoitwa zinaendelea ni wazi ni kudra za mwenyezi mungu ndio zitatuokoa na sio vinginevyo, sisi hatuna uwezo wa kukabiliana hata chembe na janga hili. Sisi ni kama watoto ambao adui akiingia ndani akampiga baba ni wazi watoto hatutakuwa na cha kufanya.

Nimeona riport ya UN inasema Africa itaanza kuchakazwa na Corona Almost week mbili mpaka tatu zijazo. Ndugu zangu tujiandae na chochote hali ni mbaya kwa wenzetu kuona watu mia saba, mia nane au elfu moja wanakufa kwa siku imekuwa kitu cha kawaida kwa siku za hivi karibuni, fikiria tumefiwa na mtu mmoja tu kwa corona lakini taifa lote limehuzunika, je ikitokea ya uchina huko si tutapoteana ndugu zangu??

EEEEH MWENYEZI MUNGU SIKIA KILIO CHETU WAJA WAKO.

Mtoa mada unasubiria nini sasa kufa!?acha tunamtumania mwenyezi Mungu tuendelee kula mema ya nchi


Sent using IPhone X
 
Ns
msemakweli2,
Mwisho wa dunia sio kitu cha mchezo. Vifo vya corona ndio vimefikia 50,000 Je unajua kwamba kila mwaka malaria peke yake inaua watu 400,000 na hawa karibu wote wanatoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara pekee?

Walioambukizwa hadi sasa hawajafikia population ya Zanzibar ambayo ni 1M, duniani kote tupo zaidi ya 7 billion. Corona itapita mda mfupi tu ujao na maisha yataendelea kama kawaida.
Nani kakwambia itapita...?
 
Ni watanzania wangapi wanakufa kila siku kwa magonjwa na kukosa huduma za Afya kwa sababu ya umasikini?

Njaa, ufukara, maisha duni, haya yote ni hatari kuliko corona.

Uzuri wa corona hakuna pa kukimbilia! Hata wale mabwanyenye nao wanamwaga vilio!

Kwahiyo mtulie tu! Hofu ya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huko Tanganyika si nasikia mna "wanasayansi" waliosoma pcb?

Wako wapi wawaokoe na hiki kiama?

Au kazi yao ni kupima mikojo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili limekua Nene kwa sababu ni watu weupe wamecchakazwa ila sisi daily tunazika watu wao huko hawajazoea ndo maana imekua skendo
 
Back
Top Bottom