#COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19
Halafu huko Tanganyika si nasikia mna "wanasayansi" waliosoma pcb?

Wako wapi wawaokoe na hiki kiama?

Au kazi yao ni kupima mikojo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kiama chochote mambo makubwa zaidi ya haya yaliwahi kutokea na hayakuwa kiama, watu wasipaniki. Chukueni tahadhari.
 
msemakweli2,
dah..haya mambo poa tu ila nashukuru nipo ndani ya historia isee maan 1ww ilinipita 2ww ikapiata cold war vilevile hili janga limenikuta kiumbe mimi nipo duniani hapa ninacho cha kusimulia isee kwa wajukuu hapo baadae tushukuru kwa yote..
5C7898BF-4B97-4644-8DA0-C80F37870AC4.jpeg
 
The problem is our generation is too soft and tend to over-panic. Now this corona virus got some people saying it's the end days. Imagine if we had the media listing how many people die from cancer or heart diseases everyday like breaking news. But now that we have all corona cases being counted and reported all over social media, it's causing people to panic.

But it's not the first global misfortune nor will it be the last. If something that kills at less than 2.5% of the population can make everything stop, then we're very fragile.

Past generations had it worse and they still managed to get hold of themselves. For instance,World War I and World War II era was worse, just like the cold war.

Japan had two atomic bombs dropped down on them wiping out entire cities to ashes and they still recovered. Sasa hii corona ndio ifanye useme tupo siku za mwisho? C'mon folks let's be serious.

So many people are walking with the virus without showing symptoms. Not to mention, more than 90% of those confirmed with corona have recovered.
 
Mheshimiwa mkuu wa mkoa wetu wa Dar es Salaam kiasi kwamba umefikia hatua ya kuwaomba wamiliki wa Nyumba za kupanga watoe msamaha wa Kodi za nyumba.

Hili Ni Jambo zuri lakini kwa upande wangu Niko kinyume na wewe. Nitaungana na wewe endapo utaanza kuishauri Serikali kupunguza au kuondoa kabisa Kodi au tozo mbalimbali kwa wafanyabiashara, wafanyakazi wa Serikali na sekta binafsi na wamiliki wa Nyumba za kupanga, Kama zilivyofanya Serikali za nchi nyingine.

Tofauti na hapo Ni Bora ukae kimya kila mtu apambane na Hali yake kuliko kutushauri tuachie watu wake bure wakati Serikali yako inataka tulipie Kodi ile ile ya hapo awali.

Asante
 
Unajua watu wengine mnawapaga umaarufu bila sababu! Khaaa
😡😡
 
ofauti na hapo Ni Bora ukae kimya kila mtu apambane na Hali yake kuliko kutushauri tuachie watu wake bure wakati Serikali yako inataka tulipie Kodi ile ile ya hapo awal

Angeanza kwanza kuishauri serikali inayowahimiza wananchi kunawa na sabuni kama njia ya kujikinga na CORONA iwaondolee malipo ya maji kwa mamlaka zote nchini. Tukumbuke kwamba kwa wale wanaoishi mijini sio wote wana bomba majumbani mwao bali wanategemea kununua kwa ndoo!!! Ili watu wanawe mara kwa mara ni lazima maji yapatikane kwa urahisi hivyo serikali haina budi kusitisha hizi karo za maji kwa kaya maskini ama sivyo hii kampeni ya kunawa haiwezi kufanikiwa!!

Serikali pia inahimiza wananchi watumie njia ya elektroniki kufanya miamala mbalimbali; sasa ili watu wahamasike kutumia njia za kisasa badala ya fedha taslimu kufanya miamala kuna umuhimu wa taasisi husika na hapa nadhani BOT na TCRA wakae na kufanya review ya charges za electronic transactions wakiweka msisitizo wa kuzipunguza kama njia mojawapo ya kushawishi na kuhamasisha!!
 
Makonda ni nani kwenye serikali hata mumtegemee kushauri, wabunge wenu mnawaogopa..?
 
Bwashee kodi inakusanywa kwa haki ya hapa Duniani!
Ndio uzuri wa CCM hakuna kitu hampendi kusikia kama Haki,Uhuru/huru na uwajibikaji

Refer tume huru ya uchaguzi
Haki ya kujieleza Jana bungeni
Kuwajibika kwa aliefisadi rambi rambi za tetemeko kagera na MV nyerere
 
Bwashee kodi inakusanywa kwa haki ya hapa Duniani!
Wee mama acha kumislead hapa..

Serikali ya meko imekuwa ikitumia kodi kama fimbo ya kuwakandamiza wale wanaopingana nayo au wanaokuwa na mawazo tofauti nayo..

Kodi kwa Tanzania haitozwi fairly..

Yule kenge anayelala kwenye mawe akiwa ana chuki na wewe tu basi ujue TRA wana wewe.
 
Hii kauli ya MAKONDA ina maana tofauti na tulivyoipokea,ukiunganisha dots unataona kabisa nchi inaenda Kwenye lockdown ndiyo maana wenye nyumba wanaombwa kupunguza Kodi Kwa kipindi ambacho wananchi watakuwa ndani...
Idadi ya walio victims ni kubwa ukiunganisha na Ile ya serikali tusishangae tukaona na Sisi tunapewa siku 21 za kujifungia ndani
 
Back
Top Bottom