Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
You 'are sounding paranoid!Mimi huwa sipotezi muda,ngoja niende kwenye mada....Hii vita tunayopambana sasa dhidi ya Corona sio ya majimaji wakuu,Tutaangamia tusikilize maelekezo ila tutumie na Akili zetu za kuzaliwa. Wale wa majimaji walipoambiwa risasi zitageuka maji walikubali bila kuhoji nadhani matokeo yake mliyaona,sasa tumeaminishwa hapa Silaha ni lockdown- No more weapon! Hii ni hatari sana,tujaribu kutumia vichwa vyetu basi kwa hao walioweka lockdown tunafanana nao katika nyanja zipi mpaka tuwafuate na je! Imewasaidia vipi?
Tusikariri; Moyo kwanza Silaha baadae!
Huwezi tolea mfano Vita vya Majimaji na Corona!
Sent using Jamii Forums mobile app