Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,570
Sina mengi ya kusema ila kiukweli Utawala huu watu hawana furaha hawana amani, maisha magumu pesa na maisha mazuri viko kwa wachache na hakuna anaejali.
Mfumuko wa bei uko juu, usafi kwenye mitaa na barabarani, kwenye mitaro , harufu hovyo hovyo kwenye miji mingi nchi haina Serikali za mitaa no body cares.
Naona aibu nakumbuka vitu vingi watumishi wa Serikali hali mbaya,
Riba za mikopo kwenye mabenki kwa watumishi imetoka 13% hadi 16-17% no body cares Rais hajali, Gavana wa BoT hajali, Huyo Madelu ndio hajali kitu chochote.
Imebidi niandikie tu kwa hasira japo nilikuwa sitaki na inatia hasira.
Ole wenu Mbwa yoyote anifate kuhusu mambo ya uchaguzi na kupiga kura.