Mtazamo wa Rais Samia kuhusu Mashirika ya Umma si sahihi

Serikali ya samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi hayawezi kupewa watu binafsi.

Mashirika kama tanesco, TTCL, TRC, air tanzania, mashirika ya kuzalisha na kusambaza maji, TPA, etc etc. Ili mashirika ya kimkakati kua na tija na kufikia malengo ya uwepo wake lazima serikali iwe na utashi wa kuyasimamia vema.

Serikali inayoruhusu vigogo wake wale kwa urefu wa kamba zao kwa vyovyote itakua na muelekeo wa kuwaacha vigogo kupora kutoka mashirika ya kimkakati ya umma na hatimae kujidai kuyabinafsisha huku ni uporaji wa mali ya umma.

Hatuna haja kuonesha kwa nini mashirika ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi yawepo. Na tukisema maendeleo ya nchi tunamaanisha maendeleo ya umma wa wananchi na sio tabaka fulani.

Tuliwahi kubinafsisha TRC, TTCL, na air tanzania na tulichokiona kama matokeo ilibidi kuyarudisha mashirika hayo mkonono mwa umma kwa maana ya kumilikiwa na serikali.

Reli tuliibiwa na wahindi mali zote zisizohamishika kama majumba na viwanja kwa maana walipiga hela wao na mwisho hadi karibu kuibiwa uwezo wa kujitegemea kwa wao kuanza kupeleka vichwa vya treni india kwa matengenezo ambapo karakana na wafanyakazi wenye ujuzi na uwezo walibakia kinywa wazi.

Kuhusu Air Tanzania vivyo hivyo makaburu wakatuadhibu vibaya.

Kinachotakiwa ni Samia kuwa makini na ajue sera na itikadi za CCM bado ni relevant asituchanganyie ulaji kwa urefu wa kamba wakati ni uporaji wa umma.

Kinachotakiwa ni usimamizi imara wa mashirika ya kimkakata na kuacha kufanya uteuzi kishikaji ambapo wapigaji na watu wasio na weledi na uzalendo kupewa kuendesha mashirika hayo.
Ila Kwa hiyo hapa wewe unaona ni.sawa si ndio? Nyie wajamaa ni mzigo Kwa Taifa

View: https://www.instagram.com/p/CyOd4lEtXKf/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Haya unayoyasema yapo pale tu kwa nia njema tu ya Marais waliopita na huyu aliyepo. Siku ikitokea akaja Rais mwingine mwenye msimamo kama ule wa awamu ya nne, utayasikia hewani tu
Utasubiri sana, kwa mazingira ya sasa hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya unavyotamani iwe.

Mwendazake aliweza kufanya yale kwa sababu kwa kauli yake mwenyewe alisema alikuwa na kichaa na ndugu Antony Dialo alituthibitisha kuwa Mwendazake alikuwa na cheti cha mirembe!

Hatuhitaji Rais kichaa!
 
Serikali ya samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi hayawezi kupewa watu binafsi.

Mashirika kama tanesco, TTCL, TRC, air tanzania, mashirika ya kuzalisha na kusambaza maji, TPA, etc etc. Ili mashirika ya kimkakati kua na tija na kufikia malengo ya uwepo wake lazima serikali iwe na utashi wa kuyasimamia vema.

Serikali inayoruhusu vigogo wake wale kwa urefu wa kamba zao kwa vyovyote itakua na muelekeo wa kuwaacha vigogo kupora kutoka mashirika ya kimkakati ya umma na hatimae kujidai kuyabinafsisha huku ni uporaji wa mali ya umma.

Hatuna haja kuonesha kwa nini mashirika ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi yawepo. Na tukisema maendeleo ya nchi tunamaanisha maendeleo ya umma wa wananchi na sio tabaka fulani.

Tuliwahi kubinafsisha TRC, TTCL, na air tanzania na tulichokiona kama matokeo ilibidi kuyarudisha mashirika hayo mkonono mwa umma kwa maana ya kumilikiwa na serikali.

Reli tuliibiwa na wahindi mali zote zisizohamishika kama majumba na viwanja kwa maana walipiga hela wao na mwisho hadi karibu kuibiwa uwezo wa kujitegemea kwa wao kuanza kupeleka vichwa vya treni india kwa matengenezo ambapo karakana na wafanyakazi wenye ujuzi na uwezo walibakia kinywa wazi.

Kuhusu Air Tanzania vivyo hivyo makaburu wakatuadhibu vibaya.

Kinachotakiwa ni Samia kuwa makini na ajue sera na itikadi za CCM bado ni relevant asituchanganyie ulaji kwa urefu wa kamba wakati ni uporaji wa umma.

Kinachotakiwa ni usimamizi imara wa mashirika ya kimkakata na kuacha kufanya uteuzi kishikaji ambapo wapigaji na watu wasio na weledi na uzalendo kupewa kuendesha mashirika hayo.
Ahsante mkuu!
 
Dunia ya kisasa inahitaji vichwa vyetu vifanye kazi kisasa zaidi. India wamewapa DP World bandari yao waiendeshe, ina maana na wao wameshindwa kujiendesha?, mbona wanatupa misaada ya sekta ya matibabu kila kukicha?.

Kuna utando wa ujamaa vichwani mwetu, tufanya kile tuwezalo tuuondoe ili tubakie watu wenye fikra huru.
Kinachopingwa ni uwekezaji wa DP world au ni vipengele ndani ya mkataba wa uwekezaji? , mkataba walioingia na India na huu waliongia na sisi ni sawa?
 
Mkuu, umenikumbusha. Nilisikia shirika la umeme la Afrika Kusini limefilisika ilhali tuliletewa hapa wakusanye madeni kwa TANESCO!!!!
 
Uchumi umeusomea wapi? Nawasiwasi umwsoma soviology ndo mana we ni mweupe kichwani. Au umesoma engineering. Kumbuka mwiguli ni first macroeconomist hata imf inamjua
Ndokaweka kodi ya sh 100/= kwenye mafuta akituambia bei yake huko yanakouzwa inashuka. Ajabu bei inapanda tokea August na hakuna tamko lolote la kuiondoa hiyo kodi wala uwajibikaji kwa uongo.
 
Utasubiri sana, kwa mazingira ya sasa hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya unavyotamani iwe.

Mwendazake aliweza kufanya yale kwa sababu kwa kauli yake mwenyewe alisema alikuwa na kichaa na pesa ya kweli ndugu Antony Dialo alituthibitisha kuwa Mwendazake alikuwa na cheti cah mirembe!

Hatuhitaji Rais mwenye kichaa!
Ni awamu ya tatu tafadhali, siyo ya nne. Tuliuza kila kitu kwenye awamu ya tatu na si ya nne
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Hakuna sehemu duniani serikali haifanyi biashara Halotel ni shirika la serikali huko duniani, huu ni mfano mdogo

KCB ni serikali ni mfano mwingine mdogo

Endelea kuwa masikini wa fikra... serikali I natakiwa ifanye biashara
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mimi naona serikali iruhusu ushindani kwenye hayo mashirika kama ilivyo kwenye simu, benki, mafuta, elimu, afya, usafirishaji na kadhalika.
Hilo likirushiwa Kuna namna nchi itatekwa na wache kisha wengi watabaki kama watwana.

Mwandishi ameweka vizuri, mashirika yote ya umma yaliyobaki ni ya kimkakati wa maendeleo ya taifa na yanahusu usalama wa nchi na watu wake. Kama wanataka waende kufufua Yale yali binafsishwa enzi za Mkapa yafanye kazi, kwanini hawataki kwenda kuwekeza huko wanataka haya mashirika ya kimkakati? Huo ni ujambazi na uporaji wa Mali ya umma watanzania katu tusikubali kurubuniwa. Mkapa mwenyewe amekufa akijutia ubinafsishaji, Leo Yale Bado hayajarudia kama enzi yalivyokuwa wanataka kutuletea mambo ya state capture kwakua consolidate wealth and power Ili wao wawe ndiyo kama wafalme? No and no thank you!
 
Hakuna sehemu duniani serikali haifanyi biashara Halotel ni shirika la serikali huko duniani, huu ni mfano mdogo

KCB ni serikali ni mfano mwingine mdogo

Endelea kuwa masikini wa fikra... serikali I natakiwa ifanye biashara
Watu wetu hawana exposure ya kutosha na wale wenye exposure wengi wameamua kuungana na ma kabaila wa Dunia kunyonya raia wa kawaida
 
Serikali ya samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi hayawezi kupewa watu binafsi.

Mashirika kama tanesco, TTCL, TRC, air tanzania, mashirika ya kuzalisha na kusambaza maji, TPA, etc etc. Ili mashirika ya kimkakati kua na tija na kufikia malengo ya uwepo wake lazima serikali iwe na utashi wa kuyasimamia vema.

Serikali inayoruhusu vigogo wake wale kwa urefu wa kamba zao kwa vyovyote itakua na muelekeo wa kuwaacha vigogo kupora kutoka mashirika ya kimkakati ya umma na hatimae kujidai kuyabinafsisha huku ni uporaji wa mali ya umma.

Hatuna haja kuonesha kwa nini mashirika ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi yawepo. Na tukisema maendeleo ya nchi tunamaanisha maendeleo ya umma wa wananchi na sio tabaka fulani.

Tuliwahi kubinafsisha TRC, TTCL, na air tanzania na tulichokiona kama matokeo ilibidi kuyarudisha mashirika hayo mkonono mwa umma kwa maana ya kumilikiwa na serikali.

Reli tuliibiwa na wahindi mali zote zisizohamishika kama majumba na viwanja kwa maana walipiga hela wao na mwisho hadi karibu kuibiwa uwezo wa kujitegemea kwa wao kuanza kupeleka vichwa vya treni india kwa matengenezo ambapo karakana na wafanyakazi wenye ujuzi na uwezo walibakia kinywa wazi.

Kuhusu Air Tanzania vivyo hivyo makaburu wakatuadhibu vibaya.

Kinachotakiwa ni Samia kuwa makini na ajue sera na itikadi za CCM bado ni relevant asituchanganyie ulaji kwa urefu wa kamba wakati ni uporaji wa umma.

Kinachotakiwa ni usimamizi imara wa mashirika ya kimkakata na kuacha kufanya uteuzi kishikaji ambapo wapigaji na watu wasio na weledi na uzalendo kupewa kuendesha mashirika hayo.
Ulitakaje?
 
Dunia ya kisasa inahitaji vichwa vyetu vifanye kazi kisasa zaidi. India wamewapa DP World bandari yao waiendeshe, ina maana na wao wameshindwa kujiendesha?, mbona wanatupa misaada ya sekta ya matibabu kila kukicha?.

Kuna utando wa ujamaa vichwani mwetu, tufanya kile tuwezalo tuuondoe ili tubakie watu wenye fikra huru.

Ulishawahi fika India ukaona umasikini uliopo Kwa mtu wa kawaida au unaongea tu kinadharia?

India ambako mtu Hana hata sehemu ya kuweka nyumba yake huko rural ndiyo ulinganishe na Tanzania ambayo Kila household Ina access kwenye land? Acha utani wewe!
 
Kinachopingwa ni uwekezaji wa DP world au ni vipengele ndani ya mkataba wa uwekezaji? , mkataba walioingia na India na huu waliongia na sisi ni sawa?
Wanaolalamika mkataba hawana uelewa wa hiyo mikataba. Wanasema kuwa DP World atakuwa na utawala mzima wa masuala ya bandari. Vipi kuhusu hizi barua za TPA zilizopo mtandaoni zinazotangaza zabuni ya uendeshaji kwa makampuni mbalimbali?.

Kama DP World wanatufunga kwa vipengele vya mikataba, mamlaka ya TPA inapata wapi nguvu ya kutangaza hizi tender za uendeshaji wa Bandari?.

Hao kina Prof Tibaijuka na wanasheria wengine wengi tulionao kwa makusudi wameamua kupotosha umma kwa malengo wanayoyajua wao wenyewe.

Mkataba hauna tatizo lolote, sisi tunaousoma na kuutafsiri kwa uelewa wetu ndio wenye matatizo.
 
Ulishawahi fika India ukaona umasikini uliopo Kwa mtu wa kawaida au unaongea tu kinadharia?

India ambako mtu Hana hata sehemu ya kuweka nyumba yake huko rural ndiyo ulinganishe na Tanzania ambayo Kila household Ina access kwenye land? Acha utani wewe!
Wingi wa watu ni changamoto dunia nzima.

Sisi wenye maeneo ya wazi bado ndio tunakimbilia kwao kutibiwa sukari na mioyo yetu.

Tazama wahindi wanavyokimbiza kwenye orodha ya matajiri wa dunia nzima.

Tazama wanigeria wanavyofanya vizuri kwenye sekta ya afya huko Marekani na UK.

Wanajielewa kuliko sisi.
 
Back
Top Bottom