Mtazamo wa Rais Samia kuhusu Mashirika ya Umma si sahihi

Wingi wa watu ni changamoto dunia nzima.

Sisi wenye maeneo ya wazi bado ndio tunakimbilia kwao kutibiwa sukari na mioyo yetu.

Tazama wahindi wanavyokimbiza kwenye orodha ya matajiri wa dunia nzima.

Tazama wanigeria wanavyofanya vizuri kwenye sekta ya afya huko Marekani na UK.

Wanajielewa kuliko sisi.
Kwahiyo tukiuza mashirika ya umma ndiyo changamoto ya governance itaisha?

Shida yetu ni wrong people kwenye hayo mashirika na kuingiliwa kisiasa zaidi kuliko kuachwa yafanye roles zake kiuchumi na Kwa faida ya jamii...
 
Serikali ya samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi hayawezi kupewa watu binafsi.

Mashirika kama tanesco, TTCL, TRC, air tanzania, mashirika ya kuzalisha na kusambaza maji, TPA, etc etc. Ili mashirika ya kimkakati kua na tija na kufikia malengo ya uwepo wake lazima serikali iwe na utashi wa kuyasimamia vema.

Serikali inayoruhusu vigogo wake wale kwa urefu wa kamba zao kwa vyovyote itakua na muelekeo wa kuwaacha vigogo kupora kutoka mashirika ya kimkakati ya umma na hatimae kujidai kuyabinafsisha huku ni uporaji wa mali ya umma.

Hatuna haja kuonesha kwa nini mashirika ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi yawepo. Na tukisema maendeleo ya nchi tunamaanisha maendeleo ya umma wa wananchi na sio tabaka fulani.

Tuliwahi kubinafsisha TRC, TTCL, na air tanzania na tulichokiona kama matokeo ilibidi kuyarudisha mashirika hayo mkonono mwa umma kwa maana ya kumilikiwa na serikali.

Reli tuliibiwa na wahindi mali zote zisizohamishika kama majumba na viwanja kwa maana walipiga hela wao na mwisho hadi karibu kuibiwa uwezo wa kujitegemea kwa wao kuanza kupeleka vichwa vya treni india kwa matengenezo ambapo karakana na wafanyakazi wenye ujuzi na uwezo walibakia kinywa wazi.

Kuhusu Air Tanzania vivyo hivyo makaburu wakatuadhibu vibaya.

Kinachotakiwa ni Samia kuwa makini na ajue sera na itikadi za CCM bado ni relevant asituchanganyie ulaji kwa urefu wa kamba wakati ni uporaji wa umma.

Kinachotakiwa ni usimamizi imara wa mashirika ya kimkakata na kuacha kufanya uteuzi kishikaji ambapo wapigaji na watu wasio na weledi na uzalendo kupewa kuendesha mashirika hayo.

Umeandika kama udaku badala ya kuandika kama mtu makini. Ushahidi uko wapi wa hayo unayosema mfano kampuni ya TRC ni wapi Raisi kasema ibinafisishwe!? Lakini unachanganya mashirika yote kama vile yanafanya vitu sawa!

Mfano kampuni ya ndege ni tofauti sana na kampuni ya reli kwenye hili wewe unachanganganya 😂
 
Wanaolalamika mkataba hawana uelewa wa hiyo mikataba. Wanasema kuwa DP World atakuwa na utawala mzima wa masuala ya bandari. Vipi kuhusu hizi barua za TPA zilizopo mtandaoni zinazotangaza zabuni ya uendeshaji kwa makampuni mbalimbali?.

Kama DP World wanatufunga kwa vipengele vya mikataba, mamlaka ya TPA inapata wapi nguvu ya kutangaza hizi tender za uendeshaji wa Bandari?.

Hao kina Prof Tibaijuka na wanasheria wengine wengi tulionao kwa makusudi wameamua kupotosha umma kwa malengo wanayoyajua wao wenyewe.

Mkataba hauna tatizo lolote, sisi tunaousoma na kuutafsiri kwa uelewa wetu ndio wenye matatizo.
Mimi naongelea mkataba waliosaini na DPworld. Unaisha lini?
 
Mkataba uliosainiwa na DPW umezaa mikataba mingine sasa swali lako liwe ni hiyo mikataba ya kibiashara inaisha lini?.

Inategemea na mtaji watakaoweka hao DPW, inategemea na mrejesho wa mapato iwapo utapatikana ndani ya muda uliokubaliwa na pande mbili zilizokubaliana kufanya biashara.
 
Kwahiyo tukiuza mashirika ya umma ndiyo changamoto ya governance itaisha?

Shida yetu ni wrong people kwenye hayo mashirika na kuingiliwa kisiasa zaidi kuliko kuachwa yafanye roles zake kiuchumi na Kwa faida ya jamii...
Sio kila tatizo letu linatatuliwa na right people kwenye uongozi. Kuna suala la bandari kuendeshwa kisasa, kuna suala la serikali ya Samia kuwa na utayari wa kuendesha bandari kwa mujibu wa viwango vya kimataifa.

Tumezoea kuona bandari ikiendeshwa kwa mfumo wa Tool Port sasa Samia anataka bandari yetu iendeshwe kwa mfumo wa TPA kuwepo pale huku waendeshaji wengine wakipangishwa kwa kupewa magati ya kuendesha.

Lengo haswa la kumpa DPW aendeshe ni lipi?.

Kukuza ufanisi unaoendana na nchi yenye reli ya SGR inayolisha mataifa saba yanayotuzunguka.

Kupunguza foleni za ushushaji na upakiaji ambazo zinaathiri moja kwa moja kupanda bei za bidhaa.

Bandari kuwa na waendeshaji wawili kwa maana ya DPW na mwingine anayetafutwa ni kuongeza tija pia ni njia ya kuvutia wale wateja walioacha kutumia bandari kwa sifa mbaya zilizokuwepo hapo kabla.
 
Serikali ya Samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya Mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi hayawezi kupewa watu binafsi.

Mashirika kama TANESCO, TTCL, TRC, Air Tanzania, mashirika ya kuzalisha na kusambaza maji, TPA, etc etc. Ili mashirika ya kimkakati kua na tija na kufikia malengo ya uwepo wake lazima serikali iwe na utashi wa kuyasimamia vema.

Serikali inayoruhusu vigogo wake wale kwa urefu wa kamba zao kwa vyovyote itakua na muelekeo wa kuwaacha vigogo kupora kutoka mashirika ya kimkakati ya umma na hatimae kujidai kuyabinafsisha huku ni uporaji wa mali ya umma.

Hatuna haja kuonesha kwa nini mashirika ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi yawepo. Na tukisema maendeleo ya nchi tunamaanisha maendeleo ya umma wa wananchi na sio tabaka fulani.

Tuliwahi kubinafsisha TRC, TTCL, na air tanzania na tulichokiona kama matokeo ilibidi kuyarudisha mashirika hayo mkonono mwa umma kwa maana ya kumilikiwa na serikali.

Reli tuliibiwa na wahindi mali zote zisizohamishika kama majumba na viwanja kwa maana walipiga hela wao na mwisho hadi karibu kuibiwa uwezo wa kujitegemea kwa wao kuanza kupeleka vichwa vya treni india kwa matengenezo ambapo karakana na wafanyakazi wenye ujuzi na uwezo walibakia kinywa wazi.

Kuhusu Air Tanzania vivyo hivyo makaburu wakatuadhibu vibaya.

Kinachotakiwa ni Samia kuwa makini na ajue sera na itikadi za CCM bado ni relevant asituchanganyie ulaji kwa urefu wa kamba wakati ni uporaji wa umma.

Kinachotakiwa ni usimamizi imara wa mashirika ya kimkakata na kuacha kufanya uteuzi kishikaji ambapo wapigaji na watu wasio na weledi na uzalendo kupewa kuendesha mashirika hayo.
Kuna mashirika kazi zao ni kutoa huduma yapo duniani kote.Maji, pembejeo, mbolea, cement, umeme,bandari, barabara zote nchini, hospitali, shule.

Serikali lazima iwe na umiliki at least 51% kueleleza sera, malengo, mikakati Kuwafikia Watanzania maskini.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Kubinafsisha kila kitu kunatokana na viongozi kutokuwa na commitment kazini
 
Kila kitu mnapinga
 
Mkataba uliosainiwa na DPW umezaa mikataba mingine sasa swali lako liwe ni hiyo mikataba ya kibiashara inaisha lini?.

Inategemea na mtaji watakaoweka hao DPW, inategemea na mrejesho wa mapato iwapo utapatikana ndani ya muda uliokubaliwa na pande mbili zilizokubaliana kufanya biashara.
Mkataba uliosainiwa unaanza lini? Unaisha lini?. Mikataba inayozaliwa inaweza kuwa kinyume na huu mkataba uliosainiwa?
 
Mkataba uliosainiwa umeshaanza kazi, hivi tunavyoongea upo kazini. Unaisha itakapoisha mikataba ya kibiashara.

Hakuna uwezekano wa mikataba itakayosainiwa kuwa tofauti na mkataba uliopita bungeni.
 
Kwahiyo muda wa kuanza mkataba ulianishwa kwenye mkataba? Au nini kimetumika kuamua muda wa kuanza kutumika? Na je, muda wa kuisha mkataba umeainishwa pia?
 
Hoja nzuri, uandishi unachosha!

Kwenye mada, pengine tungetafuta jinsi ya kuendesha maisha yetu bila kujali CCM wanafanya nini! Binadamu waliopata kuwepo ndani ya CCM hawazidi watano, na sidhani kama wapo tena.

Serikali ni familia yao! Ndugu wakigombana.
Ushajichokea unataka na sisi tuchoke.

Hakitaeleweka hadi CCM itukabidhi nchi yetu
 
Kwahiyo muda wa kuanza mkataba ulianishwa kwenye mkataba? Au nini kimetumika kuamua muda wa kuanza kutumika? Na je, muda wa kuisha mkataba umeainishwa pia?
Unajaribu kuzingua lakini unapoteza muda tu, muda wa kuanza mkataba ni pale unapokubaliwa na bunge la JMT.

Muda wa kwisha ni pale mkataba mmojawapo kati ya ile ya kibiashara utakapoifanya biashara hiyo ishindwe kuwa ni halali. IGA inategemea zile Project contracts ili iwe ni mkataba kamili.

Haya ni mambo yanasomewa vyuoni miaka na miaka. Hauwezi kuyaelewa kwa kina kwa maongezi ya JF.

Novemba mwanzoni DP World anaanza biashara hapo TPA.
 
Serikali ya Samia eti inatazama mashirika ya umma kama uwekezaji wa kibiashara ambapo serikali haistahili tena kuwekeza ila watu binafsi. Msimamo huo sio sahihi kwa sababu mashirika ya kibiashara ya umma yalikwisha binafsishwa yote tangu awamu ya Mkapa. Yale yaliyobakia ni yale ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi hayawezi kupewa watu binafsi.

Mashirika kama TANESCO, TTCL, TRC, Air Tanzania, mashirika ya kuzalisha na kusambaza maji, TPA, etc etc. Ili mashirika ya kimkakati kua na tija na kufikia malengo ya uwepo wake lazima serikali iwe na utashi wa kuyasimamia vema.

Serikali inayoruhusu vigogo wake wale kwa urefu wa kamba zao kwa vyovyote itakua na muelekeo wa kuwaacha vigogo kupora kutoka mashirika ya kimkakati ya umma na hatimae kujidai kuyabinafsisha huku ni uporaji wa mali ya umma.

Hatuna haja kuonesha kwa nini mashirika ya kimkakati kwa maendeleo ya nchi yawepo. Na tukisema maendeleo ya nchi tunamaanisha maendeleo ya umma wa wananchi na sio tabaka fulani.

Tuliwahi kubinafsisha TRC, TTCL, na air tanzania na tulichokiona kama matokeo ilibidi kuyarudisha mashirika hayo mkonono mwa umma kwa maana ya kumilikiwa na serikali.

Reli tuliibiwa na wahindi mali zote zisizohamishika kama majumba na viwanja kwa maana walipiga hela wao na mwisho hadi karibu kuibiwa uwezo wa kujitegemea kwa wao kuanza kupeleka vichwa vya treni india kwa matengenezo ambapo karakana na wafanyakazi wenye ujuzi na uwezo walibakia kinywa wazi.

Kuhusu Air Tanzania vivyo hivyo makaburu wakatuadhibu vibaya.

Kinachotakiwa ni Samia kuwa makini na ajue sera na itikadi za CCM bado ni relevant asituchanganyie ulaji kwa urefu wa kamba wakati ni uporaji wa umma.

Kinachotakiwa ni usimamizi imara wa mashirika ya kimkakata na kuacha kufanya uteuzi kishikaji ambapo wapigaji na watu wasio na weledi na uzalendo kupewa kuendesha mashirika hayo.
Tanzania tukitaka tuendelee tuikuze sekta binafsi. Wafanyabishara wapendelewe kutokana na ajira wanazozalisha. Unakuta mtu ana fremu kariakoo anaingiza zaidi ya 2billion kwa mwaka. Ameajiri vijana 30 tu.Wafanyabishara wengi nchini hawazalishi ajira za kutosha. Tuanzishe mkakati ambapo mwekezaji akitoa ajira 10000 asilipe kodi. Na hizi ajira zisiwe kama za kina Moo na Baaaresa. Yaani ziwe na Bima ya Afya , Pension na vitu muhimu. Hapo serikali itapata faida katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Nakuambia wazungu wanavyopenda mazingira mazuri ya uwekezaji watajaa huku muda sio mrefu. Inaniuma sana kuona katika nchi yangu Muajiri mkubwa ni serikali. Mpaka wizara zinaongezeka ili kutengeneza ajira za ziada kweli. Yaani Serikali imekuwa branded kama sehemu ya kutoboa kimaisha. Tuamke jamani.
 
Unajaribu kuzingua lakini unapoteza muda tu, muda wa kuanza mkataba ni pale unapokubaliwa na bunge la JMT.

Muda wa kwisha ni pale mkataba mmojawapo kati ya ile ya kibiashara utakapoifanya biashara hiyo ishindwe kuwa ni halali. IGA inategemea zile Project contracts ili iwe ni mkataba kamili.

Haya ni mambo yanasomewa vyuoni miaka na miaka. Hauwezi kuyaelewa kwa kina kwa maongezi ya JF.

Novemba mwanzoni DP World anaanza biashara hapo TPA.
Mkataba uliosainiwa na kupitishwa na bunge juu ya bandari, una kipengele chenye title ‘UKOMO’?
 
UKOMO unatokana na biashara halisi itakayofanyika. Kuna vigezo vyake huwa hauwekwi tu.

Mkataba wa bungeni hauna nguvu kulinganisha na ile itakayoziongoza biashara zenyewe. Huko ndio unapowekwa.
 
Sawa, je, Kwenye mkataba wa bandari uliosainiwa na Rais na kupitishwa na bunge, kuna kipengele chenye title ‘UKOMO’?
 
Kuna mashirika kazi zao ni kutoa huduma yapo duniani kote.Maji, pembejeo, mbolea, cement, umeme,bandari, barabara zote nchini, hospitali, shule.

Serikali lazima iwe na umiliki at least 51% kueleleza sera, malengo, mikakati Kuwafikia Watanzania maskini.
Kuna watu wame kariri vitu kinadharia sana...Lakini kama uetetezi wao ni valid kwanini hao wasiyafufue Yale mashirika yaliyouzwa enzi za awamu ya tatu? Kwanini wajidai wao ndiyo wakombozi wa mashirika ambayo yameweza kuji sustain mpaka sasa? Unaona kabisa hakuna Nia ya dhati. Rais ana danganywa waziwazi. Hayo mashirika ni Mali ya umma kuyagawa Kwa jina la uwekezaji ni uporaji wa wazi Kwa Mali ambayo imekasimiwa serikali iilinde na kuiendeleza Kwa niaba ya umma
 
Kama hujui fitna za dunia ya sasa, huwezi kuwa kiongozi wa nchi na hiyo nchi ikafanikiwa. Utageuzwa geuzwa kama chapati za kusukuma.
Ndio hao kina tony blair na wale royal tour wakaja fasta😂🤣
 
Back
Top Bottom