Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Hakuna anayekataa mbinu hiyo, lakini isifike wakati wa kupiga kura kisha vyombo vya dola vikatumika kunajisi box la kura, au yeye kulazimisha kupita bila kupigwa.



Hicho ndicho kitakachofanyika, hivi sasa wanajenga mazingira ili ifikapo katika uchaguzi iwe kwao rahisi kufanya hayo mambo yao ili wasishtukiwe na umma, nakuambia hayo ni maandalizi ya mchezo mchafu, let's wait and see.
 
Ni vizuri tu,Tulia nae anahaki ya kugombea huko,,,sugu ajipange tu
true but kwa jimbo la Sugu labda CCM waweke mtu mwingine mwenye ushawishi zaidi.
huyu mama Wanyaki/Wasafwa/Wakinga wanamuona kama ni kituko fulani hivi!
 
Mimi nadhani ingekuwa vizuri kama ungeweka vudeo hata mbili zinazowaonyesha raia wa Mbeya ambao ni wanachama wa Chadema wakilalamikia hicho ulichokiandika sio kuleta polojo za walevi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa kweli ni kilaza toka lini Tulia akawa fan wa diamond?
hata kama ni fan wake ila si wa kiwango hicho.Hapo ni jimbo linatafutwa ndiomana diamond anatumika.

Hiyo hoja ya pili kwamba alienda kumpokea sababu kamlipa naikubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe kama zuzu fulani hivi ! Tulishasema kwamba Tulia Ackson hata akipiga kampeni bila dela hawezi kuwa mbunge wa Mbeya Mjini
Kwa namna Dr Tulia alivyo liendesha bunge kuna kila dalili yakukabidhiwa mikoba kamili, hivyo ni lazima atafutiwe nafasi hata kwa lazima ili lengo litimie. Na kwa utaratibu uliojitokeza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mh Sugu atafute kazi ya kufanya. Ila kama kutakuwepo na uthubutu wa kupinga maovu kwa vitendo hapo tunaweza tukajadili baadae baada yakuwazika baadhi ya wenye uthubutu.
 
Tumemmaindi sana tulia aisee, Ila mwache 2020 si mbali Hatoamini. Mpira unaushawishi mkubwa sana Mbeya..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya siyo Kondoa
 
Hata mzikiri uchi mbeya ni sugu tuuuuu huyo Bettina wenu anajisumbua.
 
Hivi sugu mnamchukulia poaaa sugu hata akigombea Nairobi Kenya anapata !!
 
Social capital aliyojijengea sugu Tanzania ni kubwa kuliko serikali yote ya awamu ya tano kwa umoja wao
 
Acheni kumlinganisha sugu na vituko mbalimbali
 
Wewe jamaa inaonekana ni mgumu kuelewa na unapinga kitu ambacho uelewi Ina maana ujui kabisa kwamba tulia ni fan wa diamond?we unaishi dunia ipi? Ndomaana nikakwambia hapo kwenye mada yangu Tulia kafanya hivyo kwasababu mbili moja ni cos ana interest na Jimbo la mbeya na la pili ni Kama fan wake sasa hapo ujaelewa kitu gani?
 
Wewe ni wa jinsia ya kike kwavyovyote vile! kwani andika yako ni ya umbea tena wa mwanamke wa Tandale.
 
Kwani Kampeni zimeanza,huyu mama kwa nini anahaha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…