Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Hakuna anayekataa mbinu hiyo, lakini isifike wakati wa kupiga kura kisha vyombo vya dola vikatumika kunajisi box la kura, au yeye kulazimisha kupita bila kupigwa.
Kwanza mna wasiwasi gani wakati Chadema haitagombea!
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe kama zuzu fulani hivi ! Tulishasema kwamba Tulia Ackson hata akipiga kampeni bila dela hawezi kuwa mbunge wa Mbeya Mjini
nimpumbafu tu kama wewe unayeweza kusema kuwa hilo jimbo linarudi kwa sugu wakati yeye mwenyewe sugu amesha surrender anatatfuta kazi mbadala ya kufanya wewe bado umeng'ang'ania tu eti hata apige kampeni bila deraa unakichaa
 

innocent dependent hii ni strategy nzuri sana kwa mh. tulia kisiasa ILA nadhani hawakuchukua tahadhari ya kutosha ya kulinda eneo la kuchezea la uwanja wa Sokoine. Ni wakati muafaka kwa CCM kuanza kuvitunza na kuvilinda viwanja vyake.

Ahsante
 
Mbeya ni jimbo la Sugu for the next 20 years. Labda serikali iamue tofauti kwa kusimika mbunge kwa njia za kiimla
 
Kwanza mna wasiwasi gani wakati Chadema haitagombea!

Tuna wasiwasi kwa wananchi kutokupata viongozi ambao hawana ridhaa nao. Ni vyema ukampigia simu Tulia akatengeneze huo uwanja baada ya kiki zake za kusaka kura kugeuka kadhia.
 
Tulia atapita tu, mtake msitake! Kazi yenu nyue itabaki kuja humu kubweka tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio atapita ila sio kwa kura za wananchi walio wengi, bali atatumia mbinu alizokuwa anatumia Magufuli kushinda ubunge za kupita bila kupingwa. Halafu ili apite vizuri, mshauri akatengeneza uwanja maana umeharibika vibaya kuliko alicholipia. Muambie asijikaushe.
 
Key points..

1. Amemlipa diamond

2. Amelipia huduma zote za hao wasanii hapo Mbeya, hotels,airtickts,gari za kukodi.

3. Mengineyo

Huyu Tulia anabiashara gani kubwa inayomuingizia kipato na kuweza kufanya haya yote.

Kama ni ubunge tayar anao na anaishi hapo mjengoni na magogoni.

Kipi hasa kinamsukuma hadi asitosheke na nafasi aliyokuwa nayo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kuumiza akili zenu. Mbeya ni ngumu Sana kumpa ubunge tulia.

Kitakachomshinda
1. Jinsia yake (mwanamke)
2. Kabila lake (mnyakyusa)
3. Tabia yake aliyoionesha bungeni (Hana nidhamu)
4. Chama chake (ccm) Mbeya haikubaliki

Yetu macho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unafikiri nini pamoja na Lowassa kuwa waziri SI chini ya miaka 15 kwanini still akautaka uraisi?
 
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe kama zuzu fulani hivi ! Tulishasema kwamba Tulia Ackson hata akipiga kampeni bila dela hawezi kuwa mbunge wa Mbeya Mjini
Yaani unamaanisha mh. Tulia Akson apige kampeni akiwa utupu wa mnyama ? Da ! We bidada kweli umeoza kichwani !
 
HARAKATI ZA KUFUKUZA UPEPO TU HIZI! DAH,KWELI WAJINGA NDIO WALIWAO.
 

Mshabiki wa CHADEMA aliyelalamika ?
Dr Tulia uko JF na account fake, tena jina la kiume ?
 
Hivi ndani ya CHADEMA hakuna atakayejitokeza kupambana na Sugu? Nafasi za Ubunge tumezifanya kuwa ni mali ya watu binafsi, kwa nini? kwani CHADEMA Mbeya ni mali ya Sugu? We are coming!
 
Hivi ndani ya CHADEMA hakuna atakayejitokeza kupambana na Sugu? Nafasi za Ubunge tumezifanya kuwa ni mali ya watu binafsi, kwa nini? kwani CHADEMA Mbeya ni mali ya Sugu? We are coming!
Kama CDM wanasababu za kuweka mtu mwingine naamini watafanya hivyo, lakini kama bado wanaona SUGU anawafaa basi wataendelea nae.
 
Ndugu yangu tambua kwamba siasa ya sasa ni uwanja wa maslahi.Ni uwanja wa minyukano na kusaka madaraka.Wachache mno katika wanasiasa wanaopigania maslahi ya umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…