Mtazamo wangu kuhusu Diamond na Dk. Tulia jana Mbeya

Tulia njoo Sugu wengine tumechoka, Mbeya haina maendeleo yeyote, Sugu aondoke tu la sivyo serikali itaendea kuturuka kwenye miradi mikubwa ya maendeleo. Kunafaida gani kumshabikia mtu ambae mwisho wa siku wananch tunaumia eti kisa Sugu, yeye ananeemeka na hela za Bungeni kajenga mpaka hotel na serikali inatuangalia tu
 
Niijuavyo Mbeya KUNA MTU FLANI HATA AKIPIGA KAMPENI NA CHUPI hapati kura na kama anataka JW
 
Haishangazi. Kuna mwengine anataka Harmonize awe mbunge. Kisha uwaziri anateua wasomi kutoka vyuoni kwa sababu anajua bungeni wamejaa wabunge bogus.
 
Wabunge wote wanalipwa. Kwani Sugu kaiba pesa. Kama kaiba, mzalendo uchwara si yupo! Nyie wapambe wake mwambieni ampe kesi uchwara zile wanazopewa watu kila kukicha. Nadhani umenisoma. Naaminisha zile kesi zisizo na dhamana.
 
sihitaji kujadiliana na wewe sababu upstairs mwepesi sana! ila ujue Sugu harudi hatumtaki, ametupotezea muda wa kutosha, mji wa mbeya utadhani ni kijiji. Mji wa Mbeya unazidi kurudi nyuma kimaendeleo sababu ya siasa za kijinga za chadema.
 
Halafu wewe acha ujinga wako wa kumtukana kiongozi wa nchi, usijidanganye kujificha kwenye keyboard yako, tutakushika na utashughulikiwa na mkono wa sheria. Au unabisha nikutaje jina lako na number ya simu? unajidanganya na jina bandia
 
Kumbe kampeni zimeanza rasmi. Haya wanambeya angalieni kati ya kigagula mchawi na huyu mwanenu nani wa kumchagua. Kigagula mara ya mwisho alikuja na wachawi waliojaribu kuloga chadema kwa kutumia jeneza la chadema wakalia wao. Tulipoteza vijana wawili wa ccm kwenye ajali. Huyo kigagula ataweza kuloga mbeya yote!!!??? yetu macho na masikio
 
Halafu wewe acha ujinga wako wa kumtukana kiongozi wa nchi, usijidanganye kujificha kwenye keyboard yako, tutakushika na utashughulikiwa na mkono wa sheria. Au unabisha nikutaje jina lako na number ya simu? unajidanganya na jina bandia
Wewe kuku mweusi usitishe watu humu nyang'au wahead! Jitu libariki tuuawe tutekwe halafu unajaribu kutishia liabudiwe Rubbish brain. Nenda kamuabudu wewe kwa sababu wote ni mashetani
 
Watu wengi hata ndani ya JF wanashindwa kutafuta ubora wa Mbunge badala yake wako hapo kwa CHDEMA, CCM! Sungu ni mbunge kwa manufaa yake tu, Hakuna mwananchi anayenufaika kwa kuwa na Sugu. Ni mtu ambaye hawezi hata kuwa na appoint,ent na rais, waziri mkuu na hata mawaziri wengine wakampa nafasi ya kuteta naye lolote!

Tutafute watu bora. Namkumbuka Slaa, pamoja na kuwa yuko upinzani wakati ule, bado serikali ilimpa hadhi yake. Hata waziri Mkuu alimpa hadhi. Hawa wengine hawa kelele tu!
 
Wewe kuku mweusi usitishe watu humu nyang'au wahead! Jitu libariki tuuawe tutekwe halafu unajaribu kutishia liabudiwe Rubbish brain. Nenda kamuabudu wewe kwa sababu wote ni mashetani
Wewe usiye na akili una akili za ndogo kama za nguruwe acha kudanganya watu wa Mbeya, tumesema hatumtaki huyo mjinga wenu Mbunge Tulia utake usitake.Acha kutuna kiongozi wa nchi wewe ndiyo shetani udanganya watu hapa, mpuuzi kabisa wewe
 
Wanatudanganya watu wa Mbeya kwa kujifanya eti wanasifia eti Mbeya wanamsimamo hatudanganyiki nasifa zisizo na faida wakati tunarudi nyuma kimaendeleo Mbeya tungepiga hatua kiamendeleo, sasa ni watu binafsi wanahangaika tu, tunataka na sisi miridi mikubwa ya serikali tunatoa kodi hatufaidiki sababu ya kushindana na serikali kwa udanganyifu wa Chadema.
 
Sio pimbi tu. Ni low lives. Hicho kiTulia kimejishusha sana. The lousy lady stooped too low kwa huyo mshirikina Dayamondi. Kigoma.........Β‘!!!!!!πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚
Haya bana ! 😎
 
Hakuna Mtanzania asiye na chama. Don't lie on that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kampeni zimeanza?
 
Attachments

  • 2181970_tapatalk_1555245893539.jpg
    27.2 KB · Views: 2
Halafu wewe acha ujinga wako wa kumtukana kiongozi wa nchi, usijidanganye kujificha kwenye keyboard yako, tutakushika na utashughulikiwa na mkono wa sheria. Au unabisha nikutaje jina lako na number ya simu? unajidanganya na jina bandia
Mjinga ni wewe unayejipendekeza . huyo kiongozi wa nchi umemtaja wewe unayejipendekeza. Endelea kupigania mkate wako wa kila siku.
 
sihitaji kujadiliana na wewe sababu upstairs mwepesi sana! ila ujue Sugu harudi hatumtaki, ametupotezea muda wa kutosha, mji wa mbeya utadhani ni kijiji. Mji wa Mbeya unazidi kurudi nyuma kimaendeleo sababu ya siasa za kijinga za chadema.
Wala mimi sihitaji kujadiliana na wewe . Wewe ni bogus. Kichwa kimejaa uji. Sugu humtaki sawa. Hata huyo unamyemsujudia kuna watu hawamtaki vilevile. Uchaguzi wa serikali za mitaa tu anacheza faulo wakati anajidai anakubalika. Kama anaweza aweke uchaguzi huru na.sio upuuzi wa kukata majina ya wapinzani au kusababisha vurugu za uchaguzi.
Vurugu za kuuana kwa sababu ya dhulma zenu za uchaguzi hatutaki. Amani ya nchi ni bora kuliko njaa zenu za madaraka.
 
Wewe mzalendo uchwara huu upuuzi tu. Eti unamkumbuka Slaa alipewa hadhi na serikali., unafiki mtupu. Slaa alipewa hadhi gani ambayo Mbowe, Lipumba na Mbatia hawakupewa!? Mbatia alichaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa. Huyu mnayemuabudu anaweza kufanya hayo!? Eti tutafute watu bora!? Wakati wabunge bogus wanaburuzwa huko bungeni na wanashindwa kuhoji kutofuatwa kwa taratibu. Ungeficha huu upumbavu wako japo uonekane mwerevu kidogo.
 
Wewe usiye na akili una akili za ndogo kama za nguruwe acha kudanganya watu wa Mbeya, tumesema hatumtaki huyo mjinga wenu Mbunge Tulia utake usitake.Acha kutuna kiongozi wa nchi wewe ndiyo shetani udanganya watu hapa, mpuuzi kabisa wewe
Nyambaf nilidhani utanitisha kama ulivyojigamba mwanzo nyani mweusi. matako yamechubuka ukiwatumikia wauaji mbwa porini msundu meru!
 
haya ma ccm na ma chadema bora yangefutiliwa mbali. Hayana maana yoyote zaidi ya kutuletea chuki miongoni mwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…