Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
SawaAsante mzee kwa Interview. Fungulia uzi wake halafu tupia yote humo na updates zake tuweze kuisoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaAsante mzee kwa Interview. Fungulia uzi wake halafu tupia yote humo na updates zake tuweze kuisoma
Ukraine jeshi alilokuwa nalo linaweza pigwa hata na Misri, utabisha. Poland na Finland haziwezi pigwa na Ukraine ile ya kabla ya vita. Sembuse kwa sasa Poland imekuza jeshi kwa fujo.Hv unafikiri ukraine alikuwa hana hvyo vifaa alikuwa na madege ya kivita ,mitambo ya kuzuia ndege kila kitu duniani alikuwa nacho Russia mnyama mwingne brother
Haya mahojiano tunayapata wapi?
Ni ndefu sana masaa mawili na dakika za kutosha inabidi Gb za kushibaSawa
Inaonekana wewe hujui ni kwa nini Nato iliundwa pamoja na madhumuni ya undwaji wake kiujumla. Wewe ni walewale wanaotumia dira ya kidini kama mwongozo wa kimtizamo.Mpaka dunia itakwisha haitotokea NATO wakaishamblia urusi, kamwe halitotokea.
Kwani katika jibu langu nimetaja vifungu vya Biblia au Qur'an?!!!!Inaonekana wewe hujui ni kwa nini Nato iliundwa pamoja na madhumuni ya undwaji wake kiujumla. Wewe ni walewale wanaotumia dira ya kidini kama mwongozo wa kimtizamo.
False narrative!Putin: “America is run by the CIA and other agencies not the president."
Another question should have been; what are those "other agencies"?Did he say “who” exactly are CIA?
Well, he’s damn right, the POTUS CANNOT run the US. Still, he can appoint the D/CIA and other national intelligence bosses.
Poland ipi 🤣🤣🤣Urusi hawezi kuigusa Poland kwa sasa. Licha ya kuwa ni mwanachama wa NATO, Poland imeboresha jeshi na ina vifaa bora kabisa vya kijeshi. Urusi ameanza kupata wasiwasi kwa nini Poland anataka kuunda biggest army in the world. Poland ameshaota pembe, hivyo Mrusi atulie.
Russia walitaka kujiunga NATO wakakataliwa, hivyo wanaamini NATO ndio inataka kuivamia Urusi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
🤣😀🤣 leta idadi ya majeshi bora zaidi duniani kabla ya ukraine kuvamiwa na Russia hem tuoneUkraine jeshi alilokuwa nalo linaweza pigwa hata na Misri, utabisha. Poland na Finland haziwezi pigwa na Ukraine ile ya kabla ya vita. Sembuse kwa sasa Poland imekuza jeshi kwa fujo.
Ukraine hana hata meli moja ya kivita ndio unataka umlinganishe na Poland. Ukraine hana airlifters, hana aerial refueling capability, hana airtoopers, hana submarines. In fact hata jeshi la Algeria linaipiga Ukraine ile iliyovamiwa na Urusi.
Hata wewe ni wale wale wanaotumia dira ya kubarikiwa kama muongozo wa mtazamoInaonekana wewe hujui ni kwa nini Nato iliundwa pamoja na madhumuni ya undwaji wake kiujumla. Wewe ni walewale wanaotumia dira ya kidini kama mwongozo wa kimtizamo.
Sawa. Nafikiri tatizo la Putin ni kushindwa kuelewa au kuamini nchi inawezaje kuendeshwa na “mfumo” badala ya kudhibitiwa na mtu mmoja ambaye ndiye Rais mwenye madaraka yote (absolute power) kama yeye na Urusi yake.Another question should have been; what are those "other agencies"?
Do those include the Executive, the Cabinet and the Department of Justice? If that is the case (which it is), then the US president is one of the agencies that run the country.
Unaota. Kwamba Urusi hatamani U.S ianguke ? , Kwamba China hatamani U.S ianguke ? , Kwamba India hatamani U.S ianguke ?, Kwamba Iran hatamani U.S inaguke ?Sawa. Nafikiri tatizo la Putin ni kushindwa kuelewa au kuamini nchi inawezaje kuendeshwa na “mfumo” badala ya kudhibitiwa na mtu mmoja ambaye ndiye Rais mwenye madaraka yote (absolute power) kama yeye na Urusi yake.
Sasa Marekani akitafuta mtu wa kupiga dili naye hampati! System inamzungusha tu. Angalau alipata matumaini wakati wa Trump ambaye sasa anaota kuwa dikteta akipata uRais mwaka huu. Wasichoelewa ni kuwa Marekani kufikia ilipo ilisukwa kwa jasho, akili na damu kiasi kwamba si rahisi kwa mtu mmoja kuivuruga nchi kama anavyofanya Putin huko Urusi.
Kingine, karibu mataifa yote makubwa duniani ikiwemo Urusi yana dau Marekani. Utajiri wa nchi zao na wao binafsi una misingi huko US. Hakuna anayetamani US ife! AMA sivyo gerentii ya thamani ya rasilimali nyingi itapotea na kutakuwa na vurugu kubwa sana katika uchumi na usalama wa Dunia.
Wewe ndio huelewi dunia inaendaje. Marekani sio taifa la “kikabila”; inashikiliwa na wadau na wataalamu toka dunia nzima chini ya magenius maalum. Wako Wayahudi, Warusi, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wajapan, Waajemi, Wajerumani, Waingereza, n.k. Hakuna anayetaka wala kuweza kuiangusha.Unaota. Kwamba Urusi hatamani U.S ianguke ? , Kwamba China hatamani U.S ianguke ? , Kwamba India hatamani U.S ianguke ?, Kwamba Iran hatamani U.S inaguke ?
Hayo mataifa machache niliyo kuulizia maswali unafikiri hayana mpango na hayataki kuongoza dunia ? Au unafikiri yana fikra za Kitanzania?!.
Aisee hili ni tatizo nini sasa hiki umeandikaWewe ndio huelewi dunia inaendaje. Marekani sio taifa la “kikabila”; inashikiliwa na wadau na wataalamu toka dunia nzima chini ya magenius maalum. Wako Wayahudi, Warusi, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wajapan, Waajemi, Wajerumani, Waingereza, n.k. Hakuna anayetaka wala kuweza kuiangusha.
Sana sana watu wanagombania nafasi ya kuiiongoza Marekani kama ilivyo. Si rahisi kuisuka nchi ikaendeshwa na “MFUMO” tu kama ilivyo Marekani. Kasome mikakati ya “systems” labda ndipo utaielewa Marekani. Nchi zinazoongozwa kidikteta haziwezi kuchukua nafasi ya Marekani zikaaminika kushikilia nguzo kuu za uchumi na usalama wa dunia. Itakuwa chaos from day one.
Katika hizo nchi ulizozitaja, Iran ndiyo tofauti. Wao hawana interest na maisha ya duniani. Hivyo kuanguka kwa Marekani ndiyo kuanguka kwa dunia na mwisho wake. Wao wanawaza maisha ya peponi tu. Hao ndio kweli wanataka sana anguko la Marekani. Sio hao wengine wenye hamu kubwa ya maisha mazuri hapa duniani.
Nani kasema mambo ya Biblia/Quran 😲😲Kwani katika jibu langu nimetaja vifungu vya Biblia au Qur'an?!!!!
Vp mkuu au ndo joto hili?!!