Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

Mtazamo wangu kuhusu siasa za Tanzania na Rais Magufuli

Nimeshakwambia kama Magufuli ana nia njema kwanini asiruhusu huo uchunguzi huru? nini kinachoshindikana hapo.

Tena nikakwambia, utaviamini vipi vyombo vya usalama Tz wakati Lissu akipigwa risasi ulinzi uliondolewa nyumbani kwake?

Sijaona majibu uliyotoa kuhusu hilo.

Na ujue tena kwamba, Lissu kupinga baadhi ya mambo yakiyokuwa yakiendelea Tz ulikuwa ni mtazamo wake, wajibu wenu ulikuwa ni kumjibu muonekane jambo mlilofanya mlikuwa sahihi, sio kukimbilia kumuita Lissu msaliti, huo ni uoga.

Sent using Jamii Forums mobile app

Akikujibu kitu kinachoeleweka nitaarifu tafadhali.
 
Kwahyo unataka kusema kwmb Tanzania inahitaji Rais mwenye siasa nyingi kuliko kutenda, ckia nikwambie mnyonge tumnyonge ila haki yake tumpe, mm cjampigia kura Rais Magufuli lkn pia hata maisha yng co mazuri kivile but haitoshi kuwa mbinafsi kwa kutoona juhudi anazofanya Magu, japo ni kweli ana mapungufu yake lkn kwa hali tuliyokuwa nayo ilitupasa kuwa na rais huyu, umeongelea kuhusu siasa kubanwa, cjui uhuru wa habari, je watu wanakula uhuru wa habari?, watu wanatembea juu ya uhuru wa habari? Watu wanakunywa uhuru wa habari? Nikukumbushe tu kwmb tangu tupate uhuru nchi hii hatujawahi kujenga reli zaidi ya kuhangaika na reli ya mkoloni, je hilo hulioni unaona uhuru wa habari, ni kweli uhuru wa habari kwa ss umebanwa, je unaonaje uhuru wa habari kubanwa kwa miaka 10 lkn kupata reli kwa vizazi na vizazi au kukosa reli, miundombinu bora, maji safi na salama, vituo vya afya lkn kuwa huo uhuru wa habari ambao kila cku tulijiongopea kuwa nao ilihali watu wana EPA nchi, wana ESCROW nchi kila cku.

Watanzania tuache unafki na ubinafsi, tusimame pamoja kujenga nchi, siasa hazijawahi kutupeleka popote zaidi ya kutuumiza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Uhuru wa watu kujieleza unamzuia nini mh. Rais kufanya yote hayo ?!. Kudhubutu kufanya hayo tena kupitia kodi yako kunaingilianaJe na democracy ya vyama ?!. Wapinzani wake kubambikiwa vyesi vya uchochezi na wengine kupotezwa kunaongeza nini kwenye huo ujenzi wa miundombinu ?!

Babu zetu walipigania Uhuru na miundombinu ni matunda ya kuwashirikisha wananchi . Tusijifiche kwenye chaka la miundombinu kuwaumiza wasiowapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi tungeona umeongea jipya iwapo ungekuwa neutral, huu upande uliolalia ndio waliolalia wengi ambao wameshindwa kuwashawishi wenye akili timamu. Kwa maneno marahisi umekuja kumsifu Magufuli na kumponda Tundu Lissu au upinzani, bila ku-balance hiki ulichikosema. Tumeshaamka zamani sana.

Sasa ngoja nikupe upande wa pili wa shilingi. Ukweli ni kuwa chuki ndani ya nchi hii imeletwa na Magufuli kwakuwa hawezi siasa za ushindani, na hatakaa aziweze. Kimsingi Magufuli hakupaswa kuwa rais kwani hana uwezo wa urais na hana busara ya kuwa rais.

Nafasi pekee aliyopaswa kuwa nayo ni waziri wa ujenzi, na kama ni ya juu kabisa, basi ni uwaziri mkuu. Nyuzi kama hii ya kwako sio ww tu umeileta, ila siku za karibuni kuna nyuzi kama hizi, huenda zinakuja kwa bahati mbaya, lakini nadhani ni mkakati maalum.

Ushauri, ni vyema Magufuli afanye kazi yake ya urais na aheshimu box la kura. Tulishatoka utumwani misri enzi za chama kimoja, sio yeye tu, hakuna mtu yoyote ndani ya nchi hii ataweza kuturudisha ndani ya mfumo wa chama kimoja.

Kama alidhani akitekeleza baadhi mambo na kuondoa uhuru wa vyombo vya habari, tutamsujudia na kumkubali yeye au chama chake basi amechemsha. Afahamu kila kizazi kina utashi wake, CCM ni chama cha kizazi kilichopita, sio kwamba hakijafanya chochote, lakini sio chama cha kizazi hiki.

Hivyo mshauri asipoteze muda wake kwa kujenga baadhi ya miundombinu, akidhani watu wa kizazi hiki watamkubali yeye au chama chake, sana sana ataishia kuiingiza nchi hii kwenye chuki kubwa na hata machafuko. Aelewe wakati ni ukuta.
Huyu bwana ilitakiwa aiishie kwenye mabarabara kule ndo matumizi ya nguvu ndo yanatakiwa.Huku ukitumia nguvu utaanguka,kizazi kimebadilika,kutwa kucha ni kupambana Na watu tu atapambana nao Na hatowamaliza Kama sokoine alivoshindwa.Sie twamwangalia tu anavokimbiza upepo Kama mtoto achezeae matope
 
And has turned Tanzania into a laughing stock. Mtu gani mwenye akili anaeweza kumsema vibaya housegirl wake mbele ya wageni (hata kama mtu huyo ana kosa)? Busara ya kawaida kabisa ni kusubiri wageni waondoke ndipo unamkosoa. Sasa Rais anaewafokea subordinates wake hadharani na kuwauliza watu wasiojua hata taratibu "eti wananchi, hawa niwafanye nini" ni Rais au kituko? Hana ofisi?
Jamaa ni mpumbavu kupita maelezo.

Na wengi hawaoni upumbavu wake kwa sababu ni wapumbavu kama yeye.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mie nina kazi nyingi na mambo mengi sio kila kitu nitakifahamu ila nimekosoma na nimekijua. Hata wewe ulikuwa hujui Lisu anatetea ushoga ila leo umejua

Peleka uhanithi mbali, umekuja unajifanya uko neutral na unapanga points, nikadhani unajua lolote kumbe ni kiazi tu, saa hii huna jipya umebaki unatapika tu Makande yaliyochacha. Huu ujinga wako kawaambie mabogus wenzio wasiojua lolote. Humu ndani umeingia choo cha kike.
 
We utakuwa ni bonge la bogus, umekuja na mada inajadiliwa, kisha unasema unatolewa nje ya mada, wakati huo huo unatoa link ya mada nyingine! Halafu unaweza kukuta ww ni afisa wa ofisi fulani ya umma na kuna watu wanakuheshimu kabisa.

Ukiona mtu anatoa lugha za matusi na fedheha basi kubishana kwa hoja hawezi napoteza mda wangu kubishana na watu wenye elimu ndogo kitu ambacho sikiwezi

Unashindwa hoja unaleta kelele kama ungesimama kwenye hoja hapo sawa, basi tukana unavyotaka alafu ukimaliza unijulishe umepata nini cha ziada, alafu niulize nitakujibu mda wakati unapiga kelele nimefanya nini cha ziada. .

Narudia tena SIASA SIO UGOMVI kila mtu yuko entlitled na mawazo yake au mtazamo wake wa kisiasa na sio DHAMBI wala sio UGOMVI. Mnataka mjadala wakati kila ukiandika uzi unanitusi sasa najadili na hopeless si kupoteza mda wangu. Unadhihirisha yale yote niliyoyasema teha watu hawana hoja wanafosi uhalisia kwa matusi na fedheha kitu ambacho hakibadilishi chochote. Umefeli tatizo wa kujilaumu unajiona sio wewe lazima uttafute wa kumlaumu ili ujione na wewe una maana. Sadly huoni hilo, niombe radhi nikujibu mada zako na futa kauli zako chafu. Au kuna sehemu nimekutusi au kukudhalilisha?

Hili si jukwaa la siasa unataka tuwe na maazo sawa wote? Nina haki na kuwa na mtazamo wangu acheni uditekta wa kuzamilishwa watu wafikirie mnavyotaka nyie. Dunia nzima hata Ulaya huko watu wana mitzamo ya kisiasa ila haiwazuii kukaa na kujadili au kubadilishana mawazo. Kama huna cha kusema bora ukae kimya sio lazima kusema, ukimya unasema mengi sana. .
 
Jamaa ni mpumbavu kupita maelezo.

Na wengi hawaoni upumbavu wake kwa sababu ni wapumbavu kama yeye.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Haha wewe mwenye akili nyingi hebu tuambie umefanya nini kuhusu Tanzania?

Hivi shule hazijawakomboa ndio tatizo na nina uhakika elimu ndogo ndio tatizo, acheni dhihaka tubishane kwa hoja na pinga jambo kwa hoja; mwisho kama huwezi sio lazima uchangie mada ipotezee tu

Kila mtu ana mtazamo wake wa kwako tofauti sio dhambi
 
Nakuambia toa utoto hapa jukwaani. Unasema unatolewa kwenye mada kisha unaweka link ya mada nyingine! Kama sio ujuha ni nini? Pumbavu kabisa.
 
Haha wewe mwenye akili nyingi hebu tuambie umefanya nini kuhusu Tanzania?

Hivi shule hazijawakomboa ndio tatizo na nina uhakika elimu ndogo ndio tatizo, acheni dhihaka tubishane kwa hoja na pinga jambo kwa hoja; mwisho kama huwezi sio lazima uchangie mada ipotezee tu

Kila mtu ana mtazamo wake wa kwako tofauti sio dhambi
Wewe hata kusoma kwa ufasaha na ufahamu hujui.

Hivyo mjadala na wewe ngumbaru ni vigumu.

Wapi ninesema nina akili nyingi?

Logical non sequitur.

Fucktard!

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Sasa Kama Ni mtazamo wako so ubaki nap?
Wewe mtu mmoja tu usipoiunga mkono chadema hUpunguzi chochote,anzisha chama chako.
Vijitu vingine bana,kinajifanya kina aakiiili.
Kama CDM inakubalika Hadi nje ya mipaka ya ya Tanzania wewe Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hoja dogo zaidi ya kujikomba . Uzi umewafungulia wapinzani kuwananga as if wamemkwamisha mh Rais kutekeleza majukumu yake. Ukiomba kazi ya u Rais , wananchi wote ni wako. Wakupendao na wasiokupenda. Si kulipa visasi kwa wale wasiokukubali.

After all siasa za ki democracy zipo kikatiba na hazitgemei hisani ya mtu, kuvunja au kutokuvunja katiba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi Sana,watu Kama ninyi ndio mnaotakiwa.dogo anaongea ugoro tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na kuwa NYUMBU lakini kumbuka hata mamba wamo kwenye kundi lenu
Kundi langu ni 'Tanzania' pekee. Sina bei ya ziada ya hapo.

Kwa hali inavyokwenda sasa nipo radhi hata kukipa 'kivuli' kura yangu kama itasaidia kuinusuru Tanzania.
 
Kimsingi tungeona umeongea jipya iwapo ungekuwa neutral, huu upande uliolalia ndio waliolalia wengi ambao wameshindwa kuwashawishi wenye akili timamu. Kwa maneno marahisi umekuja kumsifu Magufuli na kumponda Tundu Lissu au upinzani, bila ku-balance hiki ulichikosema. Tumeshaamka zamani sana.

Sasa ngoja nikupe upande wa pili wa shilingi. Ukweli ni kuwa chuki ndani ya nchi hii imeletwa na Magufuli kwakuwa hawezi siasa za ushindani, na hatakaa aziweze. Kimsingi Magufuli hakupaswa kuwa rais kwani hana uwezo wa urais na hana busara ya kuwa rais.

Nafasi pekee aliyopaswa kuwa nayo ni waziri wa ujenzi, na kama ni ya juu kabisa, basi ni uwaziri mkuu. Nyuzi kama hii ya kwako sio ww tu umeileta, ila siku za karibuni kuna nyuzi kama hizi, huenda zinakuja kwa bahati mbaya, lakini nadhani ni mkakati maalum.

Ushauri, ni vyema Magufuli afanye kazi yake ya urais na aheshimu box la kura. Tulishatoka utumwani misri enzi za chama kimoja, sio yeye tu, hakuna mtu yoyote ndani ya nchi hii ataweza kuturudisha ndani ya mfumo wa chama kimoja.

Kama alidhani akitekeleza baadhi mambo na kuondoa uhuru wa vyombo vya habari, tutamsujudia na kumkubali yeye au chama chake basi amechemsha. Afahamu kila kizazi kina utashi wake, CCM ni chama cha kizazi kilichopita, sio kwamba hakijafanya chochote, lakini sio chama cha kizazi hiki.

Hivyo mshauri asipoteze muda wake kwa kujenga baadhi ya miundombinu, akidhani watu wa kizazi hiki watamkubali yeye au chama chake, sana sana ataishia kuiingiza nchi hii kwenye chuki kubwa na hata machafuko. Aelewe wakati ni ukuta.
Huezi kubalance uungwana na upumbavu.
 
Financier wa TAZARA (interest free loan kwa maneno mengine ni reli ya msaada co kwmb tulijenga) [emoji116][emoji116]
"The TAZARA Railway" The TAZARA Railway

Sent using Jamii Forums mobile app

..kuna msaada au grant.

..kuna mkopo usio na riba.

..kuna mkopo wenye riba nafuu.

..kuna mkopo wenye masharti[riba] ya kibiashara.

..yote haya yanapaswa kuwa sehemu ya mjadala tunapojadili miradi mikubwa ya miundombinu.
 
Sikuhizi kuna wapambe nuksi hujidai hawana chama lkn ukiwasoma utawaelewa!!
Maswali kidogo;
1.) Kama mukulu hajatesa/ kukandamiza wapinzani mnahofu vipi kuhusu kukosa misaada? na kama anafanya kwanini msimuambie yeye aache kwanza ndipo wasemaji wanyamaze?.
2.) Ninchi gani inamaendeleo endelevu bila elimu bora na teknolojia kuinuliwa? Amefanya nini ktk kuboresha elimu ukiacha accessibility.
3.) Kama hatuzalishi zaidi,hatu-export zaidi huku kujengajenga na kununua ndege ndiyo maendeleo endelevu?
3.) Katika miaka yake 5 unaweza kutaja kampuni mpya successful hata tatu?
Je, unaweza kueleza amesaidia viwanda gani alivyovikuta kwenda world wide (hata viwili)
4.) Nchi hii ni ya wakulima na wafanyakazi,eleza wafanyakazi walioboreshewa maisha na kilimo cha zaogani la kibiashara limeongezeka vyema kitakwimu!
5.) Ni taasisi gani serikalini iliyoboreka kiasi haihitaji supervision inajisimamia vema kikipato na kiutendaji.
6.) Kwavipi wawekezaji toka nje wamevutiwa kuwekeza Tz na niwepi wa Tz wamesaidiwa kuwekeza nje.
7.) Tumeendeleza kimafunzo wataalamu wetu wameenda nje ya nchi kiasi gani kutuletea ujuzi na maarifa kupita awali?
8.) Kunyima watu mishahara bora,kufuta watu kazi na kuzibana biashara kodi (kiasi zinafungwa) ili ujenge wewe wao wakwame ndiyo kuinua uchumi? Uchumi ni kununua mavitu tuu?
9.) Huduma zetu za afya kwenye kudhibiti maradhi common zimeboreka kiasi gani?
mf. Kuhusu ukimwi (mipira ipo yakutosha),chanjo kwa watoto zinapatikana vyema, malaria (chandarua zimejaa) nk.
10.) Kiutalii miji mingapi imeibuka na kukuwa,mahoteli je yamenawiri na ajira zinatangazwa maeneo hayo?
Kiufupi ajira kwa vijana zimeongezeka kwa kasi?
Kukaa na kusifusifu bila data ni uzuzu utaotufanya tuendelee kuburura mkia katika dunia ya ushindani! Kusifia vitu ambavyo havithibitishi tija kwa taifa ni upuuzi wa ainayake,
 
Back
Top Bottom