Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Always observe the rules.. kwani hamkujua chenye goli la ugenini hufanya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bingwa wa CAFCC ni USM Alger, siyo Yanga.Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira!
View attachment 2645466
Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi, uongozi wa Yanga na mashabiki wote wa Yanga!
Binafsi naamini kushindwa kwa Yanga kuleta kombe nyumbani ni kutokana na stile ya ushabiki wa mpira hapa nchini almaarufu Kama utani wa jadi unaofanywa na Simba na Yanga! Nafikiri umefikia pabaya na kama serikali haitaingilia kati sioni tukifanikiwa kimichezo! Aina hii ya ushabiki imehusisha mpaka wivu wa "kike", uchawi na inaua uzalendo wetu! Hapana lazima viongozi ngazi ya taifa waingilie kati!
Kama si Simba kuisaidia USM kwa namna ilivyoisaidia (sina ushahidi, ni mawazo yangu) hakuna namna yoyote USM angesinda mechi ya fainali ya kwanza iliyochezwa Dar achilia mbali kuchukua kombe hili!
Nilipokuwa natazama mechi ya mchezo wa fainali ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam, mashabiki wa Simba walifurahi kuliko hata USM wenyewe Yanga walipofungwa goli la kwanza! Lakini Kama haitoshi, mashabiki hao hao wa Simba waliumia kiasi cha kutokwa machozi pale Yanga ilipofunga goli na huwezi amini walifurahi furaha kuu ajabu pale USM walipofunga goli la pili! Haipaswi kuwa hivi! Chonde sana serikali, ingilieni kati suala hili!
Natamani sana kuona michezo ikileta na kukuza umoja, uzalendo, amani, upendo, furaha nk.
Tusipoangalia, tutashindwa kuishangilia timu yetu ya taifa vizuri kwa kuwa tu mfungaji ni wa Simba au Yanga!
Ni jambo la kushangaza watu wa Kenya, Rwanda na mataifa ya jirani walikuwa wakiishangilia Yanga jana kwa kigezo cha timu yetu inayoiwakilisha Afrika Mashariki eti kuna mitanzania ilikuwa inaiombea mabaya!!! Huu ni ushabiki wa kilofa!
Nimemaliza!
Style ya hovyo kabisa ndiyo maana rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi aliwahi kulifananisha soka la Tanzania na kichwa cha mwendawazimu! Ni ujuha mtupu!Bingwa wa CAFCC ni USM Alger, siyo Yanga.
Kuhusu Simba au Yanga kusaidia wapinzani wa mwenzake hiyo ndiyo aina ya soka letu, siyo lazima kufanana na wengine.
Lazima Afrika na Dunia vitambue kuwa katika style ya soka la Tanzania ni tofauti nchi yoyote ile, kwani ukienda kucheza na Simba au Yanga nchini Tanzania basi utakaribishwa na kupewa mashabiki bure kabisa.
That's our style na inabidi iwe promote duniani kote.
Sasa kitu anaongea Mwinyi wewe ndiyo unakiweka akilini na kukifanyia marejeo ngamani?Style ya hovyo kabisa ndiyo maana rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi aliwahi kulifananisha soka la Tanzania na kichwa cha mwendawazimu! Ni ujuha mtupu!
Ufike wakati tuwe wazalendo na nchi yetu! Tuipende na kuithamini! Nasikia wenzetu nchi ya jirani Rwanda mwanamke haruhusiwi kuzaa na mijitu ya nchi nyingine! Unaweza kuoa lakini utaishia kufanya naye yote ila suala la uzazi ni atazaa na mwanaume wa Rwanda na si vinginevyo! Utaagwa tu anaenda kusalimia kumbe kaenda kutafuta mimba! Sina hakika katika hili! Linaweza kuwa limekaa vibaya lakini ni bora yao wanakauzalendo na nchi yao! Unawezaje kuuza mbinu za mtani wako kwa adui?
Wala sio ujinga labda tu utakuwa umesahau historia.Hakuna mtu anaweza kujengea mtu uzalengo duniani, uzalendo ni tunda la haki na fairness, Ni ujinga sana kitu simba wamefanya, ila wametumia uhuru wao.
Nina over 50 years, mpaka hapa nilipo sijawahi kuona mzalendo kweli wa hii ncbi, Lissu na Mbowe are trying, ila bado, neno uzalendo linatumika vibaya na sio kwa maana halisi.
Mtakoma banaNa huo siyo utani! Simba ndiye mchawi wa Yanga!
Sitaki kuamini kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo! Hebu rudia tena kusoma Ikibidi hata mara kumi labda unaweza kuelewa nilichoandika! PoleHaya tuoneshe picha ukiwa na hilo kombe
Acha maneno mengi, tuoneshe kombe, hizo zingine ni hadithi zisizo na msingiSitaki kuamini kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo! Hebu rudia tena kusoma Ikibidi hata mara kumi labda unaweza kuelewa nilichoandika! Pole
Mlitegemea Yanga kufungwa magoli kibao imekuwa tofauti!! Uliona soka Yanga imecheza jana?Acha maneno mengi, tuoneshe kombe, hizo zingine ni hadithi zisizo na msingi
Kwanza anza tu kufikiria ile siku zinapangwa draw za hatua ya robo fainaliKARMA ipo and is real mbwa nyie yooote mliyowafanyia SIMBA SC Mpaka kufikia kwenda kupokea timu Pinzani Airport kwa maturumbeta, Mpaka kuwapa mabasi mpaka kuitisha Press Conference mkawaamboa waje na Maji yao, wasitumie vyumba vya nguo, nk nk mpaka CAF ikaleta wachunguzi mechi sa Simba kisa Uongo uongo wenu. Hatimaye yamewarudi! Hamtakaa mfanikiwe kamweeee.
Halafu vile inawaumaa kukosa KOMBE KWA FAIDA YA GOLI LA UGENINI ndivyo hivyo hivyo inawauma Watanzania KATIBA ILICHOWAFANYA BAADA YA MSIBA WA JPM pambaneni na hali yenu Kima nyie!
........Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi, uongozi wa Yanga na mashabiki wote wa Yanga!