Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Nilidhani utazungumzia kuhusu zile fitna za mashabiki wa USM Alger za kufyatua fataki na kusababisha moshi mzito uwanjani hadi mchezo kusimamishwa mara mbili ambayo ilichangia kwa kiasi kikubwa kuwapunguza kasi wachezaji wa Yanga