Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

Toka nizaliwe sijawahi ona team ya kutoka Tanzania inaupiga mwingi kuliko Yanga. Hii Yanga ni hatari mno

[emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
 
Najua unaumia hata kwa hapo Yanga imefikia! Mtani huna kombe lolote mwaka huu! Si bora Yanga amejaribu! Huo ni wivu!
Kwan lazima mashabiki wa Simba waisapoti Yanga ikiwa inacheza na team za nje?? Poleeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa Nini walituroga kenge Hawa?... Mm sijaona timu ya kuifunga yanga palee.

Na hasa lile goli la pili walishirikiana na kigagura wa simba

GENTAMYCIME kutuharibia [emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo lililopo hapa kwetu, ni hili la mashabiki wengi wa simba kuwa mbumbumbu. Kwa hiyo hata serikali ifanye nini, bado hawawezi kuondoa roho za kichawi na husuda mioyoni mwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kula chuma hikoooooo.
 
Hakuna mtu anaweza kujengea mtu uzalengo duniani, uzalendo ni tunda la haki na fairness, Ni ujinga sana kitu simba wamefanya, ila wametumia uhuru wao.
Kosa la Simba lipo wapi boss ?...
 
Bingwa wa CAFCC ni USM Alger, siyo Yanga.
Kuhusu Simba au Yanga kusaidia wapinzani wa mwenzake hiyo ndiyo aina ya soka letu, siyo lazima kufanana na wengine.

Lazima Afrika na Dunia vitambue kuwa katika style ya soka la Tanzania ni tofauti nchi yoyote ile, kwani ukienda kucheza na Simba au Yanga nchini Tanzania basi utakaribishwa na kupewa mashabiki bure kabisa.
That's our style na inabidi iwe promote duniani kote.
Hapo pa kupewa mashabiki buree kabisaaa.
 
Style ya hovyo kabisa ndiyo maana rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi aliwahi kulifananisha soka la Tanzania na kichwa cha mwendawazimu! Ni ujuha mtupu!

Ufike wakati tuwe wazalendo na nchi yetu! Tuipende na kuithamini! Nasikia wenzetu nchi ya jirani Rwanda mwanamke haruhusiwi kuzaa na mijitu ya nchi nyingine! Unaweza kuoa lakini utaishia kufanya naye yote ila suala la uzazi ni atazaa na mwanaume wa Rwanda na si vinginevyo! Utaagwa tu anaenda kusalimia kumbe kaenda kutafuta mimba! Sina hakika katika hili! Linaweza kuwa limekaa vibaya lakini ni bora yao wanakauzalendo na nchi yao! Unawezaje kuuza mbinu za mtani wako kwa adui?
Hapo kwa Wanawake wa Rwanda na nadhani unamanisha watutsi kutokuzaa na wanaume wengine umedanganya Mkuu,wapo wanaolewa na kuzaa vizuri tu.Chezea dhiki wewe,njaa haina baunsa,mwanamke wa kitutsi mpe maisha tu,atakuzalia hata watoto 20 na akiwa na maisha mazuri hata kwao hawakumbukagi kwenda mara kwa mara.
 
Tatizo lipo TFF, walianza kuisigina Yanga mapema sana kabla hata haijafika hatua hii.

Ndio maana Yanga waliamua kuweka nguvu kubwa mechi za ugenini Kwa sababu nyumbani hakueleweki.
Kama tatizo lipo TFF na lipo kwao tu, nashauri wahamie ligi ya Yemen kwa kina Ghalib.
 
Kwanza anza tu kufikiria ile siku zinapangwa draw za hatua ya robo fainali

Kila Gongowazi aliyeoona Simba kapangwa na Wydad alifurahi huku kila mmoja akija na namba zake zinazoonesha idadi ya magoli atayofungwa.

Cc Dr Matola PhD

View attachment 2645518
Mr Devil

View attachment 2645543
mwarabu feki
View attachment 2645544
Ituzaingo Argentina
View attachment 2645545
babu onyango
View attachment 2645546
Wakipekee
View attachment 2645547
Evelyn Salt
View attachment 2645548
adriz
View attachment 2645549
Half american
View attachment 2645551
adriz
View attachment 2645552
Shadeeya
View attachment 2645553
BUSH BIN LADEN
View attachment 2645554
adriz
View attachment 2645555
Ituzaingo Argentina
View attachment 2645556
Ituzaingo Argentina
View attachment 2645557
bhachu
View attachment 2645558
Prince Kunta
View attachment 2645559
adriz
View attachment 2645560
Ngalikihinja
View attachment 2645561
Ngalikihinja
View attachment 2645563
Kama haitoshi hili swala lilienda hadi ngazi za juu kwa viongozi wa Yanga, nao walikuwa wanafurahia kuona Simba kapangwa na Wydad na wakisema biashara yao imeishia hapo.

Leo hii watu hawa wanataka kusema nini kuhusu uzalendo??

Muwe tu wa kweli eti nyie Gongowazi leo hii mnaweza kutulaumu sisi kushangilia timu yetu ya USM ALGER??
 

Attachments

  • FB_IMG_1685867375406.jpg
    FB_IMG_1685867375406.jpg
    27.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 1
Final ingechezwa 1 kama inavyotakiwa si ungekua umeliwa hapohapo nchini kwako?
 
Naanza kwa kuipongeza timu ya Yanga kwa hatua kubwa waliyoifikia kimpira!

View attachment 2645466

Japo hawakushinda kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa na CAF binafsi naamini Yanga ndiye bingwa wa michuano ya CAFCC 2023. Wamecheza soka safi na la kisomi, hongera kwako Nabi na timu yako ya benchi la ufundi, uongozi wa Yanga na mashabiki wote wa Yanga!

Binafsi naamini kushindwa kwa Yanga kuleta kombe nyumbani ni kutokana na stile ya ushabiki wa mpira hapa nchini almaarufu Kama utani wa jadi unaofanywa na Simba na Yanga! Nafikiri umefikia pabaya na kama serikali haitaingilia kati sioni tukifanikiwa kimichezo! Aina hii ya ushabiki imehusisha mpaka wivu wa "kike", uchawi na inaua uzalendo wetu! Hapana lazima viongozi ngazi ya taifa waingilie kati!

Kama si Simba kuisaidia USM kwa namna ilivyoisaidia (sina ushahidi, ni mawazo yangu) hakuna namna yoyote USM angesinda mechi ya fainali ya kwanza iliyochezwa Dar achilia mbali kuchukua kombe hili!

Nilipokuwa natazama mechi ya mchezo wa fainali ya kwanza iliyochezwa Dar es Salaam, mashabiki wa Simba walifurahi kuliko hata USM wenyewe Yanga walipofungwa goli la kwanza! Lakini Kama haitoshi, mashabiki hao hao wa Simba waliumia kiasi cha kutokwa machozi pale Yanga ilipofunga goli na huwezi amini walifurahi furaha kuu ajabu pale USM walipofunga goli la pili! Haipaswi kuwa hivi! Chonde sana serikali, ingilieni kati suala hili!

Natamani sana kuona michezo ikileta na kukuza umoja, uzalendo, amani, upendo, furaha nk.

Tusipoangalia, tutashindwa kuishangilia timu yetu ya taifa vizuri kwa kuwa tu mfungaji ni wa Simba au Yanga!

Ni jambo la kushangaza watu wa Kenya, Rwanda na mataifa ya jirani walikuwa wakiishangilia Yanga jana kwa kigezo cha timu yetu inayoiwakilisha Afrika Mashariki eti kuna mitanzania ilikuwa inaiombea mabaya!!! Huu ni ushabiki wa kilofa!

Nimemaliza!
.
FB_IMG_1682646137959.jpg
FB_IMG_1682646171032.jpg
 
Alikomwe alituambia uzalendo tupeleke taifa stars, wewe unakuja na ya kwako leo, mmetolewa full stops
 
Alikomwe alituambia uzalendo tupeleke taifa stars, wewe unakuja na ya kwako leo, mmetolewa full stops
Fainali haina kutolewa zuzu wewe, ndio mwisho wa mashindano.

Yanga imeanza mwanzo mpaka mwisho, kigoma ndio mwisho wa reli.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685867375406.jpg
    FB_IMG_1685867375406.jpg
    27.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685861984870.jpg
    FB_IMG_1685861984870.jpg
    45 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1685856901618.jpg
    FB_IMG_1685856901618.jpg
    52.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom