Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

Always observe the rules.. kwani hamkujua chenye goli la ugenini hufanya?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Serikali iingilie kati kufanyaje yahn mbona unasema vitu ambavyo havipo utopwax kuweni wapole tu bado hamjatufikia kufa kiume.
 
Bingwa wa CAFCC ni USM Alger, siyo Yanga.
Kuhusu Simba au Yanga kusaidia wapinzani wa mwenzake hiyo ndiyo aina ya soka letu, siyo lazima kufanana na wengine.

Lazima Afrika na Dunia vitambue kuwa katika style ya soka la Tanzania ni tofauti nchi yoyote ile, kwani ukienda kucheza na Simba au Yanga nchini Tanzania basi utakaribishwa na kupewa mashabiki bure kabisa.
That's our style na inabidi iwe promote duniani kote.
 
Style ya hovyo kabisa ndiyo maana rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi aliwahi kulifananisha soka la Tanzania na kichwa cha mwendawazimu! Ni ujuha mtupu!

Ufike wakati tuwe wazalendo na nchi yetu! Tuipende na kuithamini! Nasikia wenzetu nchi ya jirani Rwanda mwanamke haruhusiwi kuzaa na mijitu ya nchi nyingine! Unaweza kuoa lakini utaishia kufanya naye yote ila suala la uzazi ni atazaa na mwanaume wa Rwanda na si vinginevyo! Utaagwa tu anaenda kusalimia kumbe kaenda kutafuta mimba! Sina hakika katika hili! Linaweza kuwa limekaa vibaya lakini ni bora yao wanakauzalendo na nchi yao! Unawezaje kuuza mbinu za mtani wako kwa adui?
 
-Huu utani wa Simba na yanga sasa umegeuka chuki za wazi wazi hakuna utani tena hapo.

-Waanzilishi wa hizo tabia ni yanga wenyewe Simba wanafanya kumalizia Tena kwa kiwango kidogo sana
-mimi Kila mara nalia na viongozi wa nchi hii, kama watanzania tunashida kubwa ya viongozi wetu kutokua na macho ya kuona mbele, kitendo Cha kuruhusu mashabiki na viongozi wa yanga kwenda kuwapokea wageni/ washindani wa Simba airport wakati Simba inawakilisha nchi ilikua ni step kubwa sana ya kutengeneza chuki na kuzalisha uhasama.

Kwa viongozi wenye maono walipaswa kukemea tabia hiyo mara Moja.

-Mashabiki wa yanga kujazana uwanjani na kuwashangilia wageni.
-Raisi wa yanga kuwasapoti washindani wa Simba kwa kuvaa jezi zao na kuwapa mbinu za kuwafunga Simba.
 
Sasa kitu anaongea Mwinyi wewe ndiyo unakiweka akilini na kukifanyia marejeo ngamani?
Kiongozi wa nchi ndiye kichwa cha nchi, kama alisema Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu maana yake kichwa hicho ni yeye na kwa mambo yalivyoenda kwenye utawala wake ni hakika alikua ni mwendawazimu kweli wala hakukosea.
 
Wala sio ujinga labda tu utakuwa umesahau historia.

Kuna kipindi fulani wakati Manara yupo Simba aliwahi kusema tujitokeze kuishangilia Yanga kwenye michuano ya kimataifa

Siku ile kweli watu wakajitokeza.

Yanga ilivyoshinda ile mechi wakaanza kututukana watu tuliokuwa nao pamoja kuwasapoti.

Kile kitendo kilituuma wengi.

Lakini kumbuka huyu Raisi wao wa Club aliwahi kuvaa jezi ya Kaizer Chief kwa ishara ya kuwasapoti kipindi wanacheza na Simba.

So unaniambiaje swala la uzalendo kwenye ishu yako kama ishu yangu ulikuwa upande wa mpinzani wangu?

Na bado yani hiki tulichokifanya ni robo ya kile ambacho tutazidi kukifanya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya tuoneshe picha ukiwa na hilo kombe
 
Haya tuoneshe picha ukiwa na hilo kombe
Sitaki kuamini kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo! Hebu rudia tena kusoma Ikibidi hata mara kumi labda unaweza kuelewa nilichoandika! Pole
 
Sitaki kuamini kama uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo! Hebu rudia tena kusoma Ikibidi hata mara kumi labda unaweza kuelewa nilichoandika! Pole
Acha maneno mengi, tuoneshe kombe, hizo zingine ni hadithi zisizo na msingi
 
Khaaa mimi siwezi kushabikia timu ya simba abadani.
Yani kabisa nianze kushabikia uchawi??
Mimi mkristo broo
 
Kwanza anza tu kufikiria ile siku zinapangwa draw za hatua ya robo fainali

Kila Gongowazi aliyeoona Simba kapangwa na Wydad alifurahi huku kila mmoja akija na namba zake zinazoonesha idadi ya magoli atayofungwa.

Cc Dr Matola PhD


Mr Devil


mwarabu feki

Ituzaingo Argentina

babu onyango

Wakipekee

Evelyn Salt

adriz

Half american

adriz

Shadeeya

BUSH BIN LADEN

adriz

Ituzaingo Argentina

Ituzaingo Argentina

bhachu

Prince Kunta

adriz

Ngalikihinja

Ngalikihinja

Kama haitoshi hili swala lilienda hadi ngazi za juu kwa viongozi wa Yanga, nao walikuwa wanafurahia kuona Simba kapangwa na Wydad na wakisema biashara yao imeishia hapo.

Leo hii watu hawa wanataka kusema nini kuhusu uzalendo??

Muwe tu wa kweli eti nyie Gongowazi leo hii mnaweza kutulaumu sisi kushangilia timu yetu ya USM ALGER??
 
........
 

Attachments

  • ...Ah!....jpg
    26.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…