Mtazamo wangu: Yanga ndiye bingwa wa CAFCC 2023

Nilidhani utazungumzia kuhusu zile fitna za mashabiki wa USM Alger za kufyatua fataki na kusababisha moshi mzito uwanjani hadi mchezo kusimamishwa mara mbili ambayo ilichangia kwa kiasi kikubwa kuwapunguza kasi wachezaji wa Yanga
 
Wawapi wewe? Umesikia wimbo wa taifa ukiimbwa pale? Caf walishafuta wimbo wa taifa kwa ngazi ya klabu miaka 20 iliyopita
 
Wimbo wa taifa hauimbwi ngazi ya vilabu mkuu , unaimbwa kwa timu za taifa.
 
Kwa hiyo sisi tuamini hisia zako au tuwaamini CAF?

Yaani tuwe wazalendo wakati ka premature kama ali kamwe amesema uzalendo ni kwa taifa stars?

JItahidi kaa karibu na wale watu wawili pale utopoloni
Yaani wale PWAGU na PWAGUZI
 
Hoja kosea mtoa mada.

Mimi ni mshabiki wa Simba lkn kwakweli Yanga wametujishimisha sana kimataifa.

Simba mnajambo la kujifunza.
 
Labda kikombe cha togwa.
 
Any traumatic event is inafuatwa na;

denial
anger
bargaining
depression and
acceptance


Bado upo stage one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…