... CCM walivyo washenzi watamzushia majina huyo! Hakuna jina baya ambalo Ndugai hatapewa; wanaweza kumwita hata Nduli such that hadi kizazi kijacho kitakuwa na image mbaya sana ya Nduli Ndugai kumbe alikuwa na maoni ya kawaida tu!Kujiuzulu ni kukubali kushindwa, na akijiuzulu anawapa oppornent(s) wake point za kiulani (kuwa alikua sahihi)
Anaweza akajiuzulu na ikampa heshima kubwa kuliko kuendelea kumlamba miguu muimba taarabu na mpaka inna viganjani ni aibu, hata akitaka kugombea 2025 hatutamuelewa kuliko akijiuzulu halafu aje 2025,Kwa Hali ulivyo sioni namna ya ndugai kuendelea kuwa spika kwa Hilo lililotokea, anapaswa kujiuzulu au kuondolewa.Mama kakataa msamaha wake
Tunatikiwa tufikie viwango vya USA, Bunge liongozwe na chama kingine na urais ushikiliwe na chama kingine tofauti na kazi iweze kuendeleaWale wabunge wana nafasi nzuri sana kwenye kuamua hili suala, ni either wapige kura ya kutokuwa na imani na Samia au kutokuwa na imani na Ndugai, kwao kuendelea kukaa kimya ni unafiki wasilete habari ya kulinda chama zaidi ya kulinda interests za nchi.
Kuwa na mihimili miwili isiyoelewana ni tatizo, kwa sababu yote hufanya kazi kwa kushirikiana, na kwa namna fulani inategemeana. Naona Samia ameaminiwa kwa kauli yake ya anajenga nchi hataki watu wamharibie, huu kwangu ni usanii tu.
Wakati yeye ndie aliekuwa wa kwanza kuwaambia wanawake wenzie 2025 ni zamu yao, kama alidhani alikuwa anapiga umbea kwenye kikao cha wanawake wenzie ajue wanaume walijua vita ndio imeshatangazwa, sasa apigane asijifiche kwenye kisingizio cha najenga nchi na kutaka kutumbua mawaziri wanaojipanga, anawaonea.
Kwa hiyo kwenye katiba nzuri viongozi Wakuu wa mihimili huwa awapalulani?Ngoja ma-CCM yaparuane, si huwa yanajifanya hayajui umuhimu wa katiba mpya isiyo na mawaa yenye clear separation of powers kati ya mihimili ya dola.
Kasome usinichoshe,yaani km hujui ata mgawanyo wa fedha/bugdet ni kazi ya bunge basi kuna shida sana nchi hiiWeka vifungu vilivyovunjwa, weka data hapa sio empty words.
ItapendezaNinachokiona mimi tunakaribia kufikikia siasa za Kenya
Sio kweliKama hukubaliani na mtu hususani katika maamuzi njia nzuri ni kujiuzulu tuu.
Mimi siko upinzaniUkimaanisha kuwa hakumpongeza Mbowe na Lissu. Jaribu kuwa objektiv.
We unaonaje asee?Sio kweli
Kwa cheo cha Ndugai anapoongea kitu kupitia media maneno yake yanachukuliwa Spika kasema sio mnywa kahawa kasemaYa Ndugai yalikuwa maoni yake ambayo kila mtu ana haki yake.
Yakajibiwa kwa marungu na kumpelekea Ndugai kuomba yaliyopita yasiwe ndwele.
Maombi ya Ndugai yametupwa kwa kejeli.
Tulipo sasa ni hapa:
Msamaha kubutuliwa, Ndugai aungwe mkono
Aluta Continua.
Vita ni vita, Mura!
Weka hata percentage basi, na fanya citation ya hiyo sheria na kifungu chake nikaisome Mkuu.Kasome usinichoshe,yaani km hujui ata mgawanyo wa fedha/bugdet ni kazi ya bunge basi kuna shida sana nchi hii
Nadhani watu wanamiss kwanini Ndugai kaomba msamaha...si kwa sababu alikoseaTatizo Ndungai ameomba msamaha kinafiki sana,
Na mbaya zaidi anakana kile alichoongea na kusingizia watu wame edit,
Sasa kama mtu anakana kitu kilicho wazi na anaomba msamaha,
Huo msamaha anaomba kwa kosa lipi?
Ila ikumbukwe lile bunge ni la watu wa mwenda zake, japo wanasiasa hawaaminiki.Wale wabunge wana nafasi nzuri sana kwenye kuamua hili suala, ni either wapige kura ya kutokuwa na imani na Samia au kutokuwa na imani na Ndugai, kwao kuendelea kukaa kimya ni unafiki wasilete habari ya kulinda chama zaidi ya kulinda interests za nchi.
Kuwa na mihimili miwili isiyoelewana ni tatizo, kwa sababu yote hufanya kazi kwa kushirikiana, na kwa namna fulani inategemeana. Naona Samia ameaminiwa kwa kauli yake ya anajenga nchi hataki watu wamharibie, huu kwangu ni usanii tu.
Wakati yeye ndie aliekuwa wa kwanza kuwaambia wanawake wenzie 2025 ni zamu yao, kama alidhani alikuwa anapiga umbea kwenye kikao cha wanawake wenzie ajue wanaume walijua vita ndio imeshatangazwa, sasa apigane asijifiche kwenye kisingizio cha najenga nchi na kutaka kutumbua mawaziri wanaojipanga, anawaonea.
Hili ni suala la Rais na chama...Ndugai amuache Rais na Mwenyekiti amuambie wazi kuwa hana Imani ya kufanya kazi naye..hapo atatakiwa kujiuzulu. Asimfanyie Rais kazi.Mawazo yangu ni kwamba Ndugai asijiuzulu unless kuna tishio la usalama wake.
Ningependa kushuhudia upigaji wa kura ya kutokuwa na imani naye Kupitia kura ya siri.
Ningependa Wananchi tufahamu msimamo wa wabunge wetu kuhusu hii mitazamo miwili tofauti ya viongozi hawa wakuu
Vinginevyo ni jambo zuri kuona namna sumu waliyoitengeneza wenyewe kwa ajili ya kuwaua wapinzani wao sasa inawatafuna wenyewe.
Hawezi kijuhudhuru Wagogo tunakiburi sana na Ndungai kazeeka hana cha kupoteza. Ni kama enzi za KingungeHakuna option nyingine aliyonayo huyo mgogo, zaidi ya kubwaga manyanga. Full Stop
Unyoka wa Ndugai uko wapi?Kwani Ndungai akiachia hayo madaraka kuna shida gani, unadhani Mh. SSH atataka kuongea na huyo mhusika tena, ki uhalisia huwezi kuishi na nyoka ndani ya nyumba yako ukawa salama. Muhimu ni kukikata kichwa mapema tu.