Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

siku moja bana mwanamalundi alikua kwenye mkutano watu wengi wamekusanyika kusikiliza kitu wenyewe wanaita mbina.

Basi watu wakamfata mwanamalundi na kumtaarifu kwamba kuni za kupikia chakula cha watu wa mkutano ule zimeisha.
Aliposikia hivyo aligeuka kuelekea upande ambapo ulikuwepo msitu akanyoosha mkono kuelekea huo msitu na kusema,''Batemagi pye abenaba''.
Yaani wakateni wote hawa..akimaanisha ile miti iliyokua msituni.Ghafla miti yote aliyoinyeshea mkono ilikauka yote.
Watu waliokua upande wa huo msitu nao walikauka pia.
 
kweli wa TZ wengi kama ww nchi kama China unapigwa Risasi, ww umesoma historia yote ya affrika mpaka useme hayo?labda awe Yesu wa wasukuma,acha kuwa na mawazo mafupi kiasi hicho
 
mikono.ndiyo mabaoyote ya kwenyemawe nanyayozote unazo zisikia popote tanzania. wasukuma tukojuusana tupeni nchi tuwaongoze
Kwahiyo kwakuacha nyayo hao mababu zenu ndio iwe tiketi ya kukabidhiwa nchi? Aaaaggghhhaaaiii!
 
ilitabiliwa kuwa siku za mwisho kutatokea wapinga kristo wengi sana,na haya twayaona sasa
Tatizo hapa Yesu mwenyewe alikua mtu tu kama Ng'wana malundi. Ispokua wazee wa kiyahudi walizitunza hadithi zake ktk maandishi na kuendelea kuhadithiana kizazi na kizazi mpaka zikakufikia na wewe.
 
There will be any no any exception to compare Jesus with some Sukuma Magician whom his existence can not be concretely be established
 

hatumwabudu yesu kwa vile alifanya miujiza...kkah hasha tunamwabudu kwa mission alioifanya ya kutukomboa.
 
MWANAMALUNDI hakua na uwezo kama KRISTO kwa sababu kuna mambo ambayo aliyafanya ambayo hayampendez Mwenyezi MUNGU. Kama kukausha watu na kuwachoma kama kuni wakati wa mashindano ya ngoma za asili
Tutajuaje kama naye bwana YESU kristo hakuwahi kukosea? Think outside the bible, critically and logically. Ndiyo, tunamwamini Yesu kristo kupitia simulizi na mafundisho yake, lakini vipi leo hii akitokea mtu akaanza kuandika mambo yote mazuri yamhusuyo Mwanamalundi, akampamba huku akiweka shuhuda mbali mbali na baadae hicho kitabu kikaingizwa katika Studies About Sukumaland, huku zile sehemu alizoacha nyao zake zikiwekewa na kutunzwa vizuri ili watu waende kujionea. I believe after some generations to come, Mwanamalundi will have some followers.
 

mhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Hahahah, hapana kaka ni mitizamo tu, I was in another region far away from Dar es Salaam tena kabla ya hiyo miaka. This is another news, I have never thought about this reference. Thank you for sharing this, changamoto inabaki kuhakiki ukweli wake.
 

Unawezaje linganisha Marehemu na Muumbaji wake? Umekwenda darsa weye kiumbe?


 

Korun inasema Yesu hajawai kosea wala kosa, you need to come out of the box. Can logic comprehend life ex nihillo?
 
Yale yale, porojo za masimulizi za mababu wa kiyahudi!

Kawaulize wana historia kwanini wanatumia B.C. Kwanini huyo Yesu alibadilisha mwenendo wa dunia na kuanza kuhesabu upya miaka. Ukisha pata, njoo hapa utipe porojo zako.
 
Unawezaje linganisha Marehemu na Muumbaji wake? Umekwenda darsa weye kiumbe?


Mkuu MaxShimba, umenielewa kweli nilichomaanisha kweli uzi wangu?

Korun inasema Yesu hajawai kosea wala kosa, you need to come out of the box. Can logic comprehend life ex nihillo?
Mkuu, I also believe what you are saying. However, this is life we must keep finding more details and being able to defend our faith. Yes, I am a christian and I believe in jesus and whatever you know but it doesnt mean I have no right to question anything or to think about other people like Mwanamalundi. Ukipitia comments za wadau utajifunza kitu wala si bure.
 

Worst and diabolical use of logic I've ever seen, inter-alia, the least amount of biblical facts that I've ever seen. The Assyrians captured the Northern kingdom of Israel in 721 BC. The Babylonians captured the southern kingdom of Judah. One has nothing to do with the other. The Assyrians were conquered and thus the Israelites could go anywhere in that new kingdoms area. Jesus said he was sending his disciples to where the 10 tribes went to. Thomas went to India. So where's the logic that says they were black?
 

How possible is that? I mean how can you compare the Creator with breathless creation? Christian Faith is very serious na si mambo ya utani na blah blah kama haya ya ...lundi. Believing in the truth that is what matters, now, what is the truth about the breathless ..malundi? Hata Shetani anaponya watu. Hata Shetani kutokana na Biblia kama ilivyo semwa kwenye "Apocalipsis" will give life in the time of tribulation. Does that makes him authentic na watu wamfuate, just because kaingiza laifu kwenye image? Read the book of Revelation utagundua kuwa utani katika Yesu ni kujiweka kwenye hatari sana.
 

Hujui kitu kijana tena unatia aibu kwa thinkers and Bible Scholars. Ethiopian Eunuch aliye kutana na Philip huku akisoma kitabu cha Isaiah alikipata vipi hicho kitabu Acts 8:26-27? Halafu weye unazungumzia Mishionari kaleta Biblia Afrika. Hivi JF mmeingiwa na nini nyie? Mbona mnagoma kutumia akili zenu?
 
Mwanamalundi ndio Nani? Nyerere si ndio aliku kila kitu hapa Tanganyika na Hatimae Tanzania kwa kushirikiana na kanisa katoliki. Hilo swali wangejibu Labda Nyerere foundation na Kanisa lake. Na juhudi za kumfanya Mwenye heri zimaeishia wapi kwa kazi nzuri ya Kupoteza historia ya NCHI hii chini ya Kivuli cha Kanisa Katoliki.

Unashangaa MwanaMalundi, Wakowapi Kina Osale Otango, Ally MBANO (Mzee Songea- Majina hayo ya mwanzo yalifichwa na kuachwa kusudi, nadhani utahisi kwanini.).

Inauma sana utakapo fika shinyanga, na kusimuliwa Historia ya MwanaMalundi, halafu Watanzania hawaijui. Kumbe tunaenzi historia ipi. Kila sehemu Nyerere tu. Ndio Maana Mungu hakuupa baraka UZAO wake, kama wenzake Kina Mwinyi, Karume na Jomo Kenyata.
 
Kawaulize wana historia kwanini wanatumia B.C. Kwanini huyo Yesu alibadilisha mwenendo wa dunia na kuanza kuhesabu upya miaka. Ukisha pata, njoo hapa utipe porojo zako.

Kwa sababu wao wameamua kuamini masimulizi ya porojo za mababu wa kiyahudi. Pia kumbuka hao unaowaita wanahistoria ni wazungu ambao ndio waliokuleteeni hizo porojo na kuwaaminisheni kuwa ni neno la Mungu. Hivyo simply waliamua kutenga hiyo tarehe. wangeweza pia kuweka tarehe ya siku alipokufa Julius Caesar. Hivi unajua kuwa kila jamii duniani ina kalenda ya jamii hiyo? Wala siyo kwamba huyo Yesu alibadili mwenendo wa dunia. Ila pia inategemea ni dunia gani unayoiongelea.

Au wewe ni mmoja wa wale walioaminishwa kuwa "mtu wa kwanza kuuvumbua" mlima Kilimanjaro ni Johan Krapf ilhali kulikuwa na wenyeji wakiishi pale? Au "mtu wa kwanza kuvumbua" chanzo cha mto Nile,etc na upuuzi kama huo?

Niletee hoja nyingine tena kutoka kwenye hizo porojo za mababu wa kiyahudi tuelimishane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…