ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Acha wenge ,leta takwimu ππSouth Africa unaijua?. Hata Rwanda hatujaifikia.
takwimu wapi wewe zwazwa hizo website uchwara hata wewe ukitaka kuwekwa kama most ignorant tanzanian wape pesa unakua namba 1.Wewe ndio taahira, takwimu rasmi ndio zinaongea.
Interchanges na flaiova sio Kilimo Cha ubora wa Barabara ππ
View: https://x.com/JamiiForums/status/1851560967320064503?t=BpdjQsllZO-jwLf5MK2jcg&s=19
Mwisho povu peleka Kwa walioandaa ripoti sio Mimi.
Kameze misumari kama hutaki au leta takwimu zako za macho ππtakwimu wapi wewe zwazwa hizo website uchwara hata wewe ukitaka kuwekwa kama most ignorant tanzanian wape pesa unakua namba 1.
Nimetembea na kufanya road trip hizo nchi zote za sadc na east africa, southafrica hatupo nae level moja ,ametuzidi miaka 50 au 100 mbele, barabara za southafrica ni level nyingine kabisa kwa quality na quantity ,kwanza bila ya kutumia gps unapotea , ni fly overs kila kona, barabara utasema magorofa,
Acheni story za vijiweni
South Africa ni nchi pekee iliyopo barani Afrika ambayo yenye mtandao mpana zaidi wa barabara Bora zaidi kushinda nchi nyingine zote katika bara hili, hata baadhi ya nchi za Ulaya zimezidiwa na South Africa kwa miundombinu Bora ya barabara.Kwamba Mimi ndio nilifanya Utafiti au? Inawezekana wewe una deal na south Africa mjini tuu hujawahi hata fika interior kwao huko.
Tanznaia inafikika Kwa 85% ya Vijijini Kwa Barabara Bora kabisa za gravel achilia mbali Barabara kuu
Sahihi lakini si kwa south Africa wametuacha mbali saaaana wanachofanya hao viongozi wetu ni kuwa wanakua watanzania wengi ni mazuzu chochote watakachoongea watanzania watakubali tu. Lakini ukweli kwa south Africa tusidanganyane kabisa.Ila takwimu hazidanganyi.Tqnzania Ina Barabara nzuri sio tuu Barabara kuu Bali Hadi za Vijijini tuko Bora zaidi.
Awezi kukuelewa huyo mkuu. Shida hii nchi yetu Kuna maviongozi maongo sana na yanajua watanzania wengi si wafutiliaji wa mamboSouth Africa ni nchi pekee iliyopo barani Afrika ambayo yenye mtandao mpana zaidi wa barabara Bora zaidi kushinda nchi nyingine zote katika bara hili, hata baadhi ya nchi za Ulaya zimezidiwa na South Africa kwa miundombinu Bora ya barabara.
Hahahah huko nangurukuru mbona mbali. Kwenye hizi Province tu za Kinondoni,Temeke na Ilala kuna vituko vya kukata na shoka.Hakika. Yaani Afrika Kusini hii ninayoifahamu mie, (nimefika by the way) ifanane na Uswazi hapa kwenye ubora wa barabara? Barabara zenyewe ni kama hizi za Moro - Mwanza, Makambako - Tunduma, Dar - Nangurukuru. No way
Halafu pimbi anakwambia tumeipiku south africa bila aibu. Tanzania hii ambayo barabara yenye multiple lanes ni ya Kimara Mwisho mpaka kibaha π!South Africa ni nchi pekee iliyopo barani Afrika ambayo yenye mtandao mpana zaidi wa barabara Bora zaidi kushinda nchi nyingine zote katika bara hili, hata baadhi ya nchi za Ulaya zimezidiwa na South Africa kwa miundombinu Bora ya barabara.
Kama mi ni tahira basi wewe utakuwa beyond utahira. Kiufupi you are full of shit to be precise!!!Kweli kabisa. Kama wewe ulivyo taahira na upo Jamiiforums.
Labda kama unazungumzia South Africa ya Nachingwea.Katika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi ππ
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Wale ambao hamtaki mezeni Razor barbed wire ππ
View: https://youtu.be/1xZXCDAOBvg?si=xQkfHPGdjXSOef0U
Utaahira ni pale unapokubali bandiko lililojaa uozo na uongo, hivi South Africa umewahi kufika? In short Tanzania hakuna barabara, yaani hata mwehu aliyewahi kutembea ataona dhahiri shahiri ukweli ulivyo.Wewe ndio taahira, takwimu rasmi ndio zinaongea.
Interchanges na flaiova sio Kilimo Cha ubora wa Barabara ππ
View: https://x.com/JamiiForums/status/1851560967320064503?t=BpdjQsllZO-jwLf5MK2jcg&s=19
Mwisho povu peleka Kwa walioandaa ripoti sio Mimi.
Barabara zipo nyingi mkuu,kama hizi tunazopita kila siku tupumzisheKatika miaka ya hivi karibuni,Tanzania imeonesha juhudi kubwa sana katika kuimarisha mtandao wake wa Barabara za mjini na Vijijini na kupelekea kuingia 10 Bora Afrika ya Nchi Zenye mtandao mkubwa na Bora wa Barabara ππ
View: https://www.instagram.com/p/DBtxqsVtgAU/?igsh=MTJ5MTJsZDkyOG10Zw==
Pia soma Tanzania imeshika namba 9 Kwenye 20 Bora ya Nchi zenye Barabara bora Afrika Mwaka 2024. Yazipita Afrika Kusini, Algeria na Nigeria
My Take
Hongera TanRoads,Wizara ya Ujenzi na Serikali ya mama Samia Kwa kutoa kipaombele kwenye ujenzi wa Barabara.
Kazi inaendelea Kwa Kasi ππ
View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1852253431278281209?t=8MkHrRRWcBsL3VWZDX-qRw&s=19
Wale ambao hamtaki mezeni Razor barbed wire ππ
View: https://youtu.be/1xZXCDAOBvg?si=xQkfHPGdjXSOef0U
Kazi inaendelea ππKumbe we bichwa lako box hivi umeshawahi kufika South Africa we kiroba
Kazi kubwa kama hii Kwa nini tusiingie kwenye level za Juu? ππSio kila takwimu zinaaminika!