Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

😂😂😂😂

Usituharibie biashara Sisi wenye photo studio.

Tunarekebisha picha , yaan hata Kama Una chunusi na michirizi tunaondoa chaap Kama upo flat screen tunarekebisha chogo linakuja
😹😹😹

Mnasababisha siku ya kukutana raia wakimbiane..!!
Kwenye picha beyonce, live da kiboga..!!🤣
 
Nasikia Luka mwashambwa pamoja na uchawa wake bado kwa bed 🛏️ yuko bomba sana, yaani anaweza kuchana chana nyeti ya mtoto wa kike.

Kuna ukweli wowote katika dai hili?
Cc: adriz mzabzab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…