KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Dogo unamwaga ugali na mboga kwa pamoja hili mkose woteKutoka kwa mdau
Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.
Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.
Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja
Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nmetumia zaidi ya 200,000 kutoka kigoma na kulala lodge.
Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar
View attachment 1885554
Hii nchi haipo fair kabisa, ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?
Ndio maana ya uzalendo mkuu 😄😄😄Dogo unamwaga ugali na mboga kwa pamoja hili mkose wote
Ungekua umeenda Dom ukakumbana na ile kadhia ya Usafiri wa kwenda Dom tabu, Pa Kulala tabu, kule Udom No Food, No Water, Usafiri wa kwenda udom na kurud tabu, kisha uje uambiwe kuna wenzio wao kazi yao ilikua kunakili tu lazima hutofurahia.Haihalalishi Man ila tu katika Maisha sio kila jambo ni la kulia lia tu, some of our greatest tragedies sometimes zinakuja na bahati ndani yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaonekana mnoko ukisema hivyo mkuu, 😄😄😄Ungekua umeenda Dom ukakumbana na ile kadhia ya Usafiri wa kwenda Dom tabu, Pa Kulala tabu, kule Udom No Food, No Water, Usafiri wa kwenda udom na kurud tabu, kisha uje uambiwe kuna wenzio wao kazi yao ilikua kunakili tu lazima hutofurahia.
Ila Kama Hukukumbana na hiyo kadhia bas ni halali yako kuandika hivyo.
Hakirudiwi kitu hapo ndo imetoka hio.Vijana pazeni sauti paper irudiwe🤣🤣🤣🤣
Hawanaga maswali magumu pspr Basi tu kuchuja watu utashangaa unapata 47...na wenyewe wanataka 50Lakini; mbona mtihani wenyewe ni rahisi sana hata bila kuvuja? [emoji16][emoji16]
Alisikika Mfanyakazi wa utumishi akiongea kwa huzuni baada ya pepa iliyovuja kushtukiwa.Lakini; mbona mtihani wenyewe ni rahisi sana hata bila kuvuja? 😁😁
Sasa watu waliosoma irrigation watakua wengi kutoka wapi mzee?Me nimefanya interview juzi Hapa nasubiria majibu asha rose migiro Ila uzuri SI tulikuwa wachache mno.. paper halikuvuja na sio rahisi Sasa sijui Hilo lenu la watu 6000
Noma sana!