CaptainRobinMorgan
Senior Member
- Apr 6, 2018
- 103
- 261
Mkuu we mwenyeji wa Rorya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu, and I am so proud of my home landMkuu we mwenyeji wa Rorya?
Sawa mkuuPopote utakapozikwa, utaliwa tu na wadudu!
Kwanini watoto waliozaliwa mijini (1990's) wanakataa kusafirisha miili ya wazazi wao kwenda kuzikwa kijijini?Sijaelewa
Sawa mkuuHuwa nashangaa unakita familia wasomi kabisa complain ya kwamba marehemu alisema kwamba akazikwe kijijini, hizi zote ni tamaduni kwa mtu mwenye exposure anafahamu kabisa kwamba hakuna tatizo lolote hata akizikwa wapi! Ni Imani potofu ndio zitakwambia kwamba eti msipomzika mahali aliposema kuna mambo yatatokea, ukiamini hivyo basi ndio upeo wako upo hapo etc
Ndugu zake wa tumbo moja na wale wa ukoo wanamtaka azikwe kijijiniHata mimi huwa nashangaa sana.
Mtu akishakufa mambo yake ya hapa duniani yamekwisha,hata akizikwa baharini malaika watamuona tu.
Shukrani sana Mr. Sound wangapi wanapajua Bariadi shinyanga zamani na sasa ni simiyu nenda uone sufuria zinavyocheza achimenenguleUkiona watu wanagoma kupeleka vijijini sa ingine changamoto za kishirikina, kuna koo ukiwa na mafanikio kama kuna mambo ya kishirikina wao ni kurogana tu ovyo.
Wazazi wako nao walizikwa popote? Haufurahii kuona makaburi yao?Mimi nikifa wanizike popote , yanini kusumbuana eti nisafirishwe na gharama zote nikazikwe sijui kwetu, nini italeta tofauti? Je nitafufuka. Nikifa nizike tu hapo hapo.
Wazazi wangu wako hai kwa uwezo wa Mola. Hakuna uhusiano kati ya walio hai na waliokufa unless kama wewe unaabudu kwenye dini zetu za asili.Wazazi wako nao walizikwa popote? Haufurahii kuona makaburi yao?
Mi naamini katika dini zetu za asili of course, ila hata kikawaida kuona mahali walipopumzika ancestors wako ni jambo jema sana, na kuhudumia makaburi yao ni baraka pia mkuuWazazi wangu wako hai kwa uwezo wa Mola. Hakuna uhusiano kati ya walio hai na waliokufa unless kama wewe unaabudu kwenye dini zetu za asili.
Mimi nikifa nimeufa tu wanizike na wasahau tu labda kama nimeacha kampuni kubwa na huduma za kama hospital na mashule yata keep my legacy and my name living.Mi naamini katika dini zetu za asili of course, ila hata kikawaida kuona mahali walipopumzika ancestors wako ni jambo jema sana, na kuhudumia makaburi yao ni baraka pia mkuu
Wazazi wako wakifa hauoni umuhimu wa kuwasitiri mahala pa usalama kuliko kuwazika makaburini huko ambapo baada ya mwaka watafukuliwa wakazike wengine??Mimi nikifa nimeufa tu wanizike na wasahau tu labda kama nimeacha kampuni kubwa na huduma za kama hospital na mashule yata keep my legacy and my name living.
Ukifa umekufa tu kwanini wahangaike na mimi sijui kujengea kaburi sijui kunilimia what for?
Wakifa tutawazika walikozaliwa sehemu ya makaburi ya familia. Ila kuna zuri lipi kwa kutazama makaburi? Kama kumbukumbu ninazo picha na taswira za mema waliyonitendea kwa kipindi chote.Wazazi wako wakifa hauoni umuhimu wa kuwasitiri mahala pa usalama kuliko kuwazika makaburini huko ambapo baada ya mwaka watafukuliwa wakazike wengine??
Je wewe hautafurahi kuwa utakuwa unaona makaburi yao na kuwa ukumbusho kwa maisha uliyoishi nao na yote waliyokutendea??
Okay...Wakifa tutawazika walikozaliwa sehemu ya makaburi ya familia. Ila kuna zuri lipi kwa kutazama makaburi?