Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Wenye akil ni wa3 Mzee kikwete,Mzee manara na Mzee Magoma.
 
Wenye akil ni wa3 Mzee kikwete,Mzee manara na Mzee Magoma.
Kama Magoma mnamuona ana akili basi inabidi na mashabiki wa simba wakampigie magoti mzee Kilomoni kwa kumuomba msamaha kuwa walimkosea sana kipindi ambacho alikuwa anadai maslahi ya Simba kwa kukataa kutoa hati la jengo la Simba kwa Mo dweji na kutoridhika kwa mchakato wa mabadiliko ya Simba.
 
Kuna Watu huwa wanakopa akili za uzuzu kuhalalisha fikra zao potofu!
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Afadhali umeona ukweli kwani hata "mkataba wenyewe " Yanga ni seller na Singida Fountain Gate ni buyer.Kuuweka hadharani ni kujivua nguo.Never wash your dirty linen in public.
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Yanga walikaa kimya hawakuwahi kuongea hili sakata alie anzisha na kufanya mambo yawe magumu ni huyo mropokaji wao acha iwe hivyo ubaya ubwela
 
Najaribu kufikiria tu yaani yanga imsainieshe Yusuph Kagoma kwa milioni 30 halafu aende simba then aombe msamaha wamsamehe ili aendelee kucheza simba... Hata km kichwani kumejaa mavi badala ya ubongo lazima ikufikirishe.
 
Niliposema kuna mambo yamekupita sikukosea. Hiyo bank slip inawezekana hujaiona. Yanga wameionyesha ya malipo kwa Singida FG, sio wachezaji. Details za malipo hazipo (bank nyingine ni optional). Na inawezekana pia Yanga walikwepa makusudi kuandika details
 
Binafsi naona ilikuwa busara uongozi wa Yanga kukaa kimya tu na kusubiria kamati ya sheria ije na maamuzi. Hii press ya kuonesha watu kuhusu nini kilichotokea kwangu naona haikuwa na maana.
Sarakasi za usajili katika soka letu zinachekesha sana.
 
Acha ujinga wako, wamekwambia ililipwa jumla milioni 60, malipo ya kibabage ya deni na malipo ya kagoma yote kwa ujumla sasa ambacho ukielewi ni kipi kwenye maelezo ya mwanasheria?
 
Uyo lupweko ni amnazo ndio maana Patrick simon kasema Kuna watu watajaribu kupotosha kile alichokizungumza ivyo waandishi wawe makini na maelezo anayoyatoa sasa unaona uyo ni mmojawapo kaanza kuokoteza vipande vya clip anatuwekea hapa, ovyo kabisa!
 
Tunapotosha nini? Kwani tumeedit chochote?
 
sasa hapo hujaelewa nini???
mwezi wa 3 walianza mazungumzo na singida(akeleza mlolongo wa singida hadi kufika kumalizana mwezi wa 4)
akarudi kumalizana na mchezaji kagoma(ambaye kimaelezo walianza mazungumzo baada ya kumalizana na klabu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…