Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

Tarehe 6/09/2024 na ikaamuliwa Kagoma asimame kwanza kuichezea Simba kwasasa kwavile ana pingamizi.
Kikao gani kiliamua?Wekeni ushahidi wa kikao kilichoamua wacheni redio mbao.
 
Reactions: BRN
Bro naona leo umeamua kuweka wazi kuwa wewe Utopwenga mana kila siku huwa unasema hauna timu.
Mzee wewe ni mgeni na mimi humu, mimi ni Yanga na wala sijawahi kujificha na kila mtu ananijua kwenye hili jukwaa la michezo. Na mbali ya kuwa shabiki wa Yanga ni shabiki wa mkubwa wa mpira wa miguu. Njoo na uzi au comment yoyote uliwahi kuona nimesema kuwa sina timu.
 
Kitendo cha ku sign timu mbili ni kosa kanuni zipo wazi mchezaji anatakiwa kufungiwa
 
sasa hapo hujaelewa nini???
mwezi wa 3 walianza mazungumzo na singida(akeleza mlolongo wa singida hadi kufika kumalizana mwezi wa 4)
akarudi kumalizana na mchezaji kagoma(ambaye kimaelezo walianza mazungumzo baada ya kumalizana na klabu)
mwezi wa 4 dirisha la usajili lilikuwa limefunguliwa???

mind you, kagoma sio free agent, kwahiyo usiseme miezi 6 ilikuwa imebaki kwenye mkataba

pia utopolo mlikuwa mmefungiwa kusajili miezi hiyo mnayotaja mlifanyaje usajili ili hali mlikuwa na ban ya FIFA???.
 
Reactions: BRN
Muda si mrefu Nguruwe FC atapokonywa pointi kwa mechi alizocheza huyo mjinga mjinga Kagoma alafu mashabiki wa Nguruwe FC wataanza kulalamika kwamba ni mipango iliyosukwa kati ya Utopolo, Mwigulu na Kagoma.

NGURUWE FC MTAKUJA KUIKUMBUKA HII KAULI YANGU.
 
Kwahiyo wanaposema mchezaji wao ina maana walikamilisha Hadi uhamisho wa mchezaji kutoka Singida kwenda Yanga halafu wanashangaa anacheza Simba au 😂😂
 
Mchezaji hawezi kufungiwa kwa ishu ndogo kama hiyo ya kusaini mkataba kwa maana ili usajili wa mchezaji ukamilike kuna mambo mengi ya kukamilisha ambayo Yanga hawakukamilisha ndo maana hawakupeleka mkataba TFF waweze kukamilisha usajili wa Kagoma na ndio maana Fountain Gate walimalizana na Simba wakatoa na Release Letter na ndo maana Mchezaji akaidhinishwa kutumika Simba.
 
Singida fountain gate baada ya kupata dau kubwa toka kwa simba waliiandikia yanga SC kwambia kwavile wanaidai yanga SC, 30m ya kibabage upigwe juu kwa juu yanga SC hawakujibu barua walichofanya ni kuwaingizia pesa ya kibabage kwenye akaunti ya SFG, inamaana jumla wamelipa SFG 60m
 
Kusema ukweli, sajili zinazofanywa na klabu kubwa za TZ huwa 'chenga' nyingi isipokuwa tu zile za nje ambazo wahusika wa huko huwa wamenyooka.

Kama hapo, Yanga wamemlipa mchezaji A, kisha wanamsainisha mchezaji B. Na mchezaji akijipindua tu asisaini kila kurasa ya mkataba, lazima ile kwake.

Ile kurasa ya muda wa kuchezea timu ni lazima itabadilishwa na kuongezwa mwaka. Ndiyo mambo yalivyo huko.

Ova
 
Mazungumzo na Fountain gate yalianza zamani kabla ya tarehe hizo; baada ya kukubaliana ndiyo Yanga iikamwita mchezaji kuja kujadiliana kuhusu maslahi na kuwekeana mkataba. Baada ya hapo ndipo Yanga ikaamua kulipa hela zote kwa ; mkataba ulisema malipo yafanyike kwa istallments mbili lakini haukuzia malipo ya lumpsome.
 
Huyu Wakili wa Yanga hata Mzee Magoma kamkodishia kikundi cha mawakili badala ya kwenda mwenyewe
 
Acha ujinga wako, wamekwambia ililipwa jumla milioni 60, malipo ya kibabage ya deni na malipo ya kagoma yote kwa ujumla sasa ambacho ukielewi ni kipi kwenye maelezo ya mwanasheria?
daa bongo kazi kweli hivi umemsikiliza vizuri wakili SFG na pia umemsikiliza Simon Patrick ukiongezea na kusoma ile jalada na bank slip ...ukielewa hapo basi utopolo wote mna akili ila kam hujaelewa tunarudi kwa manara
 
Ni sawa mkuu lakini hatukupaswa kutumia nguvu kuitisha press wakati tumeshafungua kesi na ipo kwa wahusika, kwanini kusiwe na uvumilivu hadi maamuzi yatakapotolewa?
kuitisha press ni ukosefu wa nidhamu yaani kwa harak haraka ishu kam hiyo unaitisha press ...ama kweli point 6 zinauma mno
 
mna madeni mno maana hata ishu ya kibabage bado hamjamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…