Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

Ok wazazi njooni hapa mtoe uzoefu wenu kwenye mimba za dharura. Ili vijana wajifunze ila chonde chonde uzazi wa mpango salama ni condom pekee mengine hayo unatafuta mauvimbe ya uzazi bure. Log out.
 
Ok wazazi njooni hapa mtoe uzoefu wenu kwenye mimba za dharura. Ili vijana wajifunze ila chonde chonde uzazi wa mpango salama ni condom pekee mengine hayo unatafuta mauvimbe ya uzazi bure. Log out.
Unaweza. Tumia condom kwenye ndoa mkuu?
 
Mnaharaka mno, mwambie akijifungua aweke kitanzi,asifikiri sifa kizaazaa, sikuhizi uzazi ni kifo....atakufa
Atakuwa msukuma huyu. Ila wasukuma wanazaa jamani miaka 20 mbele hii nchi watakuwa wao.
 
Nimeshangaa huo utafiti sijui kautoa wapi aje field aone show
Nakujua wewe ni mbishi tu!
When you exclusively breastfeed — meaning you nurse at least every 4 hours during the day and every 6 hours at night, and feed your baby only breast milk — your body naturally stops ovulating. You can't get pregnant if you don't ovulate. No ovulation means you won't have your period, either.

Nimeitoa
 
Mkuu kunyonya ashaacha mimba mama Ake amepata baada ya mtoto kuachishwa kunyonya na anatembea vizuri tu, hali yake imebadilika wiki moja hii
Kuna hako ka hali kameingia kwa watoto wengine wanaharisha mpaka kuchubuka nenda hospital nyingine atapona tu
 
Watasema umebemenda mtoto.

Stick to nutrition. Nenda hospital acha madaktari wamuone
 
Kama Bado ananyonya muachishe mara Moja mtafutie maziwa ya mama ng'ombe atakaa poa,Mimi ilinitokea hiyo nilishindilia mimba mtoto anafunga mwezi wa Saba na mimba ya mwezi nikasikiliza wataalam uchwala mtoto alidhoofu nikamuachisha kunyonya akaharisha Kwa muda na kutengemaa sasa wapo miaka 9 anayefuata 8 na mwingine 4 Kwa 2 na sasa nataka nipachike nyingine
 
Weka wazi mimba ni miezi mingapi
Fanya hivi
Muachishe mtoto kunyonya maziwa ya Mama
Muweke mbali na mama ake na asilale nae
Muanzishie lishe maalumu uji wa ulezi hakikisha unaweka mbegu za maboga maziwa ya ng,ombe wa kienyeji ya kimasai kabisa kama kuna shangazi au mama ake mdogo alale nae mtoto
Kama mimba changa unashauriwa itoe kama huna uwezo wa kuhudumia huyu ambaye keshakuwepi
Ushauri wako mzuri ila umemaliza kwa upuuzi kwa kushauri aue
 
Walau wewe una akili uangalizi wa mama kwa mtoto umepungua isitoshe huyo mtoto mbona ni mkubwa kabisa watu wanabeba mimba mtoto akiwa na miezi 3-5 wanamnyonyesha mpaka mimba ikifikisha miezi nane kasoro na mtoto hadhuriki wala nini,,

Wataalam wa jf wengi waongo wengine wamekataa mimba na kuzitelekeza huko ila humu wamo wanajifanya baba ushauri,
Sister unatupiga madongo,mbona hatupo hivyo tunapenda watoto wetu sana
 
Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie

Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale

Nitumie mbinu gani mtoto arudi hali yake ya mwanzo
Pole Mkuu,
Mimi pia nliwahi pitia hii changamoto tena kwangu mtoto alikua na miezi nane tu, Tulichofanya mtoto aliachishwa kunyonya lakini pia tukamtenganisha kulala na mama yake kwani ilionekana kuwa mama yake anajoto jingi sana linaloweza kumuathiri mtoto. Alhamdulillah watoto wote wamekua na wana afya njema.
 
Back
Top Bottom