Mtoto auawa baada ya familia kushindwa kutuma Milioni 6 kwa watekaji

Hii nchi nini kinaendelea? Mbona usalama wa raia unakuwa mashakani?

Utekaji na MAUAJI vinazidi kushamiri.

SERIKALI yenye kila chombo na nyenzo za upelelezi na uchunguzi, how comes ishindwe kukomesha matendo haya maovu?

TanPol ijitafakari sana.

-Kaveli-
 
Hili swala tunakoelekea huko mbele tutakuwa kama Colombia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…