Mtoto auawa baada ya familia kushindwa kutuma Milioni 6 kwa watekaji

Sasa kama polisi ndio wanateka watu na kudai ‘Ransom money’ na kuua, inabidi kila raia awe mlinzi wa mwenzake, kila mtu akae na sime ndani kwake, polisi akija kukukamata bila mwenyekiti wa serikali ya mtaa, anapaswa kuchinjwa kama kuku! Yaani tunapambana na polisi na majambazi kwa pamoja..
Hakuna kutekwa kizembe
 
Labda walifikiria ule mchezo wa kujiteka kumbe kweli.
Zaman wengi tulishatekwa sanaa yan maza kazinguana na dingi anatuma mtu mtaani anakuja kukunyakua anatokomea na wewe alafu anakupokea zake anatulia na wewe. Mzee anakutafuta mpaka anakuja gundua umechukuliwa na maza kashajutaaa dadeki.
 
Utekaji wa sasa uko tofauti, Maza hazinguani na dingi ukichora picha ya mkuu wa wilaya halafu ukaichoma mwenyewe yaani unaichora halafu ukapiga picha kwamba unaichoma duu hapo lazima utekwe hata pyuu! Pyuu
 
Kubwa tupendane tulee watoto katika misingi bora ambayo itawajenga kiimani na kimatendo
 
Back
Top Bottom