Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mipaka inalindwa na Jeshi.Msanii ukisema vyombo ya ulinzi na usalama hapo kwenye ulinzi unamaanisha jeshi kitu ambacho sio sahihi kwa sababu hiyo sio kazi yake. Vyombo vya usalama ndio hivyo vyote vinavyojulikana sana.
Kama polisi na TISS hawahusiki katika utekaji na mauaji ya raia, basi wauaji wanatoka nje ya mipaka.
Jeshi wamelala